Stori: Uko wapi rafiki? Kuna cha kujifunza hapa?

Stori: Uko wapi rafiki? Kuna cha kujifunza hapa?

Mimi hapa ofisin watu wananifuata karibu wote hawajajua kama hii ki2 nimeitoa huku tupia mzigo niwe hero huku ila nita ku acknowledge nikimaliza..
watu8 - Nimekukubali kiongozi wangu, wapige sound yyt ile ya kizushi, mimi nakomaa nitupie mzigo wote kesho, wazingue mpk kesho!
 
Last edited by a moderator:
mkuu!! hii ki2 baab kubwa lete ratiba nzima ya uzi, najua ni kazi ngumu kuandika ila tupe ratiba sikotayari kui miss :A S-eek:
monanja! sina ratiba halisi, ila angalau kila siku ntakuwa narusha single walau 1!
 
Kaka jamaa washanogewa na hii stori, kila mara nawazingua kuwa kichwa kinauma nitwapa mzigo kikitulia...

Mkuu watu8 hebu nisaidie, hapo kijiweni kwako unatumia delivery mode ipi? unawakusanya ama? hebu nisaidie kamanda!
 
Last edited by a moderator:
we nihonge hiyo hadithi kwenye pm yangu uone kama sijasambaza upendo lol

Hilo mbona jepesi miss neddy! nikurushia km msg ama attachment? kama nimemsaidia mtu kama yule ntashindwa kukurushia story?
 
Last edited by a moderator:
Hilo mbona jepesi miss neddy! nikurushia km msg ama attachment? kama nimemsaidia mtu kama yule ntashindwa kukurushia story?

hahaha kumbe u mwema kiukweli eeeeh nirushie kama hadithi kuanzia part saba mpaka mwisho itakapoishia lol
 
Last edited by a moderator:
hahaha kumbe u mwema kiukweli eeeeh nirushie kama hadithi kuanzia part saba mpaka mwisho itakapoishia lol
miss neddy - usijali wangu, kesho nafanya kama ulivoagiza. ur wish, my command!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo umefunga, ningekutafuta nikathibitisha

kila siku natupia wangu, ila sina muda maalum, si unajua vibarua hivi! kuhusu kuwa slow, labda hapa tu, lkn maeneo mengine nipo fast wangu! ram
 
Last edited by a moderator:
slim5 jamani slim5 jamani slim5,nataka part ya mwisho tu mimi
 
Haya mambo tulishayasahau, maana CHAI CHUNGU alitutesa si mchezo! Toka ahamie CCM basi tena.
slim5 maliza watu tuendelee na kazi zetu bana.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom