Story: Mahusiano

Story: Mahusiano

Kwakweli
Nitakuletea zawadi toka Germany chagua
Khakhakhaaaaaaa.... Smart911 sweetlove naomba nisaidie zawadi toka kwa dada.. Afu net nyokko sana ichonifanyia leo sicho kabisa..
Yani hapa nikijiroga kufungua notifictaion nyingine tofauti na huu uzi tu kuja kuupata tena huu uzi mpaka nipate notifictaion yahuku.. Nikiutafuta mwenyewe sioni komentii
 
B. SUBIRA SUBIRA - MUNGU ANAKUONA SUBIRA!


Basi baada ya lile janga la jana Anitha akawa anaishi kwetu na dada yangu na wanawe ... asbh tunaondoka wote tunaenda kibaruani tukirudi tunamkuta anaangalia Tv tuuu Dada akakosa pozi na hivi mkali akaongea nae

Dada: hapa nyumbani tunaishi sio walemavu, nakupa siku 3 uwe umerecover kwenye ujinga ujinga wako urudi kazini, hamna kudeka na hamna kwenda kanisani unashinda kanisani kwani wewe Mchungaji?

Kanisani weekend tu,.. hii nyumba yangu kurudi mwisho saa 2 usiku kurudi na hakuna kulala nje kama sina taarifa, labda kuwe na harusi kama hauwezi masharti yangu hama mama

Ikabidi Anita awe mpole akubali si anashida?!

siku nilioenda kazini nikastaajabu sana kumwona SUBIRA.. si mnamkumbuka Subira tulikuwa tunafanya nae Interview nikashangaa kumwona... tena anafanya kazi kwenye Counter la hela, nikamsubiria kazi zilipoisha nikaenda kumsalimia.. si akaanza mapozi kama hanijui nikasema kimoyomoyo anhaaaa! sauwa mimi ndio Penny kama utaskia salamu yangu basi Yesu atakuwa ameenda kujisaidia kidogo!

Nikapiga kazi siku ya 2... siku 3 reception pekeyangu makazi kibao.. siku ya 4 Anita akarudi mzigoni, tunapiga kazi na nini mara akaingia Aloyce, nikamwona toka mbali nikajikausha, nikajifanya nipo buzy na kupanga makaratasi ya bank kwenye bixi akaja kumsalimia Anita

Aloyce: Anita habari dada mrembo leo umependeza sana

Anitha: kimyaa, anamwangalia kama zombie

Aloyce: Anita nakusalimia mama

Anitha: unasemaje nikusaidie nini?

Aloyce: nataka kujua Balance ya akaunt yangu

Money Penny: kimoyomoyo nachekaje! maana huu utongozaji sio wa nchi hii

Anitha: akafanya yake akamuandikia salio lake

Aloyce: akawa analiangalia, huku anamwangalia Anita, Anita wa watu yupo buzy mwenyewe anaongea na wateja wengine,

Aloyce: akaingiza mkono mfukoni akatoa business card, alipoona Anita hana mteja akamfuata, Dada samahani, unajua nimekupenda sana, naomba nikupatie hii business card yangu tuwe tunawasiliana

Anita: nashukuru Kaka siku njema

Aloyce: samahani je naweza kupata namba yako ya simu?

Anita: sina simu
Aloyce: kweli?


Anita: anamdokolea mimacho

Aloyce: basi hamna kilichoharibika, akaondoka zake

Anitha: akaichukua business card akaitupa kwenye dust bin

Money Penny: vp mama mbona unatupa neema kwenye ndoo ya uchafu?

Anita: neema gani? hawa wanaume wote sawa, yani ungejua

Money Penny mimi sina hata hamu na wanaume tena.. nipo nipo kama zombie ilimradi siku ziendi

Money Penny: ila huyu kaka anaonekana anakupenda, maana amekupa business card huku mikono inatetemeka,

Anita: hamna kitu bwana hawa ndo hawa hawa

Money Penny: au unamtu huko kwa kanisa?

Anita: akacheka akanyamaza

tukaendelea kupiga mzigo, lunch ikapita ilipofika saa 9 akaingia Pastor Papaa! akaja moja kwa moja Reception,

Pastor Papaa: habari za mchana mrembo

Anita: alivyoamka kwenye kiti utadhani kamuona Yesu haraka haraka utadhani mfuasi wa Kakobe wakimwona Kakobe wanavyomkimbilia... nilicheka kimoyomoyo maana sio kwa upumbavu ule wa kupokea Pastor... akaenda wakaongea nae me nawazoom tu

baadae naskia Penny njoo msalimie Mchungaji wangu

Money Penny: kucheka nataka kulia nataka, wai eti mchungaji wangu .. mchungaji mwenyewe sasa ni best yangu Papaa

nikajongea kumsalimia Pastor, habari kaka Bwana Yesu apewe sifa

Papaa: Amina dada na wewe umeokoka?

Money Penny: hapana sijaokoka ila nipo njiani kuacha dhambi

Papaa: akaanza kuhubiri hapo wee me nakufa mbavu najiuliza hivi Papaa ameanza lini usanii doh mpaka anamaliza kuhubiri mimi sijasikia kitu naitikia tu amen

Anita: we Penny Pastor kakuuuliza umekula? AMEN hiyo vepe?

Money Penny: ah sorry Pastor sijala, nina njaa sana alafu leo sina hata mia.. ndio nimejibanza hapa kwenye kazi haya Pastor kwaheri ngoja niendelee na kazi

Papaa: ah pole sana basi twende mkale hapo nje na Anita au?

Anita: hapana Mchungaji kutoka nje leo ni ngumu kazi nyingi tunashukuru

Money Penny: au ukatununulie utuletee maana hata nguvu za kutembea sina leo

Papaa: oh hapana nawahi maandalizi ya ibada si unajua leo jumatano? basi Penny twende maramoja na Taxi ukachukue nitakurudisha, sawa

Money Penny: nikajifanya nasita sita Anitha ananibembeleza nikaamua kwenda tu shingo upande..

Papaa: akamuaga pale Anita macho kamlegezea mimi moyoni nacheeeka kweli fake Pastor

Tukaondoka na Pastor Papaa kumbe kaja na usafiri wa kanisa nimeingia ndani jamani nilicheeeekaaaa nilicheeeka mpaka akanizaba kibao haki Papaa nini unafanya haya sasa jamani?

Papaa: Penny wewe umepataje kazi hapo bank tena upo na Anita, au ni hela nilizokupa umeanza kuzitumia vibaya umehonga?

Money Penny: weweee tulia, sasa niambie how are u

Papaa: Penny, nimechoooka kazi ni ngumuuu nipe taarifa basi

Money Penny nikampa mkanda mzima kuhusu Anita,

Papaa: Akawa anashangaa anaishi na mwanaume tena jambazi? no wonder nilikuwa simwelewi elewi akija kuongea na mimi analia lia tu simwelewi elewi

Money Penny: nacheeekaaa, nacheeekaaa uuuwi kweli Pastor kakamatika kibarua kimeota nyasi

Skia Papaa rafkiangu, kwanza sikuelewi lakini nahisi kama nakuelewa
huyu demu mimi naona kama mwenzako anakuchezea akili... kifupi mnafanana mambo yenu hayo ambayo siyaelewi bado nayatafutia jina
msikute wote mnafanya kazi sehemu moja mnatuvuruga tu sisi ila mimi muda ninao si nalipwaa! alafu hela yako bado sijaanza kuila tena ngoja leo niitoe pale bank nianze kupanga masafari na Anita


Papaa: Penny nipo serious, alafu bora umenikumbusha, chukua hizi simu 2 moja yako moja ya anita

Money Penny: Mbona ya Anita nzuri hivi jamaa wakati me ndio nazungukia mchezo mzima? mlokole unampaje simu nzuri anasa hii nzuri nipe mimi mbovu mpe kamanda mwenzio

Papaa: haki we demu una shida sawa.. tutakuwa tunawasiliana penny kukiwa na chochote

Money Penny: mbona hujaniambia what next mkeo anaishi kwetu sista kampiga biti hamna kuja chachi mpaka weekends afanye kazi.. kwahiyo nafanyaje?

Papaa: acheni akae kwenu kwanza mpaka nitakapokwambia pa kumpeleka

Money Penny: nakula chips kuku na yule mlokole mchukulie makande au wali mchicha, kumpa chips kuku anasa

Papaa:a akashuka akaenda kutoa oda akaja na chips kuku mbili, unajua roho mbaya sio nzuri penny mwache mke wangu

Money Penny: alafu demu wako anafuatiliwa na wana kibao unauhakika utampata?

Papaa: kwanini nimkose wakati stering wangu upo?

Money Penny: kweli wanaofaidi nchi sio wakuu ni wasaidizi,sikufichi nakula hela tofauti na wewe, kwahiyo mwenye kisu chake pale ndio atawin

Papaa: kazi umeipataje?

Money Penny: kuna rafiki wa shemeji yangu kwa dada amenitafutia

Papaa: asije akawa no boya anamtaka ndio kakuweka karibu yake

Money Penny: umejuaje? me nishakwambia mpo wengi we ondoka huko Kanisani njoo ukamatie chako shauriyo!

Papaa: nikiondoka kanisani nitakula wapi?

Money Penny: kwa kaisari kumbe unataka kula wapi?
hivi Papaa huyu demu unampenda kweli au? we si uliniambia unanipenda mimi?


Papaa: kweli Penny mimi sijawahi kuacha kukupenda ila una mapozi sana.. sijui unataka wanaume wa aina gan maana kama hela ushaona ninazo na hio ni akaunt moja nina akaunt 3 kwa sasa

Money Penny: ahahahaha akyanani kweli domo zege kafungukaaa.. mimi siwezi kumpenda mtu mnafiki leo anafaa suti nyeusi kesho pasta sa nikueleweje

Papaa: ahahahaha... nimeshakuumiza kichwa ee?

Money Penny: we ngoja tu Anita lazima akupasue kichwa na mimi nitakuwa pembeni nacheka tu kuna mjanja huko ana mifweza yake anafukuzia chombo shauriako.. haya asante kwa chakula na simu tutawasiliana

nikaingia ndani Anita ananjaa kweli kweli, nikampa chips kuku anafukia kama hajala miaka 10... tulipomaliza nikampa simu, anaishangaaa tochi ya nokia, hee penny umeninunulia simu?

Money Penny: ndio nimekupa zawadi na mie yangu hii hapa

Anita: akafurahi mwenyewe, anachekelea hapo simu simu dah kweli usanii haujawahi kumwacha salama,

Money Penny: anajidai anaishangaa simu ananiletea mimi usanii wakati ameshakalia pesa kwa bwanake wa Tangibovu?!
nikaona nimvuruge kwanza nione atasemaje maana huyu demu simwelewi kabisa unajua?!


Anita nina kitu nataka kukwambia, kuna demu kaingia anaitwa SIKITU, sijui umemwona?

Anita: yah namjua alikuwaga anafanya kazi hapa akaondoka kiaina

Money Penny: hee kwanini?

Anita: hata sijui alikuwa analala na maboss apandishwe cheo akaja CEO akamtoa sa sijui huko mtaani katembea na nani naona karudishwa tena

Money Penny: ivyo ee? kwahiyo ni rafkiako?

Anita: sio sana zaidi ya salamu anajiskia sana ananata

Money Penny: mmmh unaweza kumfanya akawa rafkiangu, me nimempenda sana mzuri mwenyewe

Anita: mmh haya nitajaribu.. ila penny hata wewe mbona mzuri kuliko yeye

Money Penny: ila staki ajue kama namwona mkali, nataka wote 3 tuwe marafiki

Anita akamubali pale na nini,... tukaendelea na kazi.. baada ya wiki 1 mbele nikashangaa Subira amekuja ananisalimia ananichangamkia nikasema Yees deal limetiki kudadeki,.. basi kila weekend tunatoka warembo 3... ijumaa mpaka j3.. j2 Anita anaenda kanisani sie tunaenda kutembea beach na bishouger SUBIRA

Tukawa zaidi ya mabest akaanza kufunguka kuhusu siri zake, anatembea na HR, anatembea na CEO ndio maana kazi karudishiwa, anatembea na Bank Manager kwa ufupi anatembea na kila mtu na wote hawajuani nikasema Yeees hapa hapa

nikamwomba anisaidie kitu kimoja, kama anaweza kumrubuni mchungaji mmoja hivi boya boya

Subira: poa Penny nitakusaidia, utanilipa?

Money Penny: alipoongelea hela nikajua tu demu mwenyewe njaa tu, typical midemu ya kibongo kutanguliza pesa mbele kuliko utu.. haiwasumbui kutoa chiu kama pesa ipo

sasa best utaweza kwenda kanisani?

Subira: naweza mimi mamangu mkristo baba ndio mwislam, nikasema ohoo! sheedah tayar

Money Penny: basi uwe unaenda na Anita church kwao kuna handsome mmoja nataka umkamate kiakili umchanganye vbaya mno mpaka adate

Subira: poa Penny mil 2 utanipa?

Money Penny: doh nitakupa usijali ila parefu?

Subira: basi fanya mil 1

Money Penny: Laki 5 je

Subira: nguo na vitendea kazi kama nauli za kwenda church vepe? vitendea kazi muhimu kwani kazi ya muda gani hii

Money Penny: miezi 2 mpaka 3

Subira: mil 1.5 itanitosha maana ni kazi ngumu sana

Money Penny: sawa best, tukarudi kila mtu na kwake maisha yakaendelea baada ya wiki 1 nikampa Subira mil 1 akaanza kwenda kanisani kwa akina Subira, kwan utamjua sasa? akivua shungi anakuwa mrembo kama mkristo doh!

Subira alifanya kazi mpenzi msomaji sikuamini ndani ya wiki 2 ananiambia Penny yule handsome wako ni yule Pastor Papaa?

Money Penny: kwanini?

