Stori: Uko wapi rafiki? Kuna cha kujifunza hapa?

Stori: Uko wapi rafiki? Kuna cha kujifunza hapa?

Hadithi yako...yaaani sijui ni kisa cha kweli ina uhalisia mwingi sio kama hadithi za mzizimkavu
 
Mkuu watu8 hebu nisaidie, hapo kijiweni kwako unatumia delivery mode ipi? unawakusanya ama? hebu nisaidie kamanda!

Hiki ni kijiwe cha kila siku mkuu, huwa tunakiita redio mbao...

Watu huja kwa muda wao na wakati wote watu hawakosi...

Ukiwa hapa utapata habari za Ikulu, stori za kina Wema Sepetu, stori za majirani n.k...
 
Mkuu watu8 nimekikubali sana hicho kijiwe chenu! Kwa Mzee ukifika hapo unashusha mzigo, unasepa!
 
Last edited by a moderator:
Halafu ndugu Ally hiyo mchana si iwe sasa hivi tu au!??
 
Hii story imehamishwa au mchana bado huku uliko slim5?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom