😂😂Aisee hapa kazi ipo
Anacheka kama mazurii
AiseeUshaanza kujitekenya
Hapo umekaa na simu zako mbili na PC yako busy kujibu kwa IDs zako 3 kama operator 😂😂
Seran njoo uamue mi sitaki banUshaanza kujitekenya
Hapo umekaa na simu zako mbili na PC yako busy kujibu kwa IDs zako 3 kama operator 😂😂
Ukikubali mods wanakulima banInabidi ukubali tu sasa utamfanya nini Joanah na humjui mimi mwenyewe naona hii vita siiwezi
Si wanajua, we unafikiri ukiweka email hawatrack...? Kingine device zinasoma kule so lazima wajue tuUkikubali mods wanakulima ban
Joannah kumbe dada huwa unaniwazia mabaya kiasi hiki😂😂😂
Am out!
Hahahaha wewe nitalipiza tu sio bure😂😂😂
Am out!
Nimecheka sana,Zamu yako imefika eeh, tulia uionje joto ya jiwe😅