Write your reply...paramaganda kabudi, mzee wa mapovu!
| Picha : Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi na Naibu Waziri wa Afya wa Marekani Admiral Brett Giroir. |
|
| TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. MAREKANI KUTOA DOLA ZA MAREKANI MILIONI 120 KUPANDA NA UGONJWA WA SELI MUNDU (SICKLE CELL) Tanzania ni miongoni mwa baadhi ya Nchi zinazotarajiwa kunufaika na kiasi cha dola za Kimarekani milioni 120 zilizotengwa na Serikali ya Marekani kwa ajili ya utafiti wa kupambana na ugonjwa wa seli mundi (sickle cell). Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya wa Marekani Admiral Brett Giroir wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi jijini New York Nchini Marekani. Admiral Brett ameutaja mkutano wake na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi kama mwanzo mpya wa ushirikiano baina ya Tanzania na Marekani na kuongeza kuwa Nchi yake ina nyenzo zote ikiwemo teknolojia ya kuoambana na maradhi ya seli mundu ili kuboresha Maisha ya watoto wanaozaliwa na ugonjwa huo. Ameongeza kuwa katika siku za hivi karibuni Tanzania imekuwa ikipiga hatua chanya katika kuimarisha masuala mbalimbali ya afya za wananchi wake na kwamba ni azma ya Marekani kuona kuwa ugonjwa wa seli mundo unapata tiba. Kwa upande wake Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi amesema utafiti na hatimae tiba ya maradhi hayo ya seli mundu kwa kiasi kikubwa itainufaisha Tanzania kutokana na kushika nafasi ya tatu katika Bara la Afrika na ya nne duniani kwa kuwa na wagonjwa wengi wa seli Mundu. Ameongeza kuwa Tanzania na Marekani zitashirikiana katika kufundisha na kujengeana uwezo wa namna ya kupambana na maradhi ya seli mundu lakini pia kutafuta fedha zitakazowezesha upatikanaji wa dawa ya seli mundu kutokana na ukweli kuwa dawa za ugonjwa huo kwa Tanzania ni miongoni mwa dawa muhimu yaani essential drugs ili iweze kuwafikia wananchi wengi na kwa bei nafuu. Amezitaja Nchi zilizo na idadi ya watoto wengi wanaozaliwa na ugonjwa wa seli mundu ambapo kwa Afrika Tanzania ni ya tatu baada ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Nigeria nay a nne duniani baada ya India. Source : http://foreigntanzania.blogspot.com/2019/09/tanzania-kunufaika-na-dola-za.html?m=1 |
| Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akifuatilia Mkutano wa viongozi wa ngazi ya juu kuhusu upatikanaji wa huduma za afya kwa wote ambao unafanyika sambamba na mkutano wa 74 wa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa New York, Marekani. |
Prof. Palamagamba John Kabudi na story zake nyingi kuhusu masuala ya kimataifa pia kuhusu Julius Nyerere. Palamagamba Kabudi pia aliwahi kuwa mwandishi wa habari .
Hivyo kolamu / column ya kuzungumzia mapito yake toka zama hizo mpaka sasa hivi itakuwa nafasi murua kuangazia habari motomoto hususan za nafasi yake kama waziri katika serikali.
Leo Azungumzia nafasi ya Tanzania katika dunia na ushawishi wake na kwenda mbali zaidi Prof. Palamagamba Kabudi anafananisha nafasi ya Tanzania ni kama 'nyonga' ya Afrika ktk masuala ya kimataifa.
Source : Zanzibar Ni Kwetu
Shida ya huyu bwana ni kutokuzingatia jambo linalojadiliwa. Yeye kila mahali anaongelea historia tu.Afadhali prof kabudi kuliko bwana yule
Hotuba zake huwa hazina content yoyote ya maana kwa global current environment.2 Sep 2018
Seattle, the Pacific NorthWest USA
Prof. Palamagamba Kabudi akizungumza na Watanzania wanaoishi Ughaibuni katika Maendeleo ya Kijamii na Uchumi. Hotuba hiyo iliwasisimua watu wengi ktk diaspora na kuleta mjadala mpana JamiiForums worldwide.
