Street Justice.... Waziri Mkuu wa siku za kale apigwa kipapai

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,871
155,840
Kuna mganga mmoja maarufu anajinadi kuwa yuko tayari kuondoa msumari wa uchawi aliopigwa waziri mkuu wa siku za kale ambaye kwa sasa yuko Ujerumani kwa matibabu.

Akiongea kwenye kliniki yake iliyosheni tyunguri, hirizi, mifupa na mazagazaga ya kiganga na kichawi, mganga huyo amesema anamfahamu aliyemroga waziri wa kale, tena anasema ana mbinu na ujanja wa kuunasua urozi aliotupiwa waziri huyo mwenye snow kwenye kilele chake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom