Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,532
That was yesterday though!
That was yesterday though!
Kama wewe ni mtu wa magendo aidha ununue VPN za nje ,ununue hacker deepweb akufanyie kazi ,ku hire hitman ,nk na bitcoin hutumika sana deepweb tumia sababu ni pesa iliyo salama haujulikani identity yako,haiachi alamaYales bado nasubili jibu lako naona umepotea ghafla.
wanamfanyia promo nani ?Bank ni organization yenye vigezo vyote ila sitakaa niamin janja janja zenu
Ninachokiamini mm ni kuwa. U earn a lot of money kwa kufanya investment ila cyo hizo kind of gambles mnacheza na mnakuja kutapeliwa mnalia. Ukichunguza wanaotetea huu utapeli ndo mamluki waliotumwa kuja kufnya promo ya hizi vitu
Aisee ulipoteza bahati. Imagine ungeweka pesa kipindi hicho Leo hii ingekuwa imemultiply how many times. ilikuwa lini kwanza?Mi kunq jamaa alishataka kiniingiza na nikishakubaki. Nilichomoq dakika ya mwisho. Haikupita siku na serikali ikaipiga marufuku. Nilipomuuliza akasema hiyo ni vita ya mabenki hawataki coins kwasababu ni competitor wao. Nilipata ushauri kwa ndugu yangu yuko benki na kunizuia nisijiingeze kwenye huo mchezo maana ni version ya upatu tu. Na kweli ni kama ilinisaidia.
Kwanza ukishaongelea Deep web tayari unazungumzia mtandao wa wapigaji.Kama wewe ni mtu wa magendo aidha ununue VPN za nje ,ununue hacker deepweb akufanyie kazi ,ku hire hitman ,nk na bitcoin hutumika sana deepweb tumia sababu ni pesa iliyo salama haujulikani identity yako,haiachi alama
Ila kwa hapa bongo ni kudanganyana tu na wengi wanalizwa sababu utauziwa na mtu humjui ukimtumia dollar 300 mfano ili ununue bitcoin ndio anakutapeli au ukinunua huko deepweb ndio kabisa wana kuhack na kukuchukulia zote
Huko China watu wana convert fresh into cash ila tatizo namna ya kuipata sababu 99% lazima utalizwa tu huwezi from no where ununue kwa unknown person bitcoin ukimtumia unaingia cha kike
Mwaka sasa umepita.Aisee ulipoteza bahati. Imagine ungeweka pesa kipindi hicho Leo hii ingekuwa imemultiply how many times. ilikuwa lini kwanza?
sema ndo hvyo hii btc haitabiriki ni lini itaanguka but that time ungejitupa ndani bila kusita hakika Leo hii ungekuwa unazaid ya Mil 30 kama ungenunua 1btcMwaka sasa umepita.
Aliyekuwa anatushawishi bado naina naye hana tofauti na alivyokuwa.sema ndo hvyo hii btc haitabiriki ni lini itaanguka but that time ungejitupa ndani bila kusita hakika Leo hii ungekuwa unazaid ya Mil 30 kama ungenunua 1btc
Lbd bado hajaziuza anasubiri zikue zaidi. Mshauri auze mapema kabla mambo hayajachangeAliyekuwa anatushawishi bado naina naye hana tofauti na alivyokuwa.
Ni kweli maana huu mchezo nao ni upatu. Mara nyingi wanaoingia mwanzo ndo wanapata. Na ukichelewa zaidi inakula kwakoLbd bado hajaziuza anasubiri zikue zaidi. Mshauri auze mapema kabla mambo hayajachange
acha kutujazia ma article yako ya kukopi na kupaste mburura wewe
unatujazia server na ma article yako ya kipuuzi tuBaFin, European Union
There’s been a string of warnings by regulators for investors in digital coins.
“We are seeing a rapid rise in value, which hides the risk of rapid losses,” Bundesbank board member Carl-Ludwig Thiele said in a Euro am Sonntag report. He said there is a wide debate going on about the use of digital central-bank money in a closed system, but that he doesn’t currently expect it’s introduction.
Felix Hufeld, president of German banking supervisor BaFin, advised consumers that trading in bitcoin would produce “bitter losers” and could result in a “total loss,” in an interview with German newspaper Bild.
EU Warning
That echoed comments three days ago by the European Union’s financial-services chief, Commissioner Valdis Dombrovskis, who asked the heads of the EU’s three financial supervisors to update their warnings to consumers “as a matter of urgency” in light of recent market developments, according to a letter seen by Bloomberg.
In past years, central banks and the commercial lenders they oversee have made strides to curb money-laundering through greater transparency rules, only to see anonymous transactions explode in the nascent cryptocurrency industry -- under names like Verge and Zcash. Their admonishments this month haven’t stopped double-digit rebounds.
“Huge rises and sudden, spectacular setbacks wouldn’t surprise me going forward,” ADM’s Ostwald said. “The worry is going to be, at some point, the pips are going to start squeaking.
Retail investors losing money will ask, ‘Why aren’t you intervening to help me? And the answer is going to be, ‘Well, this is a casino. On your head, be it.’ ”
For related news and information:
XBT Curncy GP <GO>
VCCY <GO> for a cryptocurrency monitor
— With assistance by Katharina Rosskopf