Prof. Kabudi anakumbuka wanafunzi wenzake ktk darasa lao Chuo Kikuu cha UDSM limetoa watu 'mahiri' siyo yeye tu bali Balozi Wilson Masilingi, Dr. Harrison Mwakyembe, Major General Rwegasira mstaafu Judge Advocat jeshini , pia majaji 7 kati ya hao wako mahakama ya rufaa ya Tanzania
Mmoja wa wana -Diaspora Bw. Deus Rugemalira kwa kumnukuu maoni yake:
'' Hotuba hii ya Prof. Palamagamba Kabudi inafumbua macho ya wengi. Inatoa mwanga (walau kwa ufupi), kama Taifa
1. Wapi tumetoka,
2. Tumetoka vipi,
3. Wapi tumefika na changamoto zake
4. Wapi tunaenda.
Tusipoyajua Haya hatuwezi kujitambua na hatuwezi kuendelea. Ningependa kuona inachapishwa hata gazetini (kama ilivyo) ili wasio na namna ya kuiona, basi wakaisome".
Hotuba zake huwa hazina content yoyote ya maana kwa global current environment.
Yeye kila mahali utasikia, 'niwaambie tulikotoka', so what. Katika Dunia ya leo hakuna mjinga wa kukupa wewe chochote eti kwa sababu ya historia.
Kila mara Kabudi kuelezea tu historia huenda kunatokana na kukosa uelewa wa mambo ya wakati huu. Ili kuziba pengo hilo na ili asionekane hajui, kila mara huanza kusimulia historia hata mahali pasipohitajika.
4 Mar 2019
Dar-es-Salaam, Tanzania
Waziri wa Mambo ya Nje ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof Palamagamba Kabudi amewataka Watanzania kuwa wazalendo na nchi yao na kusema Tanzania hivi sasa sio nchi ya kusemwa na kudhihakiwa.
Source: Azam TV
Prof. Palamagamba Kabudi atoboa siri ya kimbilio lake pindi ajionapo dhaifu ili aweze kuinuka tena kuendelea 'kupambana' kama askari yule shujaa wa vita ya pili ya dunia WWII (1939 - 1945)
Prof. Palamagamba John Kabudi na story zake nyingi kuhusu masuala ya kimataifa pia kuhusu Julius Nyerere. Palamagamba Kabudi pia aliwahi kuwa mwandishi wa habari .
Hivyo kolamu / column ya kuzungumzia mapito yake toka zama hizo mpaka sasa hivi itakuwa nafasi murua kuangazia habari motomoto hususan za nafasi yake kama waziri katika serikali.
Leo Azungumzia nafasi ya Tanzania katika dunia na ushawishi wake na kwenda mbali zaidi Prof. Palamagamba Kabudi anafananisha nafasi ya Tanzania ni kama 'nyonga' ya Afrika ktk masuala ya kimataifa.
Source : Zanzibar Ni Kwetu
Hotuba zake huwa hazina content yoyote ya maana kwa global current environment.
Yeye kila mahali utasikia, 'niwaambie tulikotoka', so what. Katika Dunia ya leo hakuna mjinga wa kukupa wewe chochote eti kwa sababu ya historia.
Kila mara Kabudi kuelezea tu historia huenda kunatokana na kukosa uelewa wa mambo ya wakati huu. Ili kuziba pengo hilo na ili asionekane hajui, kila mara huanza kusimulia historia hata mahali pasipohitajika.
🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮Prof. Dr. John Kabudi, Ph.D. talks on the role of strategic communication, folktales, folk - media. A former journalist himself and board member of Nation Media Group NMG.
Source : American University of Sovereign Nations
Dr. Paul White : Jungle Doctor Operates Australian missionary doctor in Tanzania