Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,201
- 17,563
- Thread starter
- #361
Hahahahah kumbe Mangi ulianza kunifuatilia muda eewe mwanamke mkorofi sana, hii JF inakupotezea mda sana, muda wote hupo humu!!
Sasa ukija nyumbani uje na majibu mawili either nikupokonye hiyo simu au uachane na biashara zangu.
Ulifikiri sintaijua hii ID?
Money Penny
sasa naamini kuwa wewe ndio ulienda kunisemea kwa mkuu ndio maana nimeitwa
maafande wengine bwana nuksi1