VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,375
Mkuu hapa issue sio kwamba alichofanya ni kibaya issue ni kwamba ni sawa na kumtupia jiwe nyani akalidaka akakuponda nalo hapa wewe ndio utakayeumia zaidiGaijin acha ubishi, hata mimi ukunizingua nakuchana live, iwe kwa maneno, sms au mail maadam ujumbe wangu uupate kwa wakati ninaouona mimi sahihi. Sasa kama Mama aliona hali hovyo huko kijijini wakati huohuo 'injinia' anaongea utumbo bungeni angemkawiza?
Kama wanajuana its okay lakini sometimes kwenye hili Game la Siasa sio vema kuwapa wenzako makombora ambayo wanaweza kuyabadilisha au kuyatumia kwenye Propaganda
Hivi kumbe neno unafiki ni baya eeh!! nilikuwa sijui. Mwishowe tutaanza kuikana lugha yetu!!
Sasa kama mtu nim mnafiki tumuiteje mwalimu? labda utusaidie nenoi mbadala.
Nope, i am just wishing slaa to be a man enough to ask his wife and clarify the matter... if he leaves this to josephine yanaweza kuishia kwenye mipasho ya wanawake
that is the stand i would take being a leader and the head of family...
Ulisikia neno mnafiki zuri?
Kuna adabu ya kuzungumza na watu, na kuwaita wanafiki, waongo, wazandiki, sio moja ya adabu hizo.
Haya mambo ya SMS atakuwA kapigwa kibutianataka bwana huyu
aaaa mtani unaniangush an. you cant swallow everything here.Mtani wangu Mwita........Nijuavyo mimi Josephine ni mwanasiasa hasa,tena wa jukwaani,mara nyingi wakati wa kampeni alikuwa akihutubia kwenye majukwaa na hata wakati wa maandamano ya Arusha ni mmojawapo wa walioshiriki na kupigwa na polisi na baadaye kukamatwa na mpaka sasa ni mmojawapo wa washtakiwa wa ile kesi iliyopo mahakamani......Na hata huko kijijini kwa Manyanya alienda kisiasa,wakati wa ziara ya operesheni Sangara......................Kuhusu speculation....nadhani hukunielewa vizuri mkuu wangu,soma posts za mwanzoni za thread hii utaona nini namaanisha,kuna watu wamedai kwamba Josephine na Stella wanamgombea Wilbroad Slaa,PHD kimapenzi(sasa sio speculations hizi)?......Wengine wanadai Stella alitaka mahusiano na Dk.Slaa Josephine akastuka..........Angalia pos za mwanzo utaona..........Otherwise,cheers.
Naomba unisaidie kujua adabu ya kuzungumza na mtanzania aina ya eng.,manyanya kwakuwa kure kwetu adabu niliyofundishwa ni kusema ukweli, nyeupe ni nyeupe tu!!
Na inapotokea mtu ni muongo, mzandiki, ama mnafiki natakiwa kumuitaje? natumia adabu gani kumueleza sifa yake?? ni hayo tu mwalimu.
hiii ni nini? unakera banaaaaa.soma post zote kwa makini beforeMbona hajatuambia hiyo sms imeandikwa nini jamani? Haileti sense, kama ametukanwa kwani bungeni ndani kuna kutuo cha polisi na mahakama? Duh! Hili taifa 99.9999999% watu wake ni vilaza. Nashukuru mi nipo kwenye percent iliyobaki.
Ni kweli nilimtumia msg.nilimwambia hivi.
Apunguze ushabiki na unafiki anapokuwa anazungumzia hoja bungeni kwani hata katika kijiji chake watu ni masikini sana badala yake aongee uhalisia na si nadharia.Anadhalilisha fani yake.
Hii ni baada ya mimi kwenda kijijini kwake.
she can prove me wrong.
Haijalishi, utakuwa ni mkosefu wa ustaarabu vile vile. Huwezi kumwambia mtu "acha unafiki" kisha ukasema hakuwa akitafuta shari.
