Stieglers Gorge Hydroelectric Project

Kikwete himself has been misled into thinking that this project is too big and too costly, hence it would take too long to build the power plant. The president has now falsely given up hope of implementing this project during his ten-year rule."

I hate when writters say some one was mislead how dare would he do that its him with his arrogance and failure to atributte his priorities for the development of this country not any way round
 
waziri wa Nishati atoswe kama hakuna marekebisho, hivi power plant ya kutumia urenium haiwezekani? mjadala huu Mheshimiwa Vice President hawezi kutusaidia kwa hili? maana ndiye aliyesomea nyukilia, kama ni kweli alisomea hii nuklia akaitumie wapi? mbona wasomi wengi wanatuzingua baada ya kusoma wanakimbilia Uongozi badala ya kuweka mikakati ya kukomboa nchi yetu kiuchumi
 
Hao jamaaa wanao andika thisday nao wapo makini sana,nadhani dio hao hao wanaandika na kulikoni,ni mija kati ya magazeti yanao wauumbua mafisadi hapa tanzania hongereni thisady na kulikoni.
 
daaah!kaTanzania ketu haka jamani katasurvive kweli mpaka kaweze kudevelop?najiuliza kama kuna aliye safi katika uongozi wa nchi yetu maana kila kona kuna mtu/fisadi limetega means za kuitafuna nchi.kweli kama tutafika tutakua hoi bin taaban
 
It wounds my heart to find tanzanian behaving like non Tanzanian. Ill advising president for personal interest is not acceptable and if revealed those responsible should face a death penalt.
 
daaah!kaTanzania ketu haka jamani katasurvive kweli mpaka kaweze kudevelop?najiuliza kama kuna aliye safi katika uongozi wa nchi yetu maana kila kona kuna mtu/fisadi limetega means za kuitafuna nchi.kweli kama tutafika tutakua hoi bin taaban

Tukifika nchi ya ahadi wengine tutakuwa marehemu kabisa
 
Kumbe Kikwete hajawa misled wala nini, Ikulu yenyewe ilizuia kampuni moja ya Canada kuwekeza kwenye mradi huu ambao ungeikomboa Tanzania kutoka kwenye dimbwi la umaskini!

06/18/2008 AFRICA ENERGY INTELLIGENCE N°466


TANZANIA

Stieglers Gorge Halted


The Tanzanian president‘s office has asked the Rufiji Basin Development Authority to block the entry of Canada's Energem Resources into a project to build a 900 MW hydro power station at Stieglers Gorge headed by Infrastructural Development Finance. (...) [68 words] [1.3€]
Source: DAR ES SALAAM - Stieglers Gorge Halted - Tanzania - Africa Energy Intelligence
 
Kumbe tunateseka na joto lote hili na giza nene la mgao wa umeme kutokana na kazi ya mafisadi na viongozi wala rushwa? Wallahi nchi hii itakuwa masikini milele...

Tatizo bwana la Tanesco na Wizara nzima ya Nishati ni kwamba kumelundikana watu wapenda rushwa na tamaa ya utajiri wa haraka haraka. Watu hawa wanasaidiwa na vigogo nyuma ambao huwa wanalinda maslahi yao. Akija mtu mwenye kuharibu mipango yao basi utasikia yule bwana mbishi, hashauriki, mjeuri na kadhalika alimradi atoke katika kile kiti kinachoziba mirija yao ya hela. Mie najua hili swala Stiegler's Gorge ni solution kwani maji yanatoka Mto rufiji yana nguvu kubwa sana. Ila Tatizo senior officials wazirani backed by vigogo huko nyuma wanayapinga haya kwakuwa itapunguza mshiko wanaoupata from Tanesco via wizara inayowalipa na madeal yao ya ajabu.

Pia umeme wa nyuklia ni another deal behind R.A na watu fulani kama hamuamini just wait and see mtasikia. Cha kushangaza umeme wa nyuklia ni teknolojia ya mbali sana tumeacha cheap methods za kutengeneza umeme zinazoweza kuzalisha umeme haraka tunakimbilia long term project ambazo wakubwa fulani wana interest zao. Tuna maji , tuna makaa ya mawe, tuna jua la kutosha kwanini tukimbilie nyuklia kama si ulimbukeni au mipango fulani ya watu yenye mlengo wa kuwatijirisha watu fulani tu.

Tanzania kazi ipo sana namuonea huruma JK kuna viongozi wanaomzunguka wenye kuweka maslahi yao ya mfukoni mbele kuliko kutoa ushauri wa kitaalamu wenye kusaidia taifa. na hilo ndio linaloliangamiza taifa hili. Upole wetu ndio unaotuponza it is high time tukagangamaa kupinga hizi tabia
 
Tanzania zaidi ya uijuavyo. Tutafika tukiwa tumechoka balaaaaaaaaaaaaaa.
Am beggining to loose faith kama kweli tutafika..... Maybe wajukuu zetu... Kazi tunayo bila kubadilika hapa.... Sijui tu.:embarrassed::redfaces::pray2:
 
Adui mkubwa wa maendeleo ya Afrika ni viongozi wetu. Nafikiri sasa inabidi tufike mahali tuanze kuandamana mitaani na mabango ya kulaani uhuni huu wa viongozi wetu pale unapokuwa umebainishwa. Tumechoka sasa na huu wizi na hujuma ya uchumi wetu na maendeleo ya watanzania kwa ujumla.

Kama sikosei mwaka jana Wachina walishatua TZ wakiwa full nondo kwa ajili ya ujenzi wa mitambo ya mradi huo kwa gharama zao wakapigwa stop. Huwezi kuamini.
 
Bwana mkubwa alisema haya Oktoba 2005:

"Nishati ni sawa na chembe za damu mwilini. Tunapanua wigo na aina ya vyanzo vya umeme na nishati kwa jumla ili kuwa na nishati ya kutosha na yenye gharama nafuu kukidhi mahitaji ya uzalishaji ya viwanda, utoaji wa huduma za kijamii, na matumizi ya nyumbani. Tutayashughulikia kwa kipaumbele cha juu matatizo ya sasa yahusuyo upatikanaji wa umeme nchini... Ilani ya CCM ya uchaguzi wa Oktoba 2005 inasema wazi kuwa Serikali ya Awamu ya Nne itaharakisha mradi wa kupata umeme kutoka makaa ya mawe ya Mchuchuma. Na Hivyo ndivyo tutakavyofanya. Aidha, Serikali ya Awamu ya Nne itafufua miradi ya umeme ya mto Rusomo na Stiglers [Stieglers Gorge]." Mwisho wa kunukuu..
 
Ni wakati muafaka wa kuuondoa uongoi wa chama hiki vinginevyo ni bure tu.
 
Environmental Impacts of the Proposed Stiegler's Gorge Hydropower Project, Tanzania

Raphael B. B. Mwalyosi-Senior Research Fellow, Institute of Resource Assessment, University of Dar es Salaam, P.O. Box 35097, Dor es Salaam, Tanzania.


Establishment of a planned reservoir at Stiegler's Gorge on the Rufiji River would enable a large amount of highlyvalued energy to be produced. This would represent an important national asset. But although such a large net amount of energy would be realized on a short- to mediumterm basis, its production would be negatively influenced by a variety of reservoir operation options that would be related mainly to irrigated agriculture, fisheries, and water quality, which form trade-offs with hydropower generation.

The most significant effect of the dam would be drastic reduction, by controlled discharge, in the frequency of severe floods in the lower Rufiji valley. Floods in excess of 2,500 cubic metres of discharge per second could be reduced in number from some 14 to 3 in 24 years, or from 167 to 13 during 300 years. The most devastating floods would also be reduced-from once in about 8 years to once in maybe 40 years.

The STIGO Project impact area contains a major wildlife resource in terms of size, density, and diversity. Its accessibility to Dar es Salaam gives it a great potential for tourism development. As an access road to the dam-site would be a necessary prerequisite to implementation of the STIGO Project, it would indirectly help to open up the Selous Game Reserve to tourism, which is currently being hampered by poor communications. Also, a substantial amount of the forest resources identified along this road could be exploited.

No complete populations of animal wildlife would be in danger from direct ecological consequences of river impoundment and dam construction. However, significant proportions of the populations in the STIGO Project impact area of three species (Giraffe, Wildebeest, and Zebra) would be potentially at risk, owing to their need for habitats of restricted range. On the other hand some species, including Crocodile and Hippopotamus, would increase in numbers following creation of the reservoir and improvement of their habitat downstream of the dam (due to swamp drainage).

Not withstanding that the ecological impacts of dam construction are relatively minor, the socio-economic impacts on wildlife and conservation values are potentially great-resulting, for instance, from facilitated access to the heart of the Selous Game Reserve and concomitantly increased conflict between wild animals and Man. These circumstances would reduce wilderness values and disturb animal wildlife, so that, especially, commercially valuable species may be expected to decline unless strict regulations are made and enforced.*

River impoundment would have very negative impacts on floodplain fisheries and agriculture, the latter of which would probably be changed to irrigated agriculture with artificial fertilization, while floodplain fisheries would totally collapse. Some mangrove stands in the Delta would probably be displaced by reeds. Delta fisheries would be very negatively affected, because of changes in the water regime as well as in salinity levels.

Water quality in the planned reservoir and in the downstream area would be negatively affected by the project. The water would often be unfit for human and animal consumption and use, as well as unfavourable for fisheries. The project would also have negative effects on the health of the riparian population, owing to increased potentials for disease vectors.

Overall, a high degree of uncertainty is involved in the project. The effect of the primary project (hydropower) would be negative owing to its drastic consequences for the immediate and more distant impact areas. Its image might improve and probably become positive if development in the Basin were carefully controlled and managed. This would require reliable prediction of the impacts and a thorough analysis of the remedial and/or additional measures to arrive at an integrated development strategy for the Basin. Although several measures are planned to eliminate and/or minimize the negative impacts, their implementation may be difficult in view of the bad economic situation of the country
 
Kumbe tunateseka na joto lote hili na giza nene la mgao wa umeme kutokana na kazi ya mafisadi na viongozi wala rushwa? Wallahi nchi hii itakuwa masikini milele...

stiglers_gorge4.JPG


Stieglers Gorge ni nini hasa?

Stieglers Gorge ni mpalio mwembaba unaopatikana kwenye bonde la mto Rufiji, kilomita 374 toka jijini Dar es salaam. Kwa utafiti uliowahi kufanyika mwishoni mwa miaka ya sabini na mwanzoni mwa miaka ya themanini [ 1978-1980] kwa ushirikiano wa RUBADA [Rufiji Basin Development Authority] na M/s Norplan/Hafslund, ilionekana kwamba mradi wa Stieglers Gorge una uwezo mkubwa wa kuzalisha umeme mwingi kwa njia ya maji [Hdro-power] zaidi ya umeme ambao Tanzania ilikuwa ikihitaji katika miaka hiyo. Matokeo ya utafiti huo pia yalionyesha kwamba, mpalio wa Stieglers una uwezo wa kuhimili mitambo mitatu mikubwa ya kuzalisha umeme [3 power stations]. Mtambo 'A' wenye uwezo wa kuzalisha megawati mia nne (400MW) ambao ungefungwa upande wa kaskazini mwa bwawa. Mtambo 'B' wenye uwezo wa kuzalisha megawati mia nane (800MW) ambao ungefungwa upande chini ya bwawa, na mtambo 'C' wenye uwezo wa kuzalisha megawati mia tisa (900MW) ambao ungefungwa upande wa kusini mwa bwawa. Jumla megawati elfu mbili mia moja [2100MW].
Ilikadiriwa kwamba, kwa kipindi hicho [1978-1980], ingeigharimu serikali dola milioni 1,200 za kimarekani tu kukamilisha mradi wote.
Lakini cha kushangaza, kwa sababu zisizoeleweka, serikali ikaamua kutoendelea na mradi huu na badala yake ikaamua kuwekeza kwenye vijimradi vidogovidogo kama vile Hale, Mtera, na Nyumba ya Mungu. Matokeo yake, sina haja ya kuyaelezea.
Ndugu watanzania wenzangu, wajibu wa hatma ya nchi yetu umo mikononi mwetu sote. Mustakabali wa taifa letu hautategemea viongozi waoga toka serikali kuu wanaong'ang'ania dhana ya "status quo" kwa kutopenda kujaribu mambo mapya na makubwa ya kimaendeleo. Maendeleo ya kweli hata hivyo, yataletwa na sisi wenyewe, wananchi.
Kwasababu hiyo basi, BongoTz kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ndani na nje ya nchi tumeamua kuanzisha movement ya kuishinikiza serikali kutafuta suluhu ya kuridhisha na ya kudumu kuhusu tatizo la umeme/nishati nchini.
Lengo letu ni kukusanya sahihi zipatazo milioni moja na kuziwakilisha kwa Rais Kikwete tukiitaka serikali iwekeze kwenye mradi wa Stieglers Gorge, uliopo kwenye bonde la mto Rufiji wenye uwezo wa kuzalisha umeme wa Megawatt 2100 [mwingi wa kutosha na hata mwingine kubaki na kuuzwa nje ya nchi] ili tuweze kuondokana kabisa na tatizo hili la kukatikiwa na umeme, tatizo ambalo ni aibu kubwa kwa taifa letu.
Haileti maana kabisa kwa nchi yetu iliyobarikiwa kwa vyanzo vingi vya kuzalisha umeme kama vile makaa ya mawe--Mchuchuma na Kiwira; gesi ya asili "songo songo"--ufukweni mwa bahari ya Hindi na Mnazi bay (Mtwara); pamoja na chanzo kingine rahisi kwa njia ya maji [Hydro-power]--Stieglers Gorge, Rufiji; kuendelea kusuasua kwenye kiza kinene miaka nenda, miaka rudi.
Sio kwamba Rais wetu halijui hili, hapana, analijua fika! Yeye mwenyewe, kwenye ufunguzi wa Bunge jipya la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tarehe 30 desemba 2005 alitamka na kuahidi mbele ya wabunge, nanukuu: "Nishati ni sawa na chembe za damu mwilini. Tunapanua wigo na aina ya vyanzo vya umeme na nishati kwa jumla ili kuwa na nishati ya kutosha na yenye gharama nafuu kukidhi mahitaji ya uzalishaji ya viwanda, utoaji wa huduma za kijamii, na matumizi ya nyumbani. Tutayashughulikia kwa kipaumbele cha juu matatizo ya sasa yahusuyo upatikanaji wa umeme nchini... Ilani ya CCM ya uchaguzi wa Oktoba 2005 inasema wazi kuwa Serikali ya Awamu ya Nne itaharakisha mradi wa kupata umeme kutoka makaa ya mawe ya Mchuchuma. Na Hivyo ndivyo tutakavyofanya. Aidha, Serikali ya Awamu ya Nne itafufua miradi ya umeme ya mto Rusomo na Stiglers [Stieglers Gorge]." Mwisho wa kunukuu..
Ndugu watanzania wenzangu popote pale mlipo: ushirikiano wetu sote unahitajika ili kufanikisha zoezi hili. Tafadhali sign petition hapo chini kisha wafahamishe na wengine pia. Maana tusiposhiriki sasa, nani ajuaye kesho watatuletea hadithi gani tena? Juzi ilikuwa IPTL na Richmond. Jana ilikuwa kununua mvua toka Thailand, wakati Stieglers Gorge ipo. Na kesho je...?
Yes, viongozi wetu kwasasa wanaweza kujidai kuziba masikio wasitake kusikia kilio chetu kama walivyozoea sikuzote, lakini tukumbuke kuwa sahihi 25,000 za wanaharakati wa Seberia wakiongozwa na mwana-biolojia Marina Rhikhvanova ziliilazimu serikali ya Kremlin kusitisha mpango wa kujenga bomba la kusafirisha mafuta karibu na ziwa Baikal, ziwa lenye kina kirefu duniani. Je, itakuweje kwa sahihi milioni moja toka kwa watanzania wenye uchungu na nchi yao? [Sign petition hapa]:
 
Kikwete himself has been misled into thinking that this project is too big and too costly, hence it would take too long to build the power plant. The president has now falsely given up hope of implementing this project during his ten-year rule."

I hate when writters say some one was mislead how dare would he do that its him with his arrogance and failure to atributte his priorities for the development of this country not any way round

Huu ni upuuzi wa wandishi. Kikwete alikuwa Waziri wa Nishati wakati wa IPTL, hivyo anajua naye lazima atengeneze ulaji. Na tumeshaona ulaji wake kupitia Richmond /Dowans. Na bado tunatakiwa tuwalipe Dowans Bil 185 ili kufiodia makampeni yao ya kufuru.
Kikwete is just another beneficiary wa hizo kickbacks, na hakuna haja ya kumwengua kwenye tuhuma hizi.
 
Back
Top Bottom