Zitafanyika modifications za kufa mtu kama ilivyotokea Morogoro Rd kuanzia bibi titi
Afadhali wale wezi wanaotuibia pale msimbazi nao watahamaMuache magari nyumbani mpande hayo mabasi foleni ipungue. Pia mnaweza kupaki mitaa mingine au parking zipo mtaa wa msimbazi tu?
I wish wakianza kilwa road tuone zile sehem ambazo kuna madaraja ya kupita treni (juu au chini) watatumia ufundi gani ingawa naamini hamna kinachoshindikana. Just curiosity
Afadhali wale wezi wanaotuibia pale msimbazi nao watahama
Pesa za mradi zililiwa (zilifanyiwa kazi nyingine), ndio maana hata kipande cha mtaa wa Msimbazi Strabag waligoma kuanza.
Mkuu mimi ofisi yangu ipo mwalusembe ila nafikiria kuamia kiparang'anda siku za karibuni.
Kwa muda au ndo forever?maana nahis barabara haitakuwa pana kama morogoro road,itakua nyembamba kama ile ya KisutuKutakuwa na dirvation jangwani kupitia mitàa ya nyuma mpaka msimbazi
Kwa muda au ndo forever?maana nahis barabara haitakuwa pana kama morogoro road,itakua nyembamba kama ile ya Kisutu
Mmh kwasasa ni ngumu kujua ila inayoelekea itafanyika modification ziwepo barabara tatu na viambaza vya magorofa kibao vitafagiwa kwa jinsi hii inaweza kutosha
Vizuri watengeneze mji
Ni simple tu, mabasi yatakayotumika yatakuwa na milango ya abiria upande wa kulia. If you're in business don't be caught offguard, just be readyWandugu, mimi kuna mambo mawili yananitatiza kuhusu huu mradi:
1) Kwenye vile vituo vyao vya kupanda/kushusha abiria, ile floor yake iko juu sana, sasa ni basi gani hilo ambalo likisimama kwenye kituo mlango wake wa kuingilia huko juu kiasi kile? Kwa maneno mengine kuna big height mismatch between bus door na floor ya vituo ambapo abiria watakuwa wamesimama. Hapo sasa itakuwaje?
2) Kwa utaratibu wa traffick flow yetu TZ, magari yanaendeshwa kushoto kwa barabara, na hivyo milango ya mabasi yote iko kushoto kwa basi. Sasa kwa kuwa BRT stations ziko kati maana yake ni kuwa kama basi linapita lane ya kushoto milango ya mabasi hayo lazima iwe KULIA ili abiria anashuka moja kwa moja anaingia kituoni!! Sasa hayo mabasi yenye milango KULIA yako wapi? au kwenye BRT mabasi yakuwa yaendeshewa upande wa kulia?
Naomba ufafanuzi..