Stella Manyanya amkaba koo Dr Slaa

ndio maana nikasema slaa aongee kwanza na mkewe, na mke akisema no... basi anaamua kukaukia ishu au kumuombea msamaha manyanya kwa kuropoka mambo ya jikoni bungeni
 

Mkuu huoni kwamba itakuwa si busara kwa Mume kuingilia kwenye (so called ugomvi wa mchumba wake) when (allegedly sababu hatujui even if its true kwamba mchumba wake ndio amesms) wakati mchumba mwenyewe anaweza akasort out mwenyewe?
 
Sasa Dr Slaa siyo mbunge atamjibu wapi au itabidi alidi jimboni kwa Stalla akamchane huko huko...

Manyanya si mbunge wa jimbo lolote la uchaguzi, ni mbunge wa viti maalum mkoa wa Ruvuma. Ama unataka Dr. Slaa aende kujibu mapigo songea?? nadhani hana sababu, after all Manyanya ni mtu mdogo sana kujibishana na Dr. Slaa, we mwenyewe angalia utumbo anaozungumza bungeni, hata yulem mama wa kasulu ambaye si engineer/msomi kama manyanya anaongea vitu vya kueleweka.
 
viti maalumu wanamatatizo sana hivi inabidi viondolewe, sidhani kama nchi hii yenye matatizo kibao bunge la bajeti linaweza kupoteza muda wa miezi mitatu katika kujadili upuuzi kama huu. Hayo ni mambo ya nje ya bunge kama ametumwa kumchafua basi sio sehemu yake, tunamambo mengi sana wananchi tunakabiliana nayo tunahitaji changamoto kutoka kwa wawakilishi wetu (wabunge) kutuwakilisha vema ili kupata ufumbuzi wa matatizo yanayotukabili kama janga liliopo sasa la umeme na vyakula kuwa juu. Sidhani mambo ya meseji na uchumba ni sehemu yake.
 
Labda hilo la ujumbe halina tofauti na zile SMS za wafuasi wa mgombea mmoja wa urais uliopita ambazo zilionekana kutokea nchi za nje kumbe zilikuwa zinasukwa hapa hapa nchini.

Ukijiuliza, kunaweza kukawa na kitugani cha msingi sana hadi yeye atumiwe sms za matusi ni vigumu kupata majibu. Labda huyo Manyaya angeenda mbali zaidi ili tujue kunani nyuma ya pazia hadi hayo yatokee. Kwa mtizamo wangu, Manyanya ni sisimizi kwa Slaa na bila shaka hata kwa Josephine pia hawezi kuwa na uzito unaozidi wa unyoya!

Ni mtizamo wangu tu!
 
Huyo Stella hafai kujibiwa hata kidogo, aachwe tu apumbae

Swadakta mwalimu,

Dr. Slaa hahitajiki hata kidogo kumsemea Josephine, afterall nani mwenye uhakika kwamba Josephine alnayetajwa ndiye mke wa Slaa??

Na hata kama ni kweli ndiye, basi Josephine mwenyewe atayamaliza.
 

mkuu hapo umemaliza, kwanini huo ujumbe usiende kwa sophia simba au hawa ghasia uende kwa eng.stella?? au kitanda cha pembeni?? Dr. nae bwana apunguze km ni mchezaji wake wa akiba, atasababisha tukose imani nae.
 
Huyu si injinia? sasa udigirii umekufa au vipi?
Hiyo siyo degree ya c**** kweli? Hoja iliyoko mbele ya Bunge ni speech ya PM...inakujaje so called inginia analeta mambo personal ndani ya Bunge..anamwonya nani? Hivi hajui sheria za nchi?
 
Thats why i hate politicians,Huyu mama sijui amesoma polical engineering..Mi nahis huyu mama alikuwa anajilengesha kwa daktari wa ukweli amtibu na daktari akashtukia na daktari akaifikisha ishu mke wake naye akaja juu.Lakn hii ni ishu ndogo ambayo si ya kuongelewa bungeni
 
Nope, i am just wishing slaa to be a man enough to ask his wife and clarify the matter... if he leaves this to josephine yanaweza kuishia kwenye mipasho ya wanawake

that is the stand i would take being a leader and the head of family...

Kwa hoyo kila Mwanamke akigombana na Josephin, Slaa afuatilie? we huwa unafuatilia kila ugomvi wa mkeo?
 
ninamashaka na huyu engineer maana sijui alisoma uhandisi upi maana kwa mtu mwenye elimu kama yake hakutakiwa kujibu kwa njia kama hiyo. nje yahapo yuko bungeni bila kujua nini aantakiwa kufanya ndio maana anaongelea mambo ya kifamilia na kama anajua haki lazima kama engineer amesoma sheria hivyo kama ana uzibitisho basi angenda kwenye sheria wala sio kuropoka bungeni
 
Hana kitu huyu maza, amshukuru SS alipomweka kwenye kamati ya Mwakyembe ndo kapata jina. Vipi ZK kawasilisha ushahidi?
 
Nimeipenda hii, kichwa kikiwa kibovu ni aghalabu kukuta mikono,miguu, na tumbo ni vizima,hiki kichwa tukifanyeje???????Rais mbovu huzaa uongozi mbovu,na mbunge bovu sijawahi ona,inginia asiejua hata haki zake kuwa akikosewa afanyeje hadi akasemee bungeni shame to you manyanya ndio matokeo ya hawa wabunge wa kuteuliwa.Huyu ni mmoja kati ya wale waliotuhadaa wa tz.mitume 12 akakomalia issue ya Richmond halafu wakaingia mitini sasa hawana hoja inayowanyayua wanatapatapa tu.
 
I agree with you!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…