Story za Prof. Palamagamba Kabudi

Story za Prof. Palamagamba Kabudi

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
31,785
Reaction score
36,470
Prof. Palamagamba John Kabudi na story zake nyingi kuhusu masuala ya kimataifa pia kuhusu Julius Nyerere. Palamagamba Kabudi pia aliwahi kuwa mwandishi wa habari.

Hivyo kolamu / column ya kuzungumzia mapito yake toka zama hizo mpaka sasa hivi itakuwa nafasi murua kuangazia habari motomoto hususan za nafasi yake kama waziri katika serikali.

Leo Azungumzia nafasi ya Tanzania katika dunia na ushawishi wake na kwenda mbali zaidi Prof. Palamagamba Kabudi anafananisha nafasi ya Tanzania ni kama 'nyonga' ya Afrika ktk masuala ya kimataifa.

Source : Zanzibar Ni Kwetu
 
2 Sep 2018
Seattle, the Pacific NorthWest USA

Prof. Palamagamba Kabudi akizungumza na Watanzania wanaoishi Ughaibuni katika Maendeleo ya Kijamii na Uchumi. Hotuba hiyo iliwasisimua watu wengi ktk diaspora na kuleta mjadala mpana JamiiForums worldwide.

Prof. Kabudi anakumbuka wanafunzi wenzake ktk darasa lao Chuo Kikuu cha UDSM limetoa watu 'mahiri' siyo yeye tu bali Balozi Wilson Masilingi, Dr. Harrison Mwakyembe, Major General Rwegasira mstaafu Judge Advocat jeshini , pia majaji 7 kati ya hao wako mahakama ya rufaa ya Tanzania

Mmoja wa wana -Diaspora Bw. Deus Rugemalira kwa kumnukuu maoni yake:

'' Hotuba hii ya Prof. Palamagamba Kabudi inafumbua macho ya wengi. Inatoa mwanga (walau kwa ufupi), kama Taifa
1. Wapi tumetoka,
2. Tumetoka vipi,
3. Wapi tumefika na changamoto zake
4. Wapi tunaenda.
Tusipoyajua Haya hatuwezi kujitambua na hatuwezi kuendelea. Ningependa kuona inachapishwa hata gazetini (kama ilivyo) ili wasio na namna ya kuiona, basi wakaisome".
 
Jamaa lina mapovu mno. Huwa likiamua kusifia basi linaweza kumaliza biblia kwa kuweka vifungu vya kunogesha sifa. Aliwahi kuapa kule Marekani eti hatokaa atokee Rais bora kama Magufuli. Hovyo kabisa!
 
2 Sep 2018
Prof. Palamagamba Kabudi akizungumza na Watanzania wanaoishi Ughaibuni katika Maendeleo ya Kijamii na Uchumi.

Mmoja wa wana -Diaspora Bw. Deus Rugemalira kwa kumnukuu maoni yake:

'' Hotuba hii ya Prof. Palamagamba Kabudi inafumbua macho ya wengi. Inatoa mwanga (walau kwa ufupi), kama Taifa
1. Wapi tumetoka,
2. Tumetoka vipi,
3. Wapi tumefika na changamoto zake
4. Wapi tunaenda.
Tusipoyajua Haya hatuwezi kujitambua na hatuwezi kuendelea. Ningependa kuona inachapishwa hata gazetini (kama ilivyo) ili wasio na namna ya kuiona, basi wakaisome".

Huyo aliyeandika haya maoni amekulia wapi? Alizawa na kukulia huko huko USA? Kama alizaliwa na kukuli huko nitamsamahe kwa haya aliyoandika. Lakini kama alikulia Tanzania nitashangaa kwani historia ya Tanzania ni somo tunalolisoma tangu shule za msingi na kuendelea. Mimi nikiwa primary school nakumbuka mambo kama vita vya majimaji, kuzaliwa kwa TAA na baadae TANU, harakati za uhuru na mambo mengi tulikuwa tunafundishwa.
 
Prof. Dr. John Kabudi, Ph.D. talks on the role of strategic communication, folktales, folk - media. A former journalist himself and board member of Nation Media Group NMG.

Source : American University of Sovereign Nations

Dr. Paul White : Jungle Doctor Operates Australian missionary doctor in Tanzania
 
Jamaa lina mapovu mno. Huwa likiamua kusifia basi linaweza kumaliza biblia kwa kuweka vifungu vya kunogesha sifa. Aliwahi kuapa kule Marekani eti hatokaa atokee Rais bora kama Magufuli. Hovyo kabisa!
Rais wa mioyo yenu yuko wapi
 
Prof. Palamagamba John Kabudi na story zake nyingi kuhusu masuala ya kimataifa kuhusu Julius Nyerere. Azungumzia nafasi ya Tanzania katika dunia na ushawishi wake na kwenda mbali zaidi Prof. Palamagamba Kabudi anafananisha nafasi ya Tanzania ni kama 'nyonga' ya Afrika ktk masuala ya kimataifa.

Source : Zanzibar Ni Kwetu

Kuna kabudi anayemilikiwa na jiwe na aliyekua mjumbe wa kamati ya kukusanya maoni katiba mpya!!
 
Hahaha alipaswa awe historian sio mwanasheria au mwana diplomasia.
Anaongea hovyohovyo naye hana break.
Ngoja siku akianza kuongea na mabalozi wa nje, atakuwa anawasimulia habari za Nyerere hadi muda unaisha. Akianza kuongea huwa hana break ni kuhara tu, blabla nyiiingi.
Sitashangaa akiteuliwa kumrithi polepole Lumumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana Lumumba huyu ndiyo wanaamini karata yao ya turufu kimataifa baada ya Kamanda wetu Tundu Lissu kuweka mambo hadharani kimataifa , CCM watampeleka Prof. Palamagamba John Kabudi HARDtalk fasta fasta. Naona classmate wa Prof. Kabudi ambaye ni Balozi Wilson Masilingi atafanya juu chini Palamagamba Kabudi pia aonane na Shaka Ssali wa Straight Talk Africa VoA Washington.

 
4 Mar 2019
Dar-es-Salaam, Tanzania

Waziri wa Mambo ya Nje ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof Palamagamba Kabudi amewataka Watanzania kuwa wazalendo na nchi yao na kusema Tanzania hivi sasa sio nchi ya kusemwa na kudhihakiwa.


Source: Azam TV
 
Back
Top Bottom