Story: Money Penny ni nani lakini?!



Nimepokea maswali meeengi kwa wadau wangu huku jf kuwa Money Penny ni nani, Money Penny ndio nani?!

Wengine mnasema money penny ni lara 1 wengine mnasema ni Mange Kimambi wengine wanasema namwiga Lara 1...eh!

Naomba ni clear the insain air kwenu wadau wangu wa nguvu wa JF.

Mimi sio lara 1 wala Mange aliejifichaaa, mimi ni mimi hunijui sikujui kwahiyo kama unahisi namkopi lara 1 sawaaa ni wewe lakini sijawahi andika stori huku jamii forum au kwenye website yangu au APP yangu ukakuta hata moja inajirudia... au hata moja imemfanania Lara 1

kwahiyo kama unataka ku hate wewe hate kulingana na ulivyo na upande uliochagua kuukaa hainisumbui, siko hapa kutengeneza "TEAMS" nipo hapa kufanya kazi
[HASHTAG]#hapakazi[/HASHTAG] tu

Mimi ni mwandishi wa hadithi, scripts za movies, series, drama,

Nina Elimu ya Executive MBA, Degree ya BAF, nipo very talentented, creativeness, nina akili nina highest intelligency nimezaliwa Smart nipo funny, charming ndivyo nilivyooooo sasa huwezi kubadilisha ukweli kuwa uongo...o_O

VIPI KWANI KUNA MTU AMENUNA :mad: au anahisi RIVAR imekuja ku-take over wale wahenga? Poleni weeeeeeee :D:D

Wengine wanasema wakisoma hadithi zangu wanakuwa kama wanaangalia sinema... jamaaani nashukuru sana hii inaonyesha kazi zangu zinapendwaaa

To make a Long Story short mimi ni mzaliwa wa Dar, nimesoma Dar vidudu mpaka chuo, kazi Dar, makazi Dar, wachumba Dar, Mume Dar, Biashara Dar ... Mtoto wa Upanga, Oysterbay, Mbezi Beach, Bunju, Mbweni ...

Money Penny mke wa mtu jamaaa tuheshimiane basi wale mnaonifuata dm kunitongozaaa, mimi sina mpango wa kuchepuka na sijawahi kuchepuko usijisumbue kuja na mistari yako miiingi ya kunitongoza mimi umechelewaaa labda uje tufanye maendeleo lakini sio MAPENZI...

STORI / HADITHI NILIZOANDIKA TANGU NIINGIE JAMII FORUM MWAKA 2016 NI HIZI

1. SOME LEMNADE FOR YOU
LINK - Some lemonade for you madame!

Nilipomaliza nikanogeeewaaaa nikaandika nyingine hii hapaa

My cup runeth over ~ Na Kikombe changu kinafurika

Nikapumuaaaa baadae nikaskia kuandika stori nyingine ya 3 nikaiandika hii hapaa
Love melted before my eyes

Happy Birthday Money Penny ~ March 8th Baby!

Nikaja kuvuta kwanza pumzi nikaja kurudi na stori hii mwezi April

Story: Side Chic & Main Chic ~ A Forever Battle

Nikapumua tena nikaja nikateremusha classic story inaitwa
Story: On My High Horses ...

na ni hii STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI

N hii Stori: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke


Nasema ukweli mpenz wa Mungu me sijasomea kuandika stori, kabisaaa... wala english sijui literature akuuuu! Huko sipo kabisaa!

Ila ni Mungu tu ananisaidia naweza nikakaa nikachukua microsoft word page nikaanza kuandika then kila kitu kinakujaaaa non stop mpaka stori inaisha ndani ya siku 3 naandika page 100, kwa siku masaa 8 mpaka 10 zlstori zinakuja tu kichwani

Of course me mtu wa watu kwahiyo zingine zinakuwa za maisha ya watu ambao labda wengine wameshakufaga, wengine wazeee wa miaka 70, wengine watu wazima miaka 45-59, wengine marafiki wengine ndugu wengine jamaa wengine classmates wengine office colligues basi tu ukiishi na watu vizuri maishani inalipa sana

Money Penny ni cha utunduuu, sio utundu wenu ule wa dyu dyu na chiu hapanaaa... mimi ni mtunduuuu tuuu, elewa tu mimi ni mtunduuuuu kwani wewe haujawahi kuishi wa watoto watunduuu,utundu tu wa kawaida wa maisha ya kila siku

Yani tunaweza kukaaa hapa tunaongea mimi nikajiongeza nikawa extra ukashangaa ivi money penny unawazaga nini lakini wewe?! Ndivyo nilivyooo

Afu nina vitukoooo balaaa, naweza kukuchekesha hapa mimi nikauchunaaaa wewe unakufa mbavu alafu najikaushaaa watu wakabaki wanaakushangaa huyu mtu vepee kucheka cheka, huku stering nimeuaaaa!

