Hivi hana mume huyu?
simpo sana mwalimu
kama ni mimi ntasimama, ntaomba ruhusa ya kuongea na nitasema kwamba ni kweli kumekua na majibishano kati ya hao wawili and it was more personal au yanahusiana na "mambo yao" ambayo hayana tija kwangu na kwa taifa... na nimemkanya mchumba wangu aache hayo mawasiliano kwani watanzania wanahitaji maendeleo na sio malumbano ya kike
vilevile ntamshauri stella aache kujibishana (kama na yeye hujibu) na atafute muda wayajadili na kuyamaliza kikubwa kwani wote ni watu wazima na wenye heshima zao....
Mwisho nitaomba msamaha kwa wabunge kwamba mambo ya personal sms hayana tija kwa taifa na kama kila mtu angeanza kusema sms anazotumiwa na mwingine basi bunge lingegeuka "kanga moko laki si pesa"
Duu bange hiloo aaah sorry BUNGE HILO!Swali kwa Ir Manyanya. Una mme?
Swali tena kwa Ir Manyanya unamtamani Dr Slaa?
Nimeamini, ccm inachakachua akili za wasomi. Hata hivyo sishangai Tanesco kuwa kama ilivyo kama kweli wewe dada ulikuwa engineer pale! Ninaanza kuwa na shaka na elimu yako!
Nope, i am just wishing slaa to be a man enough to ask his wife and clarify the matter... if he leaves this to josephine yanaweza kuishia kwenye mipasho ya wanawake
that is the stand i would take being a leader and the head of family...
Huyu si injinia? sasa udigirii umekufa au vipi?
labda nae alikuwa anawania nawasi ya Josephine...haingii akili mtu kuanza kutumia message za matusi bila sababu yoyote ya msingiManyanya hajaelezea kinagaubaga chanzo cha kutumiana sms na mke wa slaa, sasa from nowhere unamtaka slaa ajitokeze kuclarify kitu gani??
Hapa ilitakiwa manyanya atueleze kikamilifu sakata lote ndipo tuseme kwamba slaa anatakiwa kuclarify ama josephine mwenyewe anatosha kuclarify.
Si kila jambo analofanya mkeo lazima ufahamu ama ulitolee maelezo, kumbuka huu ni mchezo wa kisiasa, slaa anawanyima usingizi wanamagamba kwahiyo hawaoni shida kuzusha lolote dhidi yake ama dhidi ya mtu wa familia yake.
Nope, i am just wishing slaa to be a man enough to ask his wife and clarify the matter... if he leaves this to josephine yanaweza kuishia kwenye mipasho ya wanawake
that is the stand i would take being a leader and the head of family...
Ths country without demonstration mambo meng hayatimizwi so kuandamana, kugoma ndio kwenyewe! Cjui niseme ni coincidens au ndivyo walivyo hawa the so cold engneers?....wanaongeaga chenga sana jameni! I knw one dada (LJM)ambae ni hydro eng.ni upupu kweli ktk kutoa hoja!yawezekana pia ujazo hauna upumbavu na uelewa usio na uelewa ukakuyumbisha kwenye kudadisi na kuchanganua....hakuna watu waliowahi kuandama nchi hii kama wanaCCM, tatizoi ni kwamba nyani haoni kunduleat times wapumbavu kama "mimi na wewe" huwa tunashindwa kuelewa simpo theories za productivity na motivation and how we can use demonstration as a driver for productivity, including maanamanobut anyway, nisijeleta sokomoko kwa sokomoko mwenye uelewa wa ki-sokomoko na kuishia kuwa kisononoThanks
ni kweli kabisa na ndio maana nikasema slaa aombe tu radhi kwa mambo ya binafsi kusemwa bungeli, tena na injinia stellaHivi hawa nao si binadamu kama wewe na mimi? Kwangu tatizo sio sms ila kuipeleka bungeni wakati wa kuchangia hotuba ya Waziri Mkuu. Inaathiri vipi maendeleo ya watu?
Josephine ni memba hapa vilevile...Stella got it wrong on Slaa kuhamasisha wananchi wasifanye kazi, sijawahi sikia huu upuuzi, lakini suala la sms naomba tusianze kurusha mawe, slaa is a member of JF, so he can as well clarify kuhusu sms kutoka kwa josephine...
thanks buddy, sasa walio jikoni hawatakiThs country without demonstration mambo meng hayatimizwi so kuandamana, kugoma ndio kwenyewe! Cjui niseme ni coincidens au ndivyo walivyo hawa the so cold engneers?....wanaongeaga chenga sana jameni! I knw one dada (LJM)ambae ni hydro eng.ni upupu kweli ktk kutoa hoja!
Duu bange hiloo aaah sorry BUNGE HILO!
Hv jamani kuna sehemu yenye pumba kama bungeni??
mmh hata MS anafikilia sana yaani wabunge woote wamagamba mwenye point ni Lowasa!!
Hawa watu sijui wamelogwa, wadau mseme kama kunamtu mwingine toka ccm mwenye point!
Yaani mahali pale panaonekana kama KIJIWE FLANI CHA MAPUNGUANI!
sikujua!!Josephine ni memba hapa vilevile...
kWA akili yangu ya kawaida ambayo haijapata kupanuka sana na kuitwa injinia,kwanza yule SI mchumba wa slaa ni mke halali mana sheria inaliweka hili wazi.
Pili stella MATOMATO ni mpuuzi mana cjawai ona tamko hata moja la Dr. Kuwakataza watu kufanya kazi.
Tatu sio lazima mwanaCCM ukitaka kung' aa bungeni ukipake matope chadema,jana beatrice shelukindo kaiDISI jF leo Dr slaa Kadisiwa na Stella MATOMATO.inamana Ccm Haina hoja ya msingi?
Ushauri;ccm mnakufa na mnajitaidi kuwapaka matope wengine.kawadanganyeni wazungu wabongo wameshawashtukia.
Viva CHADEMA,UMMA UTASHINDAA!!
Slaa naye kazidi! na hako kamchumba kake naona kanataka kujitafutia umaarufu!