Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,049
Everybody is limited there...very few people even visionaries like Jobs, could be able to see the future with certainty.Why couldn't he predict his life?
Everybody is limited there...very few people even visionaries like Jobs, could be able to see the future with certainty.Why couldn't he predict his life?
Hiyo ni mipango ya wazungu ya kumwangusha Obama. Ukweli ni kuwa sera za Obama za kiuchumi ni sera nzuri sana na ambazo zinashauriwa na wataalam wa uchumi. Ili Marekani ijikwamue lazima iongeze kodi kwa wafanyabiashara na kupunguza kodi kwa watu wa chini ili kuwapa uwezo wa kununua utakaochepua uchumi.
Tatizo ni kuwa republicans wakijua kuwa hilo litafanikiwa hawataki hiyo credit kuanguka mikononi mwa Obama hivo kwa kutumia congress ambako wana idadi kubwa kwa sasa kuangusha kila muswada ambao ungekwamua uchumi na kuongeza ajira.
Kitu kingine ambacho wamarekani lazima wapambane nacho ni currency pegging ya wachina wanaodevaluate pesa yao Yuan ili bidhaa zao ziwe na bei nafuu. Wasiangalie uso makampuni makubwa yanayozalisha China ambao wanahofia China kuretalliate. Bidhaa za China ziwekewe vikwazo kwa viwango wanavochezea fedha zao ili kuweka balance of trade. Hii itasaidia uwekezaji wa ndani ambao itazalisha ajira.
Kwa mwendo unavoendelea wamarekani wana hasira na Obama lakini taratibu wanangamua mchawi wao ni Republicans wala si Obama.
Obama anaangushwa na Republicans ambao kwa makusudi wanakataa kupitisha miswada yake ya utaratibu wa kodi na kutengeneza ajira. Republicans wanakumbatia mabepari hivyo hawataki kuona kodi inaongezwa kwa matajiri. Pia wanamchelewesha ili ikifika mwakani wapate sababu ya kumshtaki kwa wananchi kuwa hajafanya kitu. Lakini hatahivyo bado wanahangaika kumtafuta mgombea mzuri wa urais baada ya Sarah Paliin kujitoa kitu ambacho kinai-favour Democrats.
tatizo la Obama ni moja tu........TIMOTH GEITHNER
angemweka hapo Larry haya yote yasingetokea
Obama siyo mweusi mwenzenu. Obama ni chotara! Machotara siyo weusi. Au hamjui kuwa mama yake mzazi ni mzungu?
Na republicans walivyo wahuni sasa wanampromote Herma Cain mweusi tii kama sisi ili kuwachanganya african american(black)ambao wengi huwa na kawaida ya kuipigia kura democrats,huwezi kuamini eti muuza pizza Herman Cain ndio anaongoza kura za maoni za wagombea wa republican so far licha ya missteps kibao na hiyo 9-9-9 yake,leo baada ya kukaliwa kooni na hiyo tax plan yake kaibadili sasa imekua sio nine- nine- nine tena bali 9-0-9!!!!!
Why couldn't he predict his life?
The Apple CEO warned Obama he wasn't going to win re-election.
He wasn't looking at his life, but his works,and the world around him great people doesn't do great things for them but for others.Why couldn't he predict his life?
Mtakuwa mnamuonea tu TIMOTH GEITHNER, mimi sioni tatizo la huyu Treasury, huyu mtu anajaribu kuzi-shape visions na strategies za Obama ile zipate umbo na kuvutia mbele za watu, so chanzo ni Obama. Republicans are playing their parts ili kuhakikisha nchi inasendelea kusimama na kusonga mbele, baada ya kugundua wapi panaweza kutumiwa kamauzaifu wakajiimarisha na sasa nao wanataka sera zao ziwe practised na siyo wapelekwepelekwe tu, that was brainy na ndiyo siasa tunazizihitajia hata sisi katika nchi zetu hizi.tatizo la Obama ni moja tu........TIMOTH GEITHNER
angemweka hapo Larry haya yote yasingetokea