Subira: hakuna boya wa mapenzi kama yule Pastor kwani anafanya nini pale kanisani mbona handsome sana

Money Penny: kaokoka yupo kwa Yesu anamtumikia Mungu

Subira: Mungu yupi sasa? yani nimeingia pale kanisani kila mwanamke anampenda yule kaka mpaka Anita kafa kaoza wanamnyeyekea kama Mungu

Money Penny: enhe nipe umbea shoger angu me nakupendea hapo tu

Subira: Pale Penny hamna Pastor, yule jamaa nakuhakikishia kalala na kila demu pale kanisani kasoro subira na Anita

Money Penny: kwanini unasema hivyo?

Subira: Penny mimi mtu mzima najua, sasa kukuhakikishia kuwa Anita kafa kaoza kwa Mchungaji ni juzi sasa
nikaenda ofisini kwa Mchungaji kuongea nae mambo ya councelling nikawa najisexisha kwake najichekesha nasogeza nguo mchungaji udenda unamtokaaa, nikasogeza paja mchungaji anatetemeka, bado kidogo anile akaingia shogako Anita alipoona Pastor kaniwekea mkono kwenye kiuno na paja akajikausha haraka haraka akawa kama amenuna lakini hakuondokaaa!


Money Penny: enhe ikawaje ahahahahahahaha uuuwi kweli kila mkali ana mkali wake

Subira: Anita yule ni kichaa sijawahi kuona wala hakuondoka Penny! akaingia akakaa.. akaanza kuhubiri Pastor unafanya dhambi sio vizuri huyu ni mwongofu mpya

mimi nikajichatua akili, kwani shida iko wapi, nikaloki mlango wa ofisini kwa mchungaji, nikaenda kumchika Pastor kimahaba zaidi, Anita anaangalia lakini unamwona kabisa kinamuuma, nikaanza kumbusu Pastor mashavuni mbele yake, Anita haondoki nikasema anhaa kumbe anapenda sasa ngoja nimwonyeshe mimi nani

nikamlaza Mchungaji wenu boya kwenye meza anajifanya kukataa kataa nikambana sehemu ambayo hawezi kuchomokaaa.. nikampanda kwa juu ya meza yeye yupo chini, namwona anita anainuka ananitoa sio vizuri ananiambia

Anita: hivi mnavyonifanyia sio kabisa au mmepanga nini?

Pastor huku chini keshakolea muda wowote anaangusha majeshi ya wazungu hana nguvu

Anita: yani kweli Pastor wa kutembea na rafkiangu? wakati umeshaniahidi utanioa na mimi nakusubiri alafu leo unataka kuzini na rafkiangu mbele yangu? huku analia shogako mjinga sana

Subira: nikamwona anita jingas sana, nikaondoka juu ya Pastor wenu nikaenda kumbembeleza, bembeleza na wewe nikaamua kumbusu mdomoni Anita, na yeye akarudisha..,.ukaenda na kupapasana, Pastor akaja akaturukia ilipigwa three some ya kufa mtu, kila mtu aliondoka kajazwaaa na Pastor wako

lile lipastor kubabeki lina mtwangio wa kufa mtu, alafu anachelewa kujaaa.. kwahiyo mpaka amekuja kumwaga maji ya baraka ya moto yakamdondokea shogako Anita.. sio kwamba nilitaka aniangushie maji yake ya moto hapanaaa, ila wale wawili kwako kwenye mapenzi na sijaelewa kwanini umeniagiza kwao au unampenda mchungaji nini penny?

Money Penny: nilichokaaa! nikawa bubu ghafla ina maana hawa watu wananichanganya wanajuana au?

Subira: we penny, pennyy mbona hauongei heee umekuwa bubu ghafla au umekufa tayar we peeeniiiiii woooo

Money Penny: nikamuangalia Subira, nikatabasamu, unajua Subira sikuelewi mmefanya three sum na nani?

Subira: Mchungaji wenu boya na huyo Mlokole fake Anita

Money Penny: doh, hongera sana we ni mwanamke shujaa, je mnaweza kurudia tena? ila this time nataka itokee hotelini plz plz plz

Subira: akashangaa na majibu yangu poa hamna shida! lini unataka shoo ianguke

Money Penny: nendeni mdogo mdogo kwa sasa mtengeneze penzi la kuwapelekea kwenye tendo la ndoa kwa haraka, alafu natafuta hotel nitakwambia lini

Subira: poa boss me naenda zangu tutawasiliana, nitakupigia

Money Penny: nikakaa nimeduwaa, kama akili yangu ilivyoniambia hapa kati kuna mchezo unafanyika na sasa nimeujua embu niumize kichwa nipate proove nitajua cha kufanya



TUONANE TAR 20 MARCH 2018 SAA 1 USIKU YA TZ

Subira nimemuelewa ni mcharuko...

Anita sasa mbona kafanya mambo ya kijinga sana... mbona kawa mwepesi hivyo... mara hii 3sum tayari...

Kinachofuata hapo ni Money Penny na Patrick...

Hotelini wende kufanya sasa wakati washamalizana...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom