Stimu za Wavuta Bangi Wawili

Stimu za Wavuta Bangi Wawili

Tekelinalokujia

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
353
Reaction score
40
Usiku mmoja majira ya saa mbili hivi washkaji wawili walikua wanatoka kwenye kibarua chao cha kuchimba kisima wanaelekea makwao, walikua wamevuta bangi kabla hawajatoka eneo la kazi, sasa wakiwa wanakatiza vichochoroni watokee barabara kubwa wapate basi, siku hiyo ilikua na mbalamwezi, mmoja akamuuliza mwenzake, hivi lile ni jua? akimaanisha ule mwezi ulioandama, yule mwenzake akauangalia ule mwezi kwa makini kidogo akitafakari alafu akamjibu rafiki yake, kwa kweli sina uhakika maana mimi maeneo haya sio mwenyeji. wakaendelea na safari yao.
 
Kuna jamaa m1 alipuliza cha Arusha kijijini kwao mida ya saa tatu asubuhi tena bila kula. Baadae akaenda kulala,mida ya saa saba mchana akaamka kwenda toi huku amewasha kibatari
sababu ya bangi alifikiri ni usiku. Uani kulikuwa na mama yake na mama mwingine wanasukana.
jamaa alipowaona alipiga kelele "jamani wachawiii" akifikiri ni usiku wa manane na wale kinamama ni wachawi.
 
Duh kali kuliko bangi noma..jaman tubadilike
 
Kuna jamaa m1 alipuliza cha Arusha kijijini kwao mida ya saa tatu asubuhi tena bila kula. Baadae akaenda kulala,mida ya saa saba mchana akaamka kwenda toi huku amewasha kibatari
sababu ya bangi alifikiri ni usiku. Uani kulikuwa na mama yake na mama mwingine wanasukana.
jamaa alipowaona alipiga kelele "jamani wachawiii" akifikiri ni usiku wa manane na wale kinamama ni wachawi.

i love u, and i love the joke...we ni noumer!
 
Back
Top Bottom