Sticky: Weka mipaka katika ndoa yako

Sticky: Weka mipaka katika ndoa yako

Habari zenu wanna jf, kuna mschana ametokea kunipenda sana na fikra na ndoto zake anajua tutakujaish pamoja ila kinacho nikatisha tamaa tayari mwenzangu ana mtoto ingawaje alishakata tamaa ya maiasha nikamshauri had akarudi shule ila jambo linalo nikwaza bado anawasuliana na jamaa na wakati meingine ananambia yupo kwao kumbe yupo kwa huyo jamaa yaani baba mtoto wake sasa balileta kwenu wana jf naomba mnisaidie.
 
Fungua thread watu wachangie
 
Unaharibu uzi wa mwenzio..

Bila shaka wamekuelewa,maneno mazuri sana haya,na ni afya kwa ndoa

Tumesikia. Yalinikuta haya ya kuchat na jinsi tofauti. Weka mbali na Wanandoa na for sure ukiacha mzaha wa humu JF siwezi kurudia tena kuchat kwa kiwango kile!
 
Tumesikia. Yalinikuta haya ya kuchat na jinsi tofauti. Weka mbali na Wanandoa na for sure ukiacha mzaha wa humu JF siwezi kurudia tena kuchat kwa kiwango kile!

Aisee bora ukome ndugu yangu,mana haya mambo bana yanahitaji umakini sana.
 
Mipaka ni muhimu sana haswa kwa marafiki wa karibu.

Marafiki zangu wengi hunishangaa pale wanapotaka kutumia urafiki wetu kimazoea. nadhani huwa wanabaki na maswali mengi sana. kuna wakati naweza kujiweka hata mtu kunsemesha anaona ananibugudhi, na kuna wakati najiweka hata mtu anafikiri hili jamaa hamnazo kabisa.

Nachotaka kusema hapa ni hiki........ Huwezi mwekea mtu mipaka kwa kumwambia, mara nyingi atataka kukujaribu, ishi hiyo mipaka mwenyewe nao watakujua hivyo na wataifuata. Penye kukasirika kasirika, penye kucheka cheka, penye kukemea kemea, penye usiriazi, kuwa siriaz, kuwa mgumu, penye kuonya onya bila kupepesa macho na kikubwa zaidi ni kuzingatia ukweli na hekima. (sio kila saa mtu unajichekesha tu iwe kilioni, iwe umeudhiwa, iwe umetendwa, kila hali wewe ni kukenyua tu au kununa tu...etc)

Ni kweli kabisa usemacho ndugu nimefurah kusikia haya maneno busara sio hadi uwe na mvi
 
.akili za kushauriwa changanya na zako...
 
kidudu chako ni cha wote, usiwe mchoyo kwa sababu ulichopewa wewe mimi nimenyimwa
 
Habari zenu wanna jf, kuna mschana ametokea kunipenda sana na fikra na ndoto zake anajua tutakujaish pamoja ila kinacho nikatisha tamaa tayari mwenzangu ana mtoto ingawaje alishakata tamaa ya maiasha nikamshauri had akarudi shule ila jambo linalo nikwaza bado anawasuliana na jamaa na wakati meingine ananambia yupo kwao kumbe yupo kwa huyo jamaa yaani baba mtoto wake sasa balileta kwenu wana jf naomba mnisaidie.

Ushajua yupo na jamaa yake

Unamng'ang'ania wa nini???
 
Mpigie simu huyo jamaa, mwambie unampenda mama wa mtoto wake...

Habari zenu wanna jf, kuna mschana ametokea kunipenda sana na fikra na ndoto zake anajua tutakujaish pamoja ila kinacho nikatisha tamaa tayari mwenzangu ana mtoto ingawaje alishakata tamaa ya maiasha nikamshauri had akarudi shule ila jambo linalo nikwaza bado anawasuliana na jamaa na wakati meingine ananambia yupo kwao kumbe yupo kwa huyo jamaa yaani baba mtoto wake sasa balileta kwenu wana jf naomba mnisaidie.
 
Unapotembea
sehemu mbalimbali utagundua kuwa kila nyumba nzuri yenye thamani
imezungushiwa uzio, na uzio unaendana na thamani ya nyumba na vilivyomo.
Utakuta nyingine uzio mrefu huwezi hata kuona miti iliyopo ndani na
nyingine zipo wazi mtu yeyote anapita na kutoka kama anavyopenda. Vivyo
hivyo ukiithamini ndoa yako utaiwekea mipaka, mipaka ambayo hakuna
anayeweza kuivuka. Hapa simaanishi kumuwekea mwenzi wako mipaka, bali
kuiwekea ndoa yako mipaka. Kila mwanandoa lazima
ajiw
ekee mipaka.
Mipaka hii itaiponya ndoa na wale wanaotaka ku tracepass na wewe
itakusaidia pia kukulinda.

Wewe umeoa/ kuolewa ni kwanini basi unaruhusu mtu wa jinsia nyingine
unayemuita rafiki yako akuzoee hadi kuvuka mipaka? Anakuwa huru
kukushika na kukutania utani usiofaa na wewe unachekelea tu? Unakuta
wafanyakazi ofisini wanashikana shikana na kutaniana na wapo kwenye
ndoa, je huoni kama unaruhusu watu watracepass kwenye ndoa yako? Wengine
hata kwenda lunch hawawezi bila dada au kaka fulani na wakati wapo
kwenye ndoa.

