Story za Prof. Palamagamba Kabudi

Story za Prof. Palamagamba Kabudi

TOKA MAKTABA:

Hotuba ya Profesa Palamagamba Kabudi mbele ya chama cha mawakili cha Kenya LSK liliofanyika pwani katika hoteli ya the Diamonds Leisure Beach and Golf Resort huko Diani, Ukunda Kwale County.

04 September 2024
Kwale County
Kenya


Tanzania Minister of Constitution Prof. Palamagamba, Chief guest, LSK Annual Conference.

View: https://m.youtube.com/watch?v=dgHqnTa4E94
Law Society of Kenya annual conference the Chief Guest was Hon. Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi at the Diamonds Leisure Beach and Golf Resort in Diani, Ukunda Kwale County
 
TOKA MAKTABA :
30 May 2025

Profesa Palamagamba Kabudi akidadavua kwa undani Mzizi Halisi wa Migogoro wakati wa kongamano la 15 la Thabo Mbeki Foundation / UNISA lilofanyika UDSM.

View: https://m.youtube.com/watch?v=BfhuWhRS9-Q

Prof Palamagamba Kabudi says that both Professor Emeritus of UDSM, Issa Shivji, and veteran journalist cum activist Jenerali Ulimwengu have inspired him— in the past and today...
 
Huyo aliyeandika haya maoni amekulia wapi? Alizawa na kukulia huko huko USA? Kama alizaliwa na kukuli huko nitamsamahe kwa haya aliyoandika. Lakini kama alikulia Tanzania nitashangaa kwani historia ya Tanzania ni somo tunalolisoma tangu shule za msingi na kuendelea. Mimi nikiwa primary school nakumbuka mambo kama vita vya majimaji, kuzaliwa kwa TAA na baadae TANU, harakati za uhuru na mambo mengi tulikuwa tunafundishwa.
"nakumbuka mambo kama vita vya majimaji, kuzaliwa kwa TAA na baadae TANU, harakati za uhuru na mambo mengi tulikuwa tunafundishwa", haya mliyofundishi kwa asilimia kubwa ni Chumvi ikiwemo Uhuru wa Tanganyika kuwa koloni la Mwingereza.
 
Back
Top Bottom