Kama sijakuzoeaaa utasema huyu dada mpoooooleeee jamaaaan mpooooleeee duuuu hata kumtongoza naogopa kuumbeee!

Money Penny napenda mzikii akyanani me sio mlevi wa pombe ni mlevi wa music, good music yani me schagui, bolingo, R&B, Hip Hop, Rumba, Classic, Old School, New School, Raggae kwa mbaaali, Pop, Gospel ndio usiseme imelala hapaaa

Ulevi wangu mwengine ni Movies and Series, yani mimi ni movie person, tangu nina miaka 3 ni mtu wa tv mpaka sasa ni movies tuuuu miziki tuuuu sa hivi tena kuna series cravings ndo kabisaaa yani naweza shinda ndani nikaangalia series the whole weekend
Nilikuwa napenda sana kusoma novels lakini walivyoleta movies kha waliniharibujeee jaman me na movies utakuwa rafkianguuu!

Am a this cool kind hearted Chica, looooud Chica mambo ya kuwa dry dry ukikaa na mimi utachangamka tuu!

Hakuna aliewahi kukaa na mimi akaborekaaa am sorry to say this am a looooud chic, full of life chic, extra chic, beautiful and gorgeous Chica

Money Penny ni half cast wa kichaga, nusu Mchaga nusu kuleee Singida moujaaaa ....Kwenye upande wa Mauno na mambo ya kitandani utanisubiria miaka 8000 na kutafuta pesa ndio mwenyewe sasa, sinaga kinyaa na Pesaaaa, kama hauamini angusha pesa hapo chini uone :D... kwani Tsh ngapi?!

Stori ndogo ndogo nilizoandika kama Money Penny zile zinaitwa changamsha ubongo ni:

Msaada tutani nahitaji suluhu hapa

Msaada wa haraka please, mke wa mtu anakufa hukuu

Msaada tutani: Dogo kamzimia 'Shuga Mami'

Msaada Wenu Plz: Moonlight Lady

Msaada wa haraka: Kaka wa kwenye foleni

Msaada wa fasta: Urasimu na maendeleo

Msaada tutani: Je mziki ni ndoa mpya?

Msaada wenu: Urafiki na watoto wa kiume

Msaada tutani: Black beauty is gone

Msaada wa kung'amua fumbo hili

Msaada mzuri: Kwenu mliozaliwa March

Msaada wa haraka please, mke wa mtu anakufa hukuu

Msaada hapa wapendwa; Ananipa kila kitu lakini ana kibamia

Msaada tutani: Mwanaume bora tu achepuke

Msaada tutani: Mzee alienipenda

Msaada tutani: Nimpe au nisimpe?!

Msaada wako: Dating life!

Msaada tutani: My Body Guard

Msaada tutani: Kubakwa kisaikolojia

Mapenzi ya udicteta

What you see is what you get!

Msaada tutani: Waoga!

Msaada tutani: Hali ya hewa

Msaada tutani: Bafu langu!

Shule imemshinda anatafuta 'sponsor'!

What you see is what you get!

Je, Bikra yako ulitoa ukiwa na umri gani na ukiwa wapi na nani alikutoa?

A friend without Benefit

Msaada tutani, ninanuka

Toxic Bachelors!

Wanaume Mungu anawaona!!

40 smthng Men Vs. 25-30 smthng Men

Je, mapenzi ya kweli hamnaga siku hizi?

Je, mapenzi ya kweli hamnaga siku hizi?

Akili za wanaume wanazijua wenyewe

Ogopa wanaume matapeli

Kwanini mapenzi yanakuwa magumu..

Ana Dudu Ndogo kama Remote ya DSTV, Nifanyaje?!

Hellow, Soul Mate Uko huku JF Au?! ...

What's your Faaaantaaasy?!...

Preety Boys na Ugly ones... Nani Zaidi?!

Mapenzi ya Porn huharibu mapenzi ya kweli

Ladies, hii ndio njia ya kuolewa fastaa

Wanaume Madomo Zege Bado Wapo?!

Bongo Bahati Mbaya tu~ Karibu Ulaya tu!