Unapokuwa online unachat je umejiwekea mipaka? Message zako na jinsi
unavyochat na watu umeweka mipaka? Watu wamejikuta wanatoka nje ya ndoa
sababu ya ku entertain chat zisizofaa na hadi wanajikuta emotionally
connected na mtu asiye mwenzi wake. Unafika nyumbani busy na simu na
hata mwenzi wako huna muda naye tena maana tayari kuna mtu umeconnect
naye emotionally kupitia simu.

Je ndugu wanaweza ingilia maamuzi yenu na kuyabadilisha bila nyie
kuwasiliana? Ni nafasi gani wazazi wanayo kwenye ndoa yenu maana hapa
pia panahitaji mipaka. Wazazi ni walezi na washauri lakini wenye maamuzi
ni mume na mke.

Weka mipaka kwenye ndoa yako, tena mipaka inayostahili maana ndoa ina
thamani kubwa

Somo zuri mkuu umenikumbusha niliingia kwenye mgogoro na wife kwa kumpa hifadhi mchumba wa rafiki yangu,wakati huo wife akiwa masomoni.
Ingawa wife alikuwa anamfahamu huyo rafiki yangu na lkn alisononeka mpaka na mimi nilijisikia vibaya.TUWE NA MIPAKA.
 
Fungua thread watu wachangie
Kabisa anachanganya mada hapa,

Umezungumza ukweli sana katika hili naunga mkono hoja. Lakini bado kuna kitu nataka kuchangia.

Mazingira uliyozungumzia ni kwa ndoa ambayo kuna maelewano mazuri.

Wakati mwingine wanaume au wanawake hujikuta kwenye matatizo kutokana na mmoja wao kuwa chanzo cha msongo wa mawazo.

Mfano ndoa nyingi watu hawasemezani matatizo yao. Unaweza kukuta mwanaume hamtoshelezi mwanamke lakini mwanamke hasemi au kinyume chake yake mwanaume amewekewa ratiba ya kudo ikipita ndiyo basi tena.

Matatizo kama haya huwa ni mbegu mbaya kwa wenza kuanza kufanya mambo yao binafsi tofauti na mwili mmoja waliounganishwa.
 
asante kwa ufafanuzi
 
Asante kwa somo zuri. Natamani kuprint hii kitu nimpelekee rafiki yangu mmoja! yeye ni mtu wa kuchekacheka tu yaani hata kwenyevitu serious yeye anacheka tu! Kila mara anagombana na mkewe kwa sababu dada yake (baba na mama mmoja) wanataniani mke/mume! Nimeshamuonya several times anadai wana mazoea ya kutaniana na dadake toka zamani!Ivi kweli dada yako unaeza mtania kwa kumuita mpenzi???
 
Unapotembea sehemu mbalimbali utagundua kuwa kila nyumba nzuri yenye thamani imezungushiwa uzio, na uzio unaendana na thamani ya nyumba na vilivyomo. Utakuta nyingine uzio mrefu huwezi hata kuona miti iliyopo ndani na nyingine zipo wazi mtu yeyote anapita na kutoka kama anavyopenda. Vivyo hivyo ukiithamini ndoa yako utaiwekea mipaka, mipaka ambayo hakuna anayeweza kuivuka. Hapa simaanishi kumuwekea mwenzi wako mipaka, bali kuiwekea ndoa yako mipaka. Kila mwanandoa lazima ajiwekee mipaka. Mipaka hii itaiponya ndoa na wale wanaotaka ku tracepass na wewe itakusaidia pia kukulinda.

Wewe umeoa/ kuolewa ni kwanini basi unaruhusu mtu wa jinsia nyingine unayemuita rafiki yako akuzoee hadi kuvuka mipaka? Anakuwa huru kukushika na kukutania utani usiofaa na wewe unachekelea tu? Unakuta wafanyakazi ofisini wanashikana shikana na kutaniana na wapo kwenye ndoa, je huoni kama unaruhusu watu watracepass kwenye ndoa yako? Wengine hata kwenda lunch hawawezi bila dada au kaka fulani na wakati wapo kwenye ndoa.

Unapokuwa online unachat je umejiwekea mipaka? Message zako na jinsi unavyochat na watu umeweka mipaka? Watu wamejikuta wanatoka nje ya ndoa sababu ya ku entertain chat zisizofaa na hadi wanajikuta emotionally connected na mtu asiye mwenzi wake. Unafika nyumbani busy na simu na hata mwenzi wako huna muda naye tena maana tayari kuna mtu umeconnect naye emotionally kupitia simu.

Je ndugu wanaweza ingilia maamuzi yenu na kuyabadilisha bila nyie kuwasiliana? Ni nafasi gani wazazi wanayo kwenye ndoa yenu maana hapa pia panahitaji mipaka. Wazazi ni walezi na washauri lakini wenye maamuzi ni mume na mke.

Weka mipaka kwenye ndoa yako, tena mipaka inayostahili maana ndoa ina thamani kubwa

Hebu mpe ackowlegement mwandishi jamani kajipinda mama wa watu sie tunapaste tu
Weka Mipaka Kwenye Ndoa Yako | Women Of Christ
 
Kinyau unabalaa wewee...ila ujumbe ni mzuri
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom