Yales
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 517
- 528
Amazon,paypal, Aliexpress, Ebay, wordremit au waves au iTunes wana ofisi Hapa Tanzania?Mkuu mimi nataka kujiunga na Bitcoin, je ofisi zao hapa Tanzania ziko wapi?
Amazon,paypal, Aliexpress, Ebay, wordremit au waves au iTunes wana ofisi Hapa Tanzania?Mkuu mimi nataka kujiunga na Bitcoin, je ofisi zao hapa Tanzania ziko wapi?
Fanyeni kazi achaneni na huu upumbavu.
Hata google na Facebook hawana ofisi Tanzania.Amazon,paypal, Aliexpress, Ebay, wordremit au waves au iTunes wana ofisi Hapa Tanzania?
Google na Facebook izo achana mi nazungumzia site ambazo unaweza lipa kununua au tu za kufanyia miamala je zina office apo bongo?Hata google na Facebook hawana ofisi Tanzania.
Lakini ni vitu viwili tofauti na hizi Pyramid zenu.
Ok hizi coin zenu nikitaka cash hapa mjini napataje?Google na Facebook izo achana mi nazungumzia site ambazo unaweza lipa kununua au tu za kufanyia miamala je zina office apo bongo?
Kuna swali nimeuliza hapo juu mbona sijibiwi?Soon bitcoin ita wa shangaza "invest what u afford to lose
Wanavuta pumzi ya kupanda kwa kasi bhana we watu wame exchange kula hollydays so ikianza kupanda dola yenyewe itaomba poo
Kwa tz naona hawaruhusu hiyo ila benki nying za mamton wana ruhusu kupata cash kwa tz hakunaaOk hizi coin zenu nikitaka cash hapa mjini napataje?
Bitpesa ipo Una toa via mpesa, Ila uwe tu verified kule bitpesa ukitaka cash pia unaweza kumuuzia mtu na akakuwekea hela via mpesa au mkafanya biashara physicalOk hizi coin zenu nikitaka cash hapa mjini napataje?
Ndio maana ukajiita FISI!Yaan ww ni msomi au mtu wa kukariri ujuha wako utakufanya uish maisha ya shda hd unakufa wenzio wanatoboa kuna vitabu vn vimeandk hbr ya bitcoin km hujui kaa kmya usijufanye unajua kila kitu alfu unspotosha watu
Mbona mimi napata na nina withdraw hela zangu? Hao wapigaji ndo akina nani mkuu?Ni ngumu sana hii kupata pesa isipokuwa kwa wapigaji
Ni sawa na kuiliza kwamba USD ni sawa na forex!!!? Bitcoin ni hela. Forex ni kifupi cha foreign exchangeKumbe yamekuwa haya! Juzi kati nilitaka kujaribu nikajiambia wacha nisome isije ikawa upatu. Hahahhhh sasa itakuwaje maana kuna vijana na wazee waliingia kwenye hili wakasema 'kazi ni za wasomi tu'
Forex nayo ni jamii ya hii au ni tofauti
Bitcoin=Forex au ni aje?
Tufahamishane wajameni....
unauza hizo bitcoin na kupata cash kwa njia ya mpesa ,airtelmoney na mitandao mbalimbali utakao uhitaji kupitia www.remitano.comKuna swali nimeuliza hapo juu mbona sijibiwi?
Nikiwa na shida hizo bitcoin natumiaje?
Tupo kwenye sikukuu nahitaji matumizi ya familia napataje cash?
Ok hizi coin zenu nikitaka cash hapa mjini napataje?
Dah sisi ngoja tuendelee kubeba zege izo bitcoin chezeni nyiny
Mi kunq jamaa alishataka kiniingiza na nikishakubaki. Nilichomoq dakika ya mwisho. Haikupita siku na serikali ikaipiga marufuku. Nilipomuuliza akasema hiyo ni vita ya mabenki hawataki coins kwasababu ni competitor wao. Nilipata ushauri kwa ndugu yangu yuko benki na kunizuia nisijiingeze kwenye huo mchezo maana ni version ya upatu tu. Na kweli ni kama ilinisaidia.Hii inaweza kuporomoka zaidi kwani wengi machale yameshawacheza hii kitu ni utapeli tu. Watu watacheza nayo mbali na hivyo kusababisha kasi ya kuporomoka iwe kubwa sana. Ngoja tusubiri tuone muelekeo.