Lukolo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 5,143
- 3,209
Nimesoma gazeti la Tanzania daima ambapo nimeona kati ya majina yaliyotajwa ya waasisi wa CHADEMA mmojawapo ni Stephen Wassira. Sijaamini! Au kuna Wasira mwingine tofauti na huyu tunayemfahamu?
Katika kuonesha kukerwa na kauli hiyo, Mbowe alilazimika kuwataja waasisi na mikoa yao kuwa ni Edwin Mtei (Arusha), Makani (Shinyanga), Marehemu Brown Ngwilupipi (Iringa), Edward Barongo (Kagera), Mary Kabigi (Mbeya), Menrad Mtungi (Kagera), Costa Shinganya (Kigoma), Evalist Maembe (Morogoro) na Steven Wassira (Mara).