Manyanya si mstaarabu kwa kuwa haikuwa na mantiki ya kutangaza bungeni, lakini na Josephine nae ustaarabu haujui vile vile
Mkuu ukiingia ccm hata kama ni profesa lazima kuna amount flani ya loss kichwani ikupate. Ni sawa na betrii 1 mpya ukaichanganye kwenye circuit (sakiti) ya betri chakavu, ile mpya hunyonywa nguvu na kushushwa kiwango sawa na hizo chakavu. Jaribu kwenye tochi inayotumia hizi betrii za kawaida uone.Huyu si injinia? sasa udigirii umekufa au vipi?
nadhani ni ustaarabu kaufanya mama josephine....ila juha zaidi ni huyo aliyetangaza bungeni....maana kama alitka kuijua kweli angepiga simu mara baada ya kuona hiyo sms nakumuuliza ni kwa nini josephine anasema hivyo na maeneo gani manyanya hafanyi vizuri...nina uhakika josephine angemwambia kuwa huko unakotoka hali ni mbaya wapiganie watu wako.....lakini yeye alipoona sms basi nadhani alitumia njia ya makato ya kujifanya kama anatuma m-pesa, au tigo-pesa ili ajue ni nani aliyetuma sms maana zinarudisha jina...au alienda kwenye mtandano husika wa mtumiaji .......yote kwa yote manyanya kaambiwa ukweli na ni wabunge wengi wanaonge autumbo humo wakati majimbo yao yako hovyo....refer mbunge anayetoka jimbo la kilindi na kile alichokisema jana mjengoni ndo utajua ccm wengi mle wanashambulia watu
nimekusoma mkuu pamoja na wadau walionishauri na nikashaurika na kubadili usemi wanguMzee Makini; nashauri tu kuwa issue kama za Manyanya take them with a pitch of salt. Kwa jinsi Manyanya alivyomsema Dr. Slaa bila title yake, amemuaddress binafsi kama alitamka hayo, alitamka kama institution hivyo Manyanya knows what she is saying ie personal. Ndiyo maana hata SMS ni personal.
Kwa maoni yangu naungana na baadhi ya wachangiaji humu kutambua issue ya uelewa wa wananchi dhidi ya wabunge wao wanapopewa dose na akina Dr. Slaa kwenye harakati za kuwaelimisha wananchi.
Msameheni injinia Manyanya msg yake kwetu ni kuwa harakati za CDM zinamuathiri which is expected and intended
Eeeeh! Na sisi bana,These are just trivial and absolutely solvable issues...no wonder hii thread imefika huku na inaendelea tu!
As for the so called Engineeer whoever.....It seems Chadema unleashed emotional laceration and you were thrown into a state of utter catalepsy.You had inured yourself in the aqua of self abnegation and immolation just to give credible representation to the down-trodden(Poor Tanzanians)..Huoni aibu kuongelea issue kama hizi bungeni? Some people are funny,shah!
...........wanaongelea haya..... halafu wanapata posho ya kukaa......inatia uchungu sana......jamani waheshimiwa tumueni vizuri muda wetu bungeni:A S cry:Stella Manyanya atema cheche Bungeni akimtuhumu Dr Slaa kwa kuwafundisha wananchi wasifanye kazi wakati yeye amewahamasisha wananchi wa kijiji chake (hakukitaja) wajitolee kufanya kazi za maendeleo, anasema ameudhiwa sana na kauli ya Dr Slaa kuwaambia wananchi wakisikia harufu ya chakula kizuri basi kinakuwa kimepikwa kwa mbunge.
Pia amemuonya anayeitwa Mchumba wa Dr Slaa kwa kumuandikia SMS za kumtukana, anasema eti alifuatilia hizo SMS akakuta zimetoka kwa Josephine Emmanuel.
Najiuliza hivi wabunge wa CCM hawana mambo ya kuchangia zaidi yakuingiza personalities?
Tuwe wakweli, huwezi mtu akakuita mnafiki kisha ati umpigie simu wewe kwa upole umumuulize kwa nini akakwita mnafiki. Kwa hili Josephine hateteeki, alikosa ustaarabu. Na Manyanya nae ndo kabisa, hata definition ya neno ustaarabu halijui
Ukitaka kuelewa somo la adabu tuanze na kufikiri unazungumza na wazazi wako. Kama mama yako muongo, utamwita muongo au utamtafutia neno au maneno mengine ya kufikisha ujumbe wako? Kama baba yako mnafiki jee? Hiyo nyeupe ni nyeupe uliofundishwa kwenu unaitumiaje hapo kwa wazazi wako?
Ukishajua hapo tutasogea stage ya pili ya somo la adabu za mazungumzo