Slim5.......umenifurahisha sana ni kweli MJINI CHAI.......MJINI PESA.....................nipo workshp Mkuu, nikitoka huku natoka na kitu! MJINI CHAI
Huyu jamaa amepotelea wapi?
It is indeed!Tc vry wonderful story
kuna thread nimemuona kachangia leo
yani we ni mkali balaa...ungelikua dem ungelipata ma-like kibao.!