Stend ya Mbezi kwa Magufuli kosa kubwa ni hili

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
14,138
Reaction score
33,524
Kusolve ile stend ilitakiwa kuwa na mifano ambayo airport za wenzetu na maeneo yao wanavyotumia.

Nitatolea mfano wa airport ili muelewe.

Airport za wenzetu ukifika hapo utapata huduma zote kama tren ya kukufisha sehemu,barabara maalumu za juu ambazo zitakufikisha eneo ambalo gumu kufikika.

Kwa stendi ya magufuli mabasi mengi kutofika hapo ni kwa sababu ya miundo mbinu ya wafikiaji abiria wanaosafiri.

Kunge kuwa na treni inayoweza kumtoa mtu mfano mbagara mpaka stend ya magufuri sizani kama mabasi yangefika huko.

Miundo mbinu ya ufikiaji hiyo stend inachosha yani una mizigo na unapoelekea mwendokasi hawa ruhusu mizigo,uchache wa mabasi mwendo kasi.

Kwa mtindo huu basi nyingi zita tafuta sehemu ya urahisi wateja wao wazidi kufika kwa urahisi.
20251228_104314.jpg
 
Kufika send iwe lazima na usipofika gari ipigwe faini, hatuwezi kufika mbali bila utaratibu
Utekelezaji huo ni mgumu sana. Fikiria abiria anaishi Tegeta au Mapinga anakwenda Arusha au Moshi, je, aende stendi ya mbezi Magufuli kuanzia safari? Au akitoka safari ashukie Mbezi Magufuli stendi?

Mtoa mada Fbn ameonyesha vizuri na kwa weledi jinsi logistics za miundombinu za kuunganisha Magufuli stendi na sehemu nyingine zilipaswa kuwa.
 
Haina shida majengo.hayaozi yasubiri hata 20100 yatatumila ila.kwa sasa ni ngum mtu ana watoto wachanga anaenda arusha anakaa mbagala aj3 mbez ndio apande basi.itakua uongo. Mbez mbal sana ila kwa miaka ya badae 2100 huko au 2067 itatumika
 
Utekelezaji huo ni mgumu sana. Fikiria abiria anaishi Tegeta au Mapinga anakwenda Arusha au Moshi, je, aende stendi ya mbezi Magufuli kuanzia safari? Au akitoka safari ashukie Mbezi Magufuli stendi?

Mtoa mada Fbn ameonyesha vizuri na kwa weledi jinsi logistics za miundombinu za kuunganisha Magufuli stendi na sehemu nyingine zilipaswa kuwa.
Abiria apandie kituo chochote atakacho ila gari ipitie stand mda wa kuondoka hiyo iwe amri, gari youote ya abiria ipite stand kisha ndo iage jiji na si vinginevyo
 
Kusolve ile stend ilitakiwa kuwa na mifano ambayo airport za wenzetu na maeneo yao wanavyotumia.

Nitatolea mfano wa airport ili muelewe.

Airport za wenzetu ukifika hapo utapata huduma zote kama tren ya kukufisha sehemu,barabara maalumu za juu ambazo zitakufikisha eneo ambalo gumu kufikika.

Kwa stendi ya magufuli mabasi mengi kutofika hapo ni kwa sababu ya miundo mbinu ya wafikiaji abiria wanaosafiri.

Kunge kuwa na treni inayoweza kumtoa mtu mfano mbagara mpaka stend ya magufuri sizani kama mabasi yangefika huko.

Miundo mbinu ya ufikiaji hiyo stend inachosha yani una mizigo na unapoelekea mwendokasi hawa ruhusu mizigo,uchache wa mabasi mwendo kasi.

Kwa mtindo huu basi nyingi zita tafuta sehemu ya urahisi wateja wao wazidi kufika kwa urahisi.View attachment 3521674
Tunaongozwa na vilaza tu. Ile stand inaweza ku accommodate huduma zote. Unless hujafika na kukagua maeneo mengi yapo empty
 
Abiria apandie kituo chochote atakacho ila gari ipitie stand mda wa kuondoka hiyo iwe amri, gari youote ya abiria ipite stand kisha ndo iage jiji na si vinginevyo
Shida ya pale sio mabasi wingi wawatu kwa wafanya biashara ndotatizo nafikiri
 
Ondoa machinga wote stand, ondoa wapiga debe na madalali.

Endesha stendi kama airports, huduma zote za ulinzi na ulasama wa ndani na kimataifa, uhamiaji.
Lodges ziwepo .

Zahanati , fire department ziwepo

Logistics companies ziwepo za ndani na za kimataifa .

Data center for online tickets system and route and GPS ,ifanye kazi muda wote in servers and clouds .

Mkifanya hivyo mtaimarisha foreign travels kutumia buses, usalama wa abiria na mali zao utakuwa wa uhakika.
Na mazingira kuzunguka standa yatakuwa masafi.

sawa buses ziwapitie abiria wao kwenye vitua vya karibu, alafu waingie stand Kwa ajili ya kuendelea na Safari, ila ulinzi na usalama wa abiria na Mali zao ni lazima Uzingatiwe muda wowote Tena ki digital zaidi
 
Kusolve ile stend ilitakiwa kuwa na mifano ambayo airport za wenzetu na maeneo yao wanavyotumia.

Nitatolea mfano wa airport ili muelewe.

Airport za wenzetu ukifika hapo utapata huduma zote kama tren ya kukufisha sehemu,barabara maalumu za juu ambazo zitakufikisha eneo ambalo gumu kufikika.

Kwa stendi ya magufuli mabasi mengi kutofika hapo ni kwa sababu ya miundo mbinu ya wafikiaji abiria wanaosafiri.

Kunge kuwa na treni inayoweza kumtoa mtu mfano mbagara mpaka stend ya magufuri sizani kama mabasi yangefika huko.

Miundo mbinu ya ufikiaji hiyo stend inachosha yani una mizigo na unapoelekea mwendokasi hawa ruhusu mizigo,uchache wa mabasi mwendo kasi.

Kwa mtindo huu basi nyingi zita tafuta sehemu ya urahisi wateja wao wazidi kufika kwa urahisi.View attachment 3521674
maendeleo ya vitu vs maendeleo ya Watu.

We said, and we are saying again
 
Wenye mabasi watakuambia wanakosa wateja mpaka wawepo wapigadebe ambao mostly ni vibaka
Inabidi wapewe Elimu na jinsi ya kutumia mifumo ya kisasa kufanya Biashara zao
 
Serikali ichukue hatua, hata stand ilipohamishwa kutoka Kisutu kwenda Ubungo raia wa katikati ya mji waliiaminisha serikali hilo haiwezekani.

Kwa hiyo, LATRA isimamie na kushurutisha Mabasi yote yaende Mbezi.

Piga marufuku Shekilango, riverside au sehemu yeyote ile bus la mkoani kupakia abiria.

Mzaha Mzaha, ile stand itakua gofu kama maamuzi magumu hayatachukuliwa.
 
Back
Top Bottom