Story: Mahusiano

Story: Mahusiano

D. MONEY PENNY WEWE NI MAFIA



Siku iliofuata ilikuwa j2, asbh nikashtuka saa 11 sina usingizi naona mapichaa yamenivuruga tuu sielewi cha kufanya kwani shetani amepata wapi nafasi kwenye maisha yangu

nikaamka kwenda kujiandaa saa 12 nipo restaurant nakunywa chai, j2 Arusha sijui naenda wapi maana makanisa yenyewe yapo kushoto tuu sijui wapi nikawa nawaza na kuwazua jinsi picha lilivyokaa nikaona hapa hapana asee kuna mkono wa mutu kama sio kichwaa! na mtu mwenyewe lazima atakuwa Papaa, nakumbuka nilimwomba ajira nikimaliza shule sasa nahisi nimeingizwa kazini bila kujijua,.. papaa hayupo hivi buana lakini ngoja nimkomeshe asinizoee me nimeomba ajira za kawaida za kwetu sisi kwa sisi sio ajira za akina nanilihuu staki kabisaa sasa kama yeye ana akili kuliko mimi ataisoma namba

nikarudi chumbani na kumkuta bimdashi Money Stars anajiandaa namwuliza kanisani wapi akaniambia vaa haraka twende nimepigiwa simu baba anaumwaa plz naomba unisindikize, nikaona kwanini nibaki nwakati Arusha mimi mgeni, nikauvalia kigauni flan hivi amaizing kimenishika flan hivi, kichwani nasema mgonjwa leo lazima afufuke

Tukaamsha mpaka Olasiti Arusha mojaaa, kufika bonge la mjumbaaa, miaka ya 95 mtu anamiliki storey house(ghorofa 2) magari sasa yakila aina, ma 5 yamepangwaa buna BMW... JEEP...FORD RANGER...JAGUAR... DISCOVERY... doh nikachoka kichwani nasema ndio maana Doto Anita alikuwa na haki ya kutekwaaa

Kuingia ndani tukasikia surpriiiiiiseeeee... eh nini tena kumbe ilikuwa surprise birthday ya Money Stars! doh watu nyomi ya kufa mtuu!

nikatambulishwa pale Money Penny watu wanashangaa wanatuita ma twin! shughuli ikaendelea nikapelekwa kumsalimu mama ya Money Stars mzurije sasa mweupee kama panadol... nikapelekwa kutambulishwa kwa mzee Don Mwenyewe baba ya Anita na Money Stars baba mweusiiii usiku utasubiria sana alafu handsoooooome wale mababa handsome flan hivi u know!

Baba anita ananisalimia huku ananikagua mbele na nyuma nikasema kweli vipusa walizaliwa tangu Adam na Eva walivyofukuzwa bustani ya Eden

tukaondoka kwenda kujimix na watu wengine lakini baba ya Money Stars akawa ananiangalia sana kama vile ananifahamu or something

kuangalia kukazidi nikaamua kwenda kuongea nae

Money Penny: Mzee how r u?

Baba Money Stars: am fine dear, sijui wewe mtoto mzuri

Money Penny:nikajua ohooo ndio wale wale baba bombaa!... nikawa namwangalia tu

Baba Money Stars: mtoto una macho na kiuno na mgongo mzuri.. mwanangu umemjua wapi

Money Penny: aliniletea vurugu hoteli flani nikamtwanga ngumi akaamua kuniganda mpaka leo
Baba Money Stars: ahahahaha una vichekesho pia sio? hio hotel mimi siwezi kuja kukukaribisha Arusha labda tukutane hotel flani, akatoa business card ya hio hotel, usiku wa leo saa 6 nitakuwa hapo ukifika waambia chumba namba 24 cha Don watakupatia funguo utanisubiria hapo tutakuja kuyajenga

