Stephano moshi memorial university college

mbona UDSM imekuwa gumzo wana jamii tatizo liko wapi???.......nimesoma comments za wadau wa jamii hapo juu lakini nimeshangazwa na chuo cha UDSM kimeingia vp.........Acheni asira na chuo chenu wenyewe kwani kodi zetu wananchi ndo kinaendesha kile chuo.

mkuu,mwenyewe nashangaa nimeanza kusodolewa bla 7bu.

me nawaambia ukwel nyie mnaleta dharau,cku mkifungua chuo mkaona uzush wa pale ndo mtakumbuka maneno yangu!afu hakuna sehemu nlosifia udsm kwa hi thread so andiken v2 vya ukwel.

sasa sisi tumejuaje km unasoma udsm, kiukwel mkuu, una huo udhaifu wa kujiona chuo chako bora kwengne kokote unaona hamna ktu, mtu anapoomba ushaur ujue anashida, ila sio hivyo unavyofanya, km unaijua sehem toa maoni yako ukaeleweka, nimeshakusoma kwny thread nyingi mpk nikafikia kukwambia hivyo. Ni hayo tu!

hey wana jamii hicho chuo cha udsm kina facult nyingi sana na mtu kama kuwa proud hakatazwi ila asije akadharau vyuo vingine maana kuna watu wana point kali na wanapendelea facult fulani kutoka vyuo vingine na sio wote wamekariri maisha kuwa udsm ni kila kitu.Mbona wanaosoma pale baadhi hawakukipa chaguo la kwanza ila wamepelekwa kwa mtindo huu mpya wa TCU....

Back
Top Bottom