Stimu zikipanda...

Stimu zikipanda...

Siyo lazima; wawezakuta basha tuu kwa asilia...

I sayee, Ubasha umepotea sikuhizi ulivumaga miaka ya 60s-70s.. Lakini marefa wa akina HAWA wanatiya "wanja"..
baada yakupitiwa na maBasha enzi ile !!
 
wachezaji wenyewe ndo hawa unategemea nini........
images


images
Kama ndiyo hivi hata mimi ningechukua namba za simu.
 
Ama kweli waliosema ng'ombe hazeeki maini walifanya utafiti wa kutosha.

Hatimaye kikongwe kimeinua mkonga.
 
pale karibu na kwa baba ubabya?!?!?!? lol nimemiss kambare..........nakuja hapo Lucas kupata moja moto
Tunakusubiri kwa hamu kubwa, nimefika huku jana tu, nimekuja kumuona mjomba naye nimuathirika.
 
Back
Top Bottom