Story...By Excellent.

Hii hadithi niliwahi soma kwenye kitabu fulani, kina hadithi nzuri sana zaidi ya moja, nimekisahau, Exll. kama unacho hebu pakua nyingine nivute kumbukumbu
 
Bonge la stori.
Usiku lazima nimsimulie kadogoo wangu!

angalia usimsimlie wakat mkiwa kitandan huku umezima taa,mwenzio nilikuwa namsimulia dogo story tukiwa tumelala kumbe katikati ya hadith akapitiwa na usingizi mi nikaendelea kusimulia, mwishoni ndo nagundua. Nilimaindi afu nikacheka tena mwenyewe
 
Back
Top Bottom