Story: On My High Horses ...

Kwanini jamaaani?!


Kabisaaa


Muhahahahhaa


Meona ee


Kabisaaa


Uuuwi J2 tumefika mama
napiga jaramba hapa la kujiandaa kisaikolojia network ya huku chini isilete mzaha wa kutenda dhambi jumapili hii ya leo maana upako wa bwana umenipitia
hahahaha
 
sawa mama kubwa
 
Nilivyokuja nimejiandaa kwa mbwembwe lol [emoji12] [emoji12]
 
Yaani nilishavaa miwani yangu ya kusomea nilioachiwa na babu sasa itabidi niivue tu sina namna. Fanya basis kale ka mpango ka zamani mama ili Hata kama bando ikikata kesho mmmh basi keshokutwa nakuta tu kastori kapo si eti eeh mama. In buraza K's voice
 
Njoo tayari jamaa
sawa mama kubwa

Ngoma mpaka kesho mkuu
Tayar

Nilivyokuja nimejiandaa kwa mbwembwe lol [emoji12] [emoji12]
Tayar njoo

Uuuwi njooo

nimehic maumivu kama vile mimi ndo yamenikuta
Jamaan pole
Njoo waya mwengine umeshukaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…