Stori: Uko wapi rafiki? Kuna cha kujifunza hapa?

Mkuu hebu leo mwaga mzigo mzima hadi mwisho...
 
Last edited by a moderator:

inahitaji moyo kusoma hadi mwisho.
 
Tatizo slim5 uko slow sana, tuambie unaiweka hii story lini na lini ili tujue
 
Last edited by a moderator:
Haka kastor kapeleke hadi kwn kugegedana utaona utakavyopata wadau wng.Yan "dada mtu akanibeba kwny gar yk mpaka kwake.Ndani xma muda mfupi nikagundua hana mume,nikaletewa msosi.Dada mtu hakukaa mbali nami kwani tulikaa kwny kochi moja.Maongez yalikuwa mengi na hakuogopa kunigusa bega.
Mara akaupandisha mguu wake kwny paja langu,na akauliza unaogopa? pia akajijibu usiniogope u ar the gentleman bwana tena upo strong mpaka umemwokoa mdogo wng!!Sogea nikwambie kitu..........ITAENDELEA
 
Mm pia nimeifatilia tangu mwanzo,nimeipenda mno!!Ila unapokatakata kwenye utamu unaniuzi kweli,ila bonge ya stori big up slim 5!!

Nashukuru sana wisu
 
Last edited by a moderator:
Tatizo slim5 uko slow sana, tuambie unaiweka hii story lini na lini ili tujue

kila siku natupia wangu, ila sina muda maalum, si unajua vibarua hivi! kuhusu kuwa slow, labda hapa tu, lkn maeneo mengine nipo fast wangu! ram
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…