miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Tehhh hasira tenaa
Ujaona kama ni mlolongo wa hadithi unatakiwa uishie eneo fulan Alafu ye katuacha njian
Tehhh hasira tenaa
Ujaona kama ni mlolongo wa hadithi unatakiwa uishie eneo fulan Alafu ye katuacha njian
Naye anataka kuwa among JF celebrities!
mbona unamcriticise wakati hakuna dalili yoyote ya uongo hapo?
Punguza hasira miss...... subiri mwezi uishe basi mtu wangu!
Uliposema - ".....aya kwa hiyo unasubiria fadhila yakupewa penzi au ni nini?" Nakuomba usubiri, mwezi huu uishe, hizi lugha ni ngumu kipindi hiki kuzijibu!