Mkuu huyu mzee hujifanya kwa kazaliwa na uwanasiasa lakini yake yanamshinda kwa upandi wa tanganyika na hasa hiyo pua yake kutosikia harufu ya unuko wa uvundo wa rushwa na ufisadi na meno ya tembo hebu pambana navo hivi na wote unawajua hapo ni sawa sawa na kuhisabu makumbi badala ya naazi na hebu tuwokoi tunaungua kama mshumaa sisi kina apecha alolo