Huyo alikuwa tozi nyangema siyo bishoo inakuwaje unakosa picha yakeKwa waliokulua Ada Estate muaka ya 2000 kushuka chini,au Mbezi Beach miaka ya 200 kuendlea wanamfahamu huyu mwamba
Alikulia familia ya kishua mboga saba tangu miaka ya 90s,mzee wake alikywa Don sana lakini mwamba alicgagua kuishi low profile
Kote alikisoma iwe Forodhani primary,St Anthon,,Dakawa High School,Tumaini University na wizara ya Ardhi,walim yachukulia powa kutokana na life style yake ya kujichanganya na kika aina ya watu
Wana Mbezi Beach hawatakusahau Bishoo Steve Msaki
Kuna watu huwa wanafikiri watu wa Dar huwa wanafahamika nchi nzimaDuh unaandika kama inakimbizwa sasa huyo bishoo kwani ni public figure mpaka ajulikane na kila mtu?
we mzee acha uongo,weka ushahidiKwa waliokulua Ada Estate muaka ya 2000 kushuka chini,au Mbezi Beach miaka ya 200 kuendlea wanamfahamu huyu mwamba
Alikulia familia ya kishua mboga saba tangu miaka ya 90s,mzee wake alikywa Don sana lakini mwamba alicgagua kuishi low profile
Kote alikisoma iwe Forodhani primary,St Anthon,,Dakawa High School,Tumaini University na wizara ya Ardhi,walimchukulia powa kutokana na life style yake ya kujichanganya na kika aina ya watu
Wana Mbezi Beach hawatakusahau Bishoo Steve Msaki
😂😂Kuna watu huwa wanafikiri watu wa Dar huwa wanafahamika nchi nzima
"picha",najua mpaka sasa kuna picha zake zenye logo ya RIP huko insta,Dah ushahidi kama upi mfano