Ila tache utani hii project ni nzuri
Shida hakuna ustaarabu kwenye public transport. Wengine wanaona bora wakomae na gari zao tu.
Poleni wanakariakoo...mm ofisini yangu ipo kimanzichana...poleni sana
Ha ha ha ha! Sio mbaya wajukuu zako wataifaidi! Unajua London underground system Ina miaka zaidi ya 150?! Waliojenga sijui wako wapi sasa hivi!
Unafikiri hizi zetu zitadumu?
Tuziombee maana tumasubiriwa kulipa deni lake lenye maumivu mengi
Tuliambiwa wangeanza majaribio mwezi july mwaka jana...hadi leo kimyaaaaa...kwani unaanza lini?
Tatizo kuu kwenye public transport ni ustaarabu,mtu anaweza kukukanyaga au kukuangukia afu anachukulia poa na wewe unakuwa huna namna. Kutoka mbezi au mbagala au tegeta mpaka ushuke posta umechoka na upo ovyo balaa,leave alone sweating afu ndo unaenda kwenye warsha afu wewe ndo mtoa mada,pata picha hapo
Suburi kwanza tupitishe jina la mgombea ndo mradi utafanya majaribio, tukishampigia kura ndo mradi unazinduliwa sasa
kwa hiyo mkuu tusipomchagua mgombea wenu mnang'oa na barabara kabisa!!:lol:
Muache magari nyumbani mpande hayo mabasi foleni ipungue. Pia mnaweza kupaki mitaa mingine au parking zipo mtaa wa msimbazi tu?
Yangu ipo Kwembe unapita kwa Mama TibaijukerMkuu mimi ofisi yangu ipo mwalusembe ila nafikiria kuamia kiparang'anda siku za karibuni.