PreGE2025 Steve Nyerere: Kusimama mbele ya Rais na kusema kuwa unamdai sio 'Heshima'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao alikuwa na haya baada ya Mpina kutoendekeza Uchawa kwa Rais

IMG_5192.jpeg

"Mh Rais Samia Suluhu Hassan hongera sana kwa Ziara Meatu, Haiwezekani kila mtu Akaona Anaweza kusema chochote kwenye Nyakati zote, Watu wanasahau Uongozi ni busara hekima na uvumilivu pia lakini kwa Wajinga na watu wasio waelewa wanaweza kuona wapo juu Ya sheria,...

Huwezi kusimama mbele Ya Rais wako Mwenyekiti wako Ukasema Unamdai kwanza sio heshima kabisa,....

Lakini watu kama hawa Mh Rais wapo wengi lla leo Umewaonyesha Sura yako Kama Rais, Umewaonyesha Makali yako kama mwenyekiti hongera sanaa,..

Naimani wanaenda kujipanga Upya lakini kamwe hawata weza,....

Tufike mahala Tutambue Tujue kuna Dola kuna Mamlaka kuna serikali na hakuna aliye Juu ya Dola na hukatazwi kusema lakini hakuna Uhuru Usio na kikomo,....wawejaaa sanaaa."
 
Anaandika msanii Steve Nyerere

Kuwa na adabu fadhali huyo steve mengere ..Baba wa Taifa hana mtoto anaitwa Steve Mr misiba
 
Anaandika msanii Steve Nyerere

"Mh Rais Samia Suluhu Hassan hongera sana kwa Ziara Meatu, Haiwezekani kila mtu Akaona Anaweza kusema chochote kwenye Nyakati zote, Watu wanasahau Uongozi ni busara hekima na uvumilivu pia lakini kwa Wajinga na watu wasio waelewa wanaweza kuona wapo juu Ya sheria,...

Huwezi kusimama mbele Ya Rais wako Mwenyekiti wako Ukasema Unamdai kwanza sio heshima kabisa,....

Lakini watu kama hawa Mh Rais wapo wengi lla leo Umewaonyesha Sura yako Kama Rais, Umewaonyesha Makali yako kama mwenyekiti hongera sanaa,..

Naimani wanaenda kujipanga Upya lakini kamwe hawata weza,....

Tufike mahala Tutambue Tujue kuna Dola kuna Mamlaka kuna serikali na hakuna aliye Juu ya Dola na hukatazwi kusema lakini hakuna Uhuru Usio na kikomo,....wawejaaa sanaaa."
Form 4 Z division 5 huyu anajua nn zaidi ya kusifia, kenge blue kbs!!
 
Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao alikuwa na haya baada ya Mpina kutoendekeza Uchawa kwa Rais

"Mh Rais Samia Suluhu Hassan hongera sana kwa Ziara Meatu, Haiwezekani kila mtu Akaona Anaweza kusema chochote kwenye Nyakati zote, Watu wanasahau Uongozi ni busara hekima na uvumilivu pia lakini kwa Wajinga na watu wasio waelewa wanaweza kuona wapo juu Ya sheria,...

Huwezi kusimama mbele Ya Rais wako Mwenyekiti wako Ukasema Unamdai kwanza sio heshima kabisa,....

Lakini watu kama hawa Mh Rais wapo wengi lla leo Umewaonyesha Sura yako Kama Rais, Umewaonyesha Makali yako kama mwenyekiti hongera sanaa,..

Naimani wanaenda kujipanga Upya lakini kamwe hawata weza,....

Tufike mahala Tutambue Tujue kuna Dola kuna Mamlaka kuna serikali na hakuna aliye Juu ya Dola na hukatazwi kusema lakini hakuna Uhuru Usio na kikomo,....wawejaaa sanaaa."

Screenshot_20250306-183123_1.jpg
 
Mungu anachukua watu wa maana kila siku alafu anatuachia wapumbavu wasio kua na maana yoyote kama huyo steve na machawa wengine 🤔 amaa kweli Mungu hapangiwi cha kufanya
 
Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao alikuwa na haya baada ya Mpina kutoendekeza Uchawa kwa Rais

View attachment 3373360
"Mh Rais Samia Suluhu Hassan hongera sana kwa Ziara Meatu, Haiwezekani kila mtu Akaona Anaweza kusema chochote kwenye Nyakati zote, Watu wanasahau Uongozi ni busara hekima na uvumilivu pia lakini kwa Wajinga na watu wasio waelewa wanaweza kuona wapo juu Ya sheria,...

Huwezi kusimama mbele Ya Rais wako Mwenyekiti wako Ukasema Unamdai kwanza sio heshima kabisa,....

Lakini watu kama hawa Mh Rais wapo wengi lla leo Umewaonyesha Sura yako Kama Rais, Umewaonyesha Makali yako kama mwenyekiti hongera sanaa,..

Naimani wanaenda kujipanga Upya lakini kamwe hawata weza,....

Tufike mahala Tutambue Tujue kuna Dola kuna Mamlaka kuna serikali na hakuna aliye Juu ya Dola na hukatazwi kusema lakini hakuna Uhuru Usio na kikomo,....wawejaaa sanaaa."
Huyu Steven ni kati ya ndezi na vibaraka wa serikali hii ovu. Serikali hii inapenda watu weupe kichwani tu.
 
Huyu jamaa amekosea heshima ukoo wake kwa kukataa jina la ukoo wake , huyu sio wa kumsikiliza
Mpina kaongea kweli na Rais ndio mwenyew wa kumwambia ukweli huo
 
Eti kipaji chake ni kuigiza sauti ya Nyerere
Hicho tu ndo kinamuweka mjini.hii nchi ngumu sana
 
Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao alikuwa na haya baada ya Mpina kutoendekeza Uchawa kwa Rais

View attachment 3373360
"Mh Rais Samia Suluhu Hassan hongera sana kwa Ziara Meatu, Haiwezekani kila mtu Akaona Anaweza kusema chochote kwenye Nyakati zote, Watu wanasahau Uongozi ni busara hekima na uvumilivu pia lakini kwa Wajinga na watu wasio waelewa wanaweza kuona wapo juu Ya sheria,...

Huwezi kusimama mbele Ya Rais wako Mwenyekiti wako Ukasema Unamdai kwanza sio heshima kabisa,....

Lakini watu kama hawa Mh Rais wapo wengi lla leo Umewaonyesha Sura yako Kama Rais, Umewaonyesha Makali yako kama mwenyekiti hongera sanaa,..

Naimani wanaenda kujipanga Upya lakini kamwe hawata weza,....

Tufike mahala Tutambue Tujue kuna Dola kuna Mamlaka kuna serikali na hakuna aliye Juu ya Dola na hukatazwi kusema lakini hakuna Uhuru Usio na kikomo,....wawejaaa sanaaa."

Nyerere OG aliwahi kusema wakati akiwa madarakani kuna mambo mazuri na ya kijinga alifanya, ila alisisitiza waache ya kijinga na wajikite kwenye mazuri...Rais ni binaadamu ana madhaifu yake pia...anakosea pia....

Mpina amesema kawaida tu kwamba hao ambao hawamdai mama basi hizo pesa wampe yeye akajenge Kisesa maana barabara kama mwanamke aliyesuka twende kilioni au burungutu.
 
Back
Top Bottom