Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
Na hapa ndipo watanzania tunatakiwa kuamka. Hii kazi ya kunadi chama inalipiwa na serikali. Tufike mahali tuseme hapana kwa upuuzi huu.khaa hawa CCm wanachezea muda na pesa za walipa kodi huyu wassira muda wa kukaa ofisini kama waziri anaenda kwenye kampeni???
asiyemjua atajisumbua. Kwani hakusinzia kwenye mkutano huo?
Utaonaje wakati una miwani ya mbao? Amka kijana vua hiyo miwani kabla hujachelewa!Mbona sijaona kitu chochote kinachoonesha kuwa Wassira ameumbuka?
<br />Mbona sijaona kitu chochote kinachoonesha kuwa Wassira ameumbuka?
khaa hawa CCm wanachezea muda na pesa za walipa kodi huyu wassira muda wa kukaa ofisini kama waziri anaenda kwenye kampeni???
Mbona sijaona kitu chochote kinachoonesha kuwa Wassira ameumbuka?
Mtu mwenye mawazo mgando kama wewe si rahisi kuona.Mbona sijaona kitu chochote kinachoonesha kuwa Wassira ameumbuka?
You are on the extreme side of blindly indoctrinated followers of CCM and remain assured you will be the last person to meet and interact with truth. The day when CDM reality will count in your brain it will be the end of your world of reality and false doctrines of people like u.Mbona sijaona kitu chochote kinachoonesha kuwa Wassira ameumbuka?
<br />Mbona sijaona kitu chochote kinachoonesha kuwa Wassira ameumbuka?
Na hapa ndipo watanzania tunatakiwa kuamka. Hii kazi ya kunadi chama inalipiwa na serikali. Tufike mahali tuseme hapana kwa upuuzi huu.
Yeah...this reminds me. You have got a point lakini tuitazame objectively kidogo.
Nina maswali machache (kuuliza si ujinga)....
1/hivi sheria inasemaje kuhusu civil servant anapokwenda kushiriki mambo ya siasa kama hii ya Wassira &co?
2/inabidi aombe likizo rasmi au?
3/je Wassira aliomba na kupewa likizo rasmi?
4/kama ikigundulika Wassira & co hawakupata hiyo likizo, sheria za kazi zinasemaje? sheria za uchaguzi zinasemaje? na sheria kwa ujumla wake inasemaje?
Kama sheria zetu za sasa hazi-address hayo maswali yangu, then jamani iwe isiwe lazima tupate katiba mpya kabla ya 2015.
Kama sheria zilizopo zinatoa majibu ya maswali yangu, na kama Wassira & co hawakupata likizo rasmi, then:
1/CCM automatically wameshapoteza huu uchaguzi
and
2/Wassira & co must be sacked immediately!