Story nzuri ya upendo!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Story nzuri ya upendo!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Pindima, Feb 24, 2012.

 1. Pindima

  Pindima JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 349
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  story nzuri ya upendo..
  Vipepeo wawili walikuwa
  wanapendana, siku moja waliamua
  kucheza mcheo wakujificha na
  kujifuchua, waliweka ua na
  waliamua kesho ambaye atakuja
  wa kwanza na kukaa juuu ya ua
  hilo atakuwa anampenda
  mwenzake zaidi. Asubuhi kipepeo
  dume alienda mapema sana na
  alisubiri ua lifunguke,
  lilipofunguka alishtuka kuona
  kwamba, kipepeo jike amekufa
  ndani ya ua". Kwasababu alikuwa
  anasubiri tangu jana usiku
  kumwonesha mpenzi wake ni jinsi
  gani anayompenda. Je wewe
  utamuonesha nini Mpenzi Wako?
  ili aone ni jinsi gani unampenda?
  Naomba jibu.....
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo unataka na mie nimwoneshe kwa kujiua na ua?
  Una utani na maisha wewe...
   
 3. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nitamuonesha upendo...
   
 4. Pindima

  Pindima JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 349
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kama yeye kaweza kujiua mimi nitashindwa vp?!!
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Haya bana hivi kumbe kuna watu wanajiua ajili ya mapenzi ..?

  Mara ya mwisho kusikia kitu hiki ni 1997..
   
 6. Pindima

  Pindima JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 349
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Aisee juzi juzi tu hapa nimetoka kuokolewa chupu chupu nijitoe roho!!
   
 7. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #7
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Kisa na mkasa?
   
 8. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  If u want to shut, shut don't talk...
   
 9. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Yeye atajua tu kama anapendwa..si lazima kufanya vitu vya kizembe kama huyo kipepeo mjinga,alijiua kwa uzembe wake mwenyewe!
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo unadhani ni sifa???

  Kwanza una miaka mingapi??

   
 11. Pindima

  Pindima JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 349
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mapenz hayana umri ukipenda umependa!!
   
 12. Pindima

  Pindima JF-Expert Member

  #12
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 349
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kukataliwa kubaya hivyoo!!na mapenz hushinda akili!!!
   
 13. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #13
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ndio maana ni kipepeo na sio binadamu.
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Umekataliwa mara ngapi? Au na watu wangapi?

  Natanguliza pole
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  ya kufikia kujiua yanaangalia umri
  baada ya miaka mitano waweza kuwa na opinion tofauti

  acha kuangalia picha za kihindi zaweza kuharibu, au romeo and julieth

   
 16. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #16
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha... Kongosho bana.. Ati Romeo & Julieth......
   
 17. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #17
  Feb 25, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Nitamwonyesha upendo kwa kuwa mwaminifu kwake!
   
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  lazima tuchunge vijana wetu wanavijaza vichwa vyao nini

  akijijaza romeo and julieth, ndo haya au titanic

   
 19. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #19
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Nitamwonyesha mpenzi wangu jinsi ninavyompenda kwa kutunza na kuheshimu penzi pia kwa kumpa mapenzi ya dhati
   
 20. Pindima

  Pindima JF-Expert Member

  #20
  Feb 25, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 349
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nimempenda mmoja tu nae kanitosa!! now natafuta cha kuifanya hii roho yangu!!
   
Loading...