Money Penny: nikachoka lakini moyo uliendelea kutembea kuyajenga ndio nachotaka lakini huyu Don buana ku deal na ma Don kuna mawili.., kushinda na kushindwa, unaweza kushindwaa ukaangukia kuzimu saa chache za mbeleni sana na unaweza ukashinda ukaangukia peponi(Mbinguni) ukaishi maisha mazuri milele na mwokozi hicho ndicho kilikuwa kinaniogopesha.. nikamuangalia usoni kwa macho ya genye, macho kama kungu Don kachanganyikiwa basi tuonane saa 4 usiku saa 6 naona mbali maana macho yako yananiita tayari... nikazidi kumkolezea mimacho, akacheka basi saa 12 jioni uwe pale hamna shida
Money Penny: usichelewe kesho narudi kwetu Dar mara akaja Money Stars Penny twendeni tukakate keki tafadhali, nikavutwa mikono huyoo mpaka kwenye keki

akaimbiwa pale mwenyewe anaskia rahaa, ametimiza miaka 25 doh kweli kawa mkubwaa

baada ya kula keki na kukaa kuongea na mama Money Stars akaniambia aliwazaa mapacha na mwanae Doto alitekwa nyara mpaka leo hawajamwona nikawa natamani sana nimweleze lakini roho inakataa

nikahamisha topic nikamwambia mama natafuta ajira nakaribia kumaliza shule unaweza nisaidia?

Mama Money Stars: hamna neno akatoa business card yake, nitumie CV zako ukimaliza shule na ukishapata cheti nikuangalizie kazi UN kuna posts watatoa

Money Penny: kusikia UN macho yakanitoka maana kupata kazi UN miaka yetu shavu dodo sijui miaka hii
nikamuaga naenda toilet maramoja, nikaingia toilet nikawa nachungulia pale nikajua Money Stars alipo na babake na mamake nikapita mlango wa nyuma nikakimbia nikaenda kuchukua taxi nikadondokea hotelini kusanya nguo zangu zote nikaaga reception narudi DAR nimepata zarura nduki nikaingia hotel ya DON hapo saa 11 nanusu jioni

Nikakaaa weeee saa 12 hajaja mtu nikaona sasa hii set up nisije nyongwaa nikachukua simu nikampigia Aloyce hakupokea, nikasema leo ni leo siku ya kufa nyani miti yote huteleza yule baba sio mjinga kuniambia tuonane ma DON buana wapo kama amshetani muda wowote wanabadilikaga

nikaamua niyamalize na Papaa nikampandia hewani, simu ikaita sana ikakatika, ikaita tena mara ya pili ikakatika hajapokea, nikaona hapa sio kwa kukaa nitachunwa ngoziii miaka hiyo ya 95 mademu kibao walikuwa wanabakwa na kuchunwa ngoziii, nikaona hapa nafwaaa.. nakusanya kila kitu nikasema ngoja nipige kwa mara ya mwisho hapo saa 1 usiku tayari nikampandia hewani papaa, simu wakati inaita nikaskia mlango unafunguliwaa kuangalia ni DON, na huku simu ikapokelewa haloo haloo Penny haloo, nikaikata!

Don kuniona kafurahi midadi sijui ndio midadi hata simwelewi! doh Penny wa watu nilikumbatiwaje! mzee ana mahaba balaaaa
Baba Money Stars: mtoto mzuri siamini kama kweli umekuja, yani tangu nimekuona nikakupenda bure, masifa kibao kaaaaaa... akaanza kunivua nguo nikamwambia aaaa.. ngoja kwanza embu kaa
Money Penny: Mimi sikujui siwezi tembea na wewe na wewe ni baba wa rafiki yangu haitakuwa vizuri
Baba Money Stars: akacheka sanaaa! ni kweli unachokisema mrembo lakini wewe sio mavi yangu sijakuzaa

Money Penny: naogopa leo nafwaa!
lakini mimi sina tabia ya kutembea na baba za watu.. Mungu hapendi ni dhambi na mimi sio changudoa!
Baba Money Stars: aisee, ur soo childish! wenzio wanazitafuta hizi nafasi hawazipati... ila watu kama nyie wasumbufu mnakuwaga watamu na kuna kitu mnakuwa mnataka

Money Penny: mavi yakanibana, leo nafia Arusha najutaaa kuja!
wala sitaki kitu kwako

Baba Money Stars: kwanini umekuja huku sasa

Money Penny: mwanao ana mikelele sana kama mtoto wa nursery, nimemkimbia na nilishapanga kumkimbia, ila kwasababu umenipa mualiko nimekuja ila sikuja kukuvunjia ndoa yako!