WANAUME MTAENDELEA KULOGWA MSIPOACHA HAYA ....

Mwanaume ajifungua mtoto nchini Marekani...

Wapenzi wasikilizaji na wapenzi watazamaji....

Wanawake wa Karen ya 21 Mungu Anawaona. ..

Msaada: Anataka kuolewa na kupata watoto ila hana bwana

Msaada: Nanilihii yake Imelala ndani ghaflaaa...

Ushauri: Aliomba MACHINE kwa Mungu, alipopewa akaikimbia...

SWALI: JE WEWE NI KIBONGE, SOMA INAKUHUSU...

SWALI: NANI ULIMPENDA ZAIDI NA HAUTAMSAHAU MAISHANI MWAKO...

SWALI: YUPI UNAMTHAMINI ZAIDI.. MWANAO (FAMILIA) QU MCHEPUKOO?!

SWALI: KOSA LANGU NI NINI SASA?!

Matukio yaliyokiki 2017 kwa Ufupi

USHAURI: KWENU KINA DADA WENYE UMRI 31 - 50...

USHAURI: UKIMTUKANA MTU SASA HIVI JELA MIEZI 6...

Wanaume nyie kwanini hamtaji jina la muhusika wakati wa Kufanya mapenzi?

Wengi wenu mna midaaaadi nikiwaambia mje grup yangu ya whatsapp mnione hamtakii basi mtaniona ila kama mnaharaka unaweza kuniona kwa kubonyeza link hii MONEY PENNY TZ

Pia napatikana kwenye YOU TUBE CHANNEL YANGU, Jina Money Penny tz, link hii

BONYEZA HAPA UMWONE


Stori zingine nitakuwa naweka kwenye APP YANGU, download Money Penny Tz

Nimeokoka nampenda sana Yesu, Yesu ni kila kitu kwangu ila mimi sio mlokole mbululas!

Sasa usianze oooh mbona Penny unaandika hadithi kama wenye dhambi za dyu dyu na Chiu hauoni kuwa ni dhambi unamchukiza Mungu?...
Kwani Yesu alivyokuja alikaa na nani? si akina sisi wenye Dhambi! na akaonyesha upendo, au?
Mxiiiiuuuu tatizo lako ndio hilo umekremu sana ulokole unatakiwa uwe hivi na sio vile anafanyanga Money Penny... ohoooo ushafeli nduguuu... kila mtu na Talanta yake Mwisho wa zote napeleka mrejesho kwa Mkuu.. :D

Nasali Lutheran Azania Front Church Posta Mpya! KARIBUNIII

Umri wangu wa nini labda?! Kama napokea dyu dyu na kutoa chiu mimi si mkubwa jamaa

Was nice meeting you guys wa JF nashukuru kwa support yenu kubwa sana Mungu Awabarikii

Next story: Hii hii inaendelea
DATE: 2nd JANUARY 2018
TIME: 5 ASUBUHI TZ.



money penny ni malkia wa nguvu ndani ya JF mwanamke mwenye mvuto mwenye tuzo zote ndani ya JF kwa mwaka 2016-17 ushawishi, mwandishi hodari, mjasiria mali mkubwa hafananishwi na chochote zaidi ya waliomzaa achana na kina lara1 wa paka inna na akina kajamba nani wengine. .
 
Wanautafuta usupa star kwa nguvu akina Giggy money
doh haya njoo usomee

money penny ni malkia wa nguvu ndani ya JF mwanamke mwenye mvuto mwenye tuzo zote ndani ya JF kwa mwaka 2016-17 ushawishi, mwandishi hodari, mjasiria mali mkubwa hafananishwi na chochote zaidi ya waliomzaa achana na kina lara1 wa paka inna na akina kajamba nani wengine. .
doh asante sana king of queens! ubarikiwe kwa Praise mpaka ushangae

stori mpya hapo juu karibu usome
 
U cant be lara,quite different touches,nimekusoma tu,nikajua u aint her..thou skujui au niseme sijawah kukusikia.
 
U cant be lara,quite different touches,nimekusoma tu,nikajua u aint her..thou skujui au niseme sijawah kukusikia.
karibu sana kwenye ulimwengu wa Money Penny

sina ulimbukeni wa kumkopi mtu... mimi ndio OG penny

vipi kwani roho inakuuma au umenuna kuskia kuna mtu anavitu vikali tofauti na uliemzoea?

muhahahahaa... na bado!
 
Back
Top Bottom