Baba Money Stars: hahaha na msimamo unao, mwanangu kweli kapata rafiki, akaniangalia weeee, akasema, lakini sijui kwanini nimetokea kukupenda tangu nimekuona nimekupenda sana!

sawa me nalala au una kingine cha kuniambia

Money Penny: nikajiona mjinga sana ni sawa na kupewa YESU alafu akija unamwangalia kama TV, huu ndio ulikuwa wakati wangu wa kumaliza shida zangu zote.. yule mkewe sidhani kama atanitafutia kazi kama alivyosema najua alikuwa anataka nikae mbali na mumewe sasa hapa lazima nicheze faulo!

nilikuwa naongea na mwanao na mamake akasema ulikuwa na twins

Baba Money Stars: Yes dear alitekwa nyara

Money Penny: haukufanikiwa kumpata kabisa?!
Baba Money Stars: hapana nilijaribu kila kitu enzi hizo sikuwa na pesa mtoto mzuri kama sasa hivi, ndio maana nilishindwa, niliuza kila kitu mwanangu apatikane lakini hakupatikana... hicho ni kidonda ambacho sijui ni lini kitaponaa mrembo huku anakunywa whisk kavu doh kweli Mzee alikuwa na maumivu sio kitoto!
nikimpata binti yangu nitafurahi sana sana, sisi tulishajua alishakufa no mama yake alishajua amekufa ila mimi moyoni bado kunaniambia mtoto wangu yupo hai na ni mkubwa sasa

Money Penny: unahisi nani atakuwa amekutekea nyara? maana uhasama unakuja pale unapokuwa umemzulumu mtu..

Baba Money Stars: akacheka tu huku anakunywa! mrembo una maswali sana kama afande, ila wewe sio afande, ngoja nikueleze

Nilikuwa nafanya biashara na bwana mmoja ya madini huku Arusha alikuwa Mtz anaeishi Kenya, biashara miaka ya 80 mpaka 90 ilipofika mwaka 91 haikuwa nzuri, nikamwomba anikopeshe hela nikaoe, kama milion 10 za kitz...

Money Penny: nikatoa macho hawa watu wapo serious au? doh mil 10 miaka ya 91 kweli kazi ipo
Baba Money Stars: akanikopesha nikamwoa mama wa rafkiako, nikamfanyia sherehe kubwa sana Arusha, tukaenda Honey Moon Uingereza, tukakaa kama miezi 6 akapata na ujauzito! tukapanga kurudi, ikashindikana maana alikuwa anaumwa na kutapika sana, wakashauri ajifungulie uingereza ijapokuwa hawakupenda sana lakini watafanyaje, mkewangu akajifungua watoto mapacha kulwa na doto nikawaita Anija (Kulwa) na Anita(Doto)
ikabidi tukae sana tukamaliza miaka 2.. watoto wakawa raia wa huko Uingereza, nikaamua kutafuta vibarua sasa huko huko uingereza nikapata kazi, nikafanya kama miaka 3 mbele ya pale.. nikapata hela nikijua nkitaenda kumrudishia yule bwana zake na kufanya biashara zangu mwenyewe

kurudi Tz watoto wana miaka 5, nikamtafuta yule bwana, sikumpata nikaenda mpaka nyumbani kwake nikaambiwa hayupo alishahama anaishi Tz, jinsi ya kumpata hawakuwa wanajua

nikaenda mpaka kwenye vyombo vya dola namtafuta hakuna hilo jina kumbe alishabadilisha jina

nikaendelea na maisha mpaka watoto wakakua wakawa na miaka 7, nikawaanzisha shule, kumbe yule bwana alishafilisika vibaya mno akaja Arusha kunitafuta hakunipata akaja kuishi Dar, sijui wapi,

watoto wakaanza shule safi mwaka wa 1 nursery ukaisha walipoingia miaka 8 wakaonekana wanaakili sana wakarukishwa darasa, wakaingia la 2 mimi nikaendelea na biashara zikakubali sana sio za madini tena zingine tu, siku narudi nyumbani naambiwa watoto walikuwa wanacheza shuleni akaja kijana kuwachukua kulwa akawa analia anasema hamjui ikabidi wamuache kwanza akae, yule kijana akaondoka na doto maana doto hakuwa na shida na yule kijana!

ndio mpaka leo sijamwona tena Doto wangu.. Anita nina uhakika ipo siku nitaonana nae tu

Money Penny: mmmh! kichwani najiambia mbona hii hadithi kama haijakaa sana,,, yule Money Stars amesema walitengana wakiwa wadogo chini ya miaka 5 baba mtu anasema miaka 8 doh mbona sheedah
pole sana Mzee, pole ila kama unaamini moyoni mwako kama yupo basi atakuwepo haina shida
Baba Money Stars: huku anameza whisky yake, yes mrembo ngoja nilale kesho naenda kazini saa 2 nina kikao na mheshimiwa

Money Penny: unaweza mkumbuka jina la huyo business partner wako unaehisi amekuchukulia mtoto?

Baba Money Stars: ah sijui kama anatumia hilo jina tena mara waseme amekufa hata sielewi anywho if it helps you to sleep anaitwa.... la kisanii... la kwake kabisa ni ...

Money Penny: mmmh sio lile jambazi linalomtesa kweli Anita Dar? hapa kuna kitu sio buree!

Baba Money Stars: njoo tulale basi mrembo

Money Penny: mimi sina usingizi Mzee

Baba Money Stars: usiniite mzee tena bwana, niite mpenzi.. kwani mimi nimekuzaa?

Money Penny: ngoja nikae kwanza nina mawazo sana,

Baba Money Stars: njoo ulale ujue mimi nakupenda sana mrembo ivi unaitwa nani?

Money Penny: hahaha kweli napendwa hata mimi naona! ungekuwa unanipenda ungeshajua jina langu
ngoja kwanza nina stress za kufa mtu

Baba Money Stars: shida nini mrembo mtoto mzuri kama wewe unashida gani, au ni ki boyfriend kinakusumbua? achana nacho ur too beautiful to be stressed, uwe na mimi basi nikupe maisha

Money Penny: wakristo tunaruhusiwa kuoa mara 2

Baba Money Stars: hahahaha ur soo funny, mimi nalala upande huu ukimaliza kuwaza uje upande huu

Money Penny: ukiamka hautanikuta narudi Dar naingia kazini j4 asbh

Baba Money Stars: akaanza kukoroma kumbe hajasikia ninachoongea

Money Penny: doh hii ya leo ni zaidi ya sinema... ningekuwa mwandishi ningeandika hadithi! sasa hili zee linidanganye inisaidie nini.. nimwamini nani sasa?! mbona kiza kinene?!
nikatoka chumbani nikaenda kutafuta mpira reception, hapo roho inaniuma kweli kweli.. doh! kutembea na mizee inakuwekea nuksi kweli kweli, namuwaza yule maza na wale mapacha wake
nikajikaza moyo. mimi ndio penny, wanasema siri zinatokaga kwenye mechi, ngoja nikajaribu huenda nikajua ukweli wa mambo yote!

kufika namkuta Don anakoroma hatari ikabidi nilale, genye zote zikazodokaaa! usingizi hauji nikaamua kupaki, nikaenda kuoga nikashuka kula hapo saa 6 usiku! doh ni sheedah! nawaza na kuwazua nikarudi kulala saa 8 usiku

saa 10 asbh Don akaniamsha kwa mahaba, doh nilijuta kumfahamu!
nilipigwa show mpaka nikaomba poo! mzee lakini sio mzee kweli jina la DON linamfaa! mzee kijanaa.. mzee ana show hatarious, waswahili tunaziita show za kifalme!
Baba halali masaa 2 mzee yupo fiti mimi kijana nikachukue kozi!



mpaka kuja kukaa sawa ni saa 12 asbh nimechoookaaa nataka kulala tuu! nikalala
kushtuka saa 4 asbh naona kushaletwa breakfast, nikasimama siwezi naona naumwa show ya jana ilikuwa sio ya kitoto alafu DON alikuwa wa moto sikuelewa kwanini! japo mechi ilichezwa na mpira lakini sio kwa joto lile, utadhani nilikaliwa na moto kifuani.. huenda Mr and Mrs Don hawapo vizuri au Mr Don mwogaaa!
nikalala tena lisaa 1 nikasikia simu inapitwa, kuinuna nakuta Papaa..
Papaa: we penny uko wapi?
Money Penny: kwanini?
Papaa: nipo hotelini kwako sikuoni
Money Penny: nikakata simu nikarudi kulala, baada ya lisaa li 1 simu ikapigwa, kuangalia ni Papaa, nikakataa
kucheki saa saa 6 mchana tobaa nikaenda kuoga, kurudi nafungua breakfast nakuta hela mil 5, na kinoti toka kwa DON

Baba Money Stars: Mrembo wangu, nakushukuru sana kwa kunifanya kijana tena, sitaki kukuacha nakupenda, hii ndio business card yangu na nauli ya kurudia Dar, tuwasiliane! Nimekupenda sana hauna mambo mengi, nanilihii yako imesema yote!

Money Penny: nikachoka, nikavaa nguo haraka haraka! nikaziweka zile hela kwenye sanduku nikakaa kunywa chai huku nasonya me kuambatana na mizee ni ushuzi mtupu ataniletea manuksi mimi bado mdogo buanaaa!
katika waza na kuwazua, mara naskia hodi!

nikainuka kufungua namkuta ni Papaa! doh huyu mchungaji kageuka mzuka au

kuingia na kuingia akanishambulia na mabusu motomoto!

Penny nimeamka na nyota ya jahaa! chiu moja yote itumikie mabwana wawili ngumu jamaaa! nikastopisha show za mabusu

Money Penny: wewe na Arusha wapi na wapi?

Papaa: Mama mimi nimekuja Arusha kwa ajili ya swala moja tu kukwambia ukweli

Money Penny: doh! enhe ongea huku namalizia chai

Papaa: unajua Anita ni mzuri sana ila sio mzuri kama wewe Penny!

Money Penny: mmmh! enhe!

Papaa: ndio maana nimefanya yale yote, nimekupa akaunt ya bank, nimeongea na Aloyce akutafutie kazi Bank

Money Penny: heee! Aloyce pia unamjua?!

Papaa: nimekuachia akaunt yangu ya bank kwani wewe ulikuwa unadhani nini?

Money Penny: bwana wee skiliza..

Papaa: Penny mimi nakupenda wewe!

Money Penny: eh tenaa?!

Papaa: kweli nakupenda sana! naomba unikubalia ombi langu la kuwa mpenzi wangu, nitakupa maisha yote unayotaka!

Money Penny: nawaza, kwani leo nimeamka na Yesu au? mbona mapicha picha tuuu!

Papaa: akaanza kunichum chum palee weee penny nikakolea na hivi nilishasimuliwa kuwa ana mzigo wa haja nikaona nihakikishe!

katika fukua fukua za hapa na pale doh kweli Anita hakuwa amekosea kudandia three sum mzigo mkubwa, nikiangalia jana usiku nimesimamia show matata ya Don sidhani kama naweza endelea tena

nikajinyofoa kwa Papaa lakini Papaa hakubali! alitaka show idondoke siku hio hio saa hio hio kang'ang'ania weee ikabidi nimwambie lete mpira la sivyo mechi haichezwi

papaa wa watu kaenda kutafuta mpira pharmacy akaja, nilidungwaaa doh kweli mzigo wa haja alikuwa nao

tatu bila penny nikatoka kapa, si jana yule mjinga Don keshanimaliza nguvu! doh nilipigwa show mpaka chiu ikaomba poo!

baada ya masaa 4 simu yangu ikapigwa nikaangalia namba sijui kupokea kumbe ni Don! doh!

Don: mrembo umeamkaje umesharudi Dar?

Money Penny: salama, shikamoo, bado

Don: shikamoo kampe Babako Dar kwani unaninyima nini? kama haujaondoka usiondoke nimeambiwa niende Dar kesho asbh nina kikaao usiondoke tafadhali

Money Penny: sawa nakusubiria

Don: nakupenda mrembo

Money Penny: mhh! nikakata simu, sasa kumtoa nyoka Papaa hapo ilikuwa mbindee, nikaenda kuoga fasta nikajirembaaa! nikakusanya kila kitu changu na chake, nikamwambia jiandae basi tukakaa nje tuyajenge akaamini akaoga fasta, ile amemaliza kuvaa mimi nishatandika kitandaa, tunataka kutoka naskia mtu anafungua mlango tobaaa, Papaaa anashangaa nani huyu anafungua mimi namjua anaefungua

Akafungua akaingia Don, baba ya Anita na Money Stars! nikasema leo nafwaa, uzuri Papaa hakuwa amenishikilia kimahaba nikazuga fasta

Money Penny: oh baby! umerudi karibu!

Papaa: macho yanamtoka! kabla hajauliza huyu nani maana hasira ishamjaa

Money Penny: Baby, huyu ni kakangu anaitwa Patric amekuja kikazi Arusha akaona aje kunisalimia, huku namkonyeza Papaa kwa jicho moja huku naomba kwa Mungu asije akapandisha mashetanii nimekufaa

Basi Papaa akaniaangalia sana akamuangalia na yule mzee, akamsalimia ah salama sijawahi kukufahamu wala kukusikia wewe ni?

Don: mimi ni shemeji yako mtarajiwa, naona imekuwa mapema sana kuonana na wewe, ila nashukuru kwa kuja, naona mlikuwa mnatoka!

Papaa: ndio tulikuwa tunaenda kula,

Don: basi hamna shida twendeni wote maana ndege inaondoka saa 1usiku na hapa ni saa 8 mchana najua tutakuwa na muda mwingi wa kuongeaaa

Money Penny: nikashukuru Mungu Papaa kunielewa ila alikuwa na hasira sana, hakutaka hata kuongea na yule bwana kufika chini akajifanya anapokea simu akaongea wee sisi tumekaa tunamsubiria, akaja akaaga nimeitwa mahali kuna dharura, shemeji nimefurahi kuonana nawe some other time tutaongea, namba yako nitachukua kwa Penny

Don: ah hapana bwana basi iandike, akamtajia pale akaandika

Money Penny: nacheeeeka kimoyomoyo kweli Mungu yupo, leo nimemkomesha Patric a.k.a fake Pastor!

Papaa: akaaga pale akaja akanikumbatia madai mzungu ushuzi mtupu akaondoka

tukala msosi na Don tukarudi chumbani akanirudia kwa mpira lakini maana Penny me mkorofi hakuna mechi inachezwa bila mpira zee la watu likanielewa!

Don akanishindilia kweli kweli utadhani alihisi kuna mtu amenipitia siku hio au alitonywaa! kanikamua kweli kweli kuja kushtuka saa 11 jioni tukaoga fasta Aiport moja tukapanda ndege mpaka Dar!

Dar nikatua akakuchukua Taxi mpaka Kilimanjaro Hotel, doh! bonge la room kama zile vyumba wanakaa maraisi!

Tulipoamka mechi ikapigwa tena, hapo Penny Nimechoka kweli kweli, baada ya lisaa limoja akaniaga naenda kwenye kikao na mimi nikamuaga naenda kwetu, akaniomba nikae hotelini nikitoka kazini nirudi hotelini, nakataaje kwa mfano?!

Money Penny nikaingia kazini bank mojaaaa! namkuta bimdashi Anita a.k.a mtekwa nyara
mxiiiiuuuuu ushuzi mtupu!

Kumbe juzi jana na leo nimetoka kukalia mtaribu wa faza wake!

Woyoooo Money Penny sina roho mie, Mafia wanachukuaga kozi kwangu! ahahahahaha kidding!



TUONANE TAR 27 MARCH 2018 SAA 1 USIKU YA TZ








 
jaman wamekupiga ban tena pacha wangu
wabaya hawa

njoo imerudi hadithi hapo juu

Ushamuelewa mwenzio.. ?
nimemwelewa

Amekupenda!!!!!! Kupitia Avatar yako..
mimi ni ke sio lesbian! plz!

acha uchochezi mkuu
we mwache nitambadilikia kama nilivcyombadilikia bimdashi nanilihuu

Halafu wee money penny mungu anakuona wallah
njoo stori imekuja


Money penny umekimbia?
nipo njooo


50thebe Smart911 mahondaw mje kumekuchaa
 
Daah!! Yani upo faster sana Money Penny.

Umemlegezea macho baba wa Money Star ili aharakishe kwenda kukutoboa dimple hizo...

Ila mbona umeliwa kizembe hivyo alafu unajiita mlokole... umeniudhi sana...

Yani siku hiyo hiyo moja umegongwa na Don baba wa Money Star na Papaa...

Alafu ukaendelea kugongwa tena na tena...

Yani hapo ulipogonganisha magari.. ingependeza kama wangekupiga mtungo akili ikukae sawa...


Cc: mahondaw
 
Daah!! Yani upo faster sana Money Penny.

Umemlegezea macho baba wa Money Star ili aharakishe kwenda kukutoboa dimple hizo...

Ila mbona umeliwa kizembe hivyo alafu unajiita mlokole... umeniudhi sana...

Yani siku hiyo hiyo moja umegongwa na Don baba wa Money Star na Aloyce...

Alafu ukaendelea kugongwa tena na tena...

Yani hapo ulipogonganisha magari.. ingependeza kama wangekupiga mtungo akili ikukae sawa...


Cc: mahondaw
Jomooon sijapitwa dyu dyu na Aloyce ni Papaa soma upya

Wanaume dawa yao moja kuwagonganisha pamoja na wasimaanishe chochote kwako

Unawatumia ukiwa na genye

Sijaharakisha labda kama hadithi ya Leo haujaielewa lakini kila kitu nimeandika
 
Jomooon sijapitwa dyu dyu na Aloyce ni Papaa soma upya

Wanaume dawa yao moja kuwagonganisha pamoja na wasimaanishe chochote kwako

Unawatumia ukiwa na genye

Sijaharakisha labda kama hadithi ya Leo haujaielewa lakini kila kitu nimeandika
Huyo papaa ungemgomea ukamrusha siku nyingine huoni unajiingiza kwenye utumwa, papaa mpaka ofisini yeye ni kupigaga deki tu lakini pole kwa kazi mtu 2 kwa siku duu unapumzi
 
Jomooon sijapitwa dyu dyu na Aloyce ni Papaa soma upya

Wanaume dawa yao moja kuwagonganisha pamoja na wasimaanishe chochote kwako

Unawatumia ukiwa na genye

Sijaharakisha labda kama hadithi ya Leo haujaielewa lakini kila kitu nimeandika
Yeah i mean Papaa na Don wamekukula jana na leo...

Papaa alikua anakufukuzia siku nyingi hatimae amekukula...

Ila Don ni tit for tat... tena ukaampa show nyingi zaidi...


Cc: mahondaw
 
Duuuu nilikusifia tangu story imeanza huja ngongwa kumbeee kuna balaa mbele.... Ila yaonyesha papuchi ni ya madhiwa na athali mana mzee Don kapagawa haswaaa....
 
Back
Top Bottom