Usidhani kwa sababu babaako na mamaako ni mamburura basi kila mtu ni mburura.
Kiongozi kama ulivyo sema mwishoni MwA mwaka wengi wanauza Bitcoin ili wa finance siku kuu za mwisho WA mwaka na hivyo kufanya Bitcoin ishuke. Tegemea irudi mahali pake katikati ya January. Hiki ni kipindi kizuri kununua na kuziholdMkuu BAK naamin kabisa wewe ni mtu smart sana,
Na kabla ya kufanya chochote huwa unajiridhisha kwanza kwa data na kautafiti kidogo,
Unanisikitisha sana unaposema huu ni utapeli,
Nilitegemea ulete graph za bitcon kila mwezi december na january ili ulinganishe na kinachoendelea sasa
Mwishoni mwa mwaka na mwanzoni mwaka bitcon huwa inashuka sijajua kwanini
Kiuhalisia bitcoin huenda mpaka April 2018 itakuwa ipo juu sasa probably $30000,
Nakwenda kukutafutia data sheikh wangu
Mimi kutusiwa imeingiaje kwenye mjadala huu?
Umetusiwa wewe bosi au mama ako,
Kama kakutusi wewe kwanini usirudishe kwako,
Usijivunjie heshima yako bosi
Sasa reality ni kwamba kichaa akikunyang’anya taulo halafu ukaanza kumkimbiza ukiwa mtupu wewe ndo unaonekana kichaa busara haina kikomo kwamba nili-behave sana miaka ya nyuma sasa sitakiwi kubehaveNimetunza heshima yangu humu kwa miaka mingi sana. Nilikuwa situkani mtu humu hata wamiliki wa JF wanaweza kuthibitisha hilo. Ila uvumilivu huo sinao tena na hakuna mipaka.
And the closure of Coinbase in the US is the start.Want to know about
*BITCOIN*
A lot of monkeys lived near a village.
One day a merchant came to the village to buy these monkeys!
He announced that he will buy the monkeys @ $100 each.
The villagers thought that this man is mad.
They thought how can somebody buy stray monkeys at $100 each?
Still, some people caught some monkeys and gave it to this merchant and he gave $100 for each monkey.
This news spread like wildfire and people caught monkeys and sold it to the merchant.
After a few days, the merchant announced that he will buy monkeys @ 200 each.
The lazy villagers also ran around to catch the remaining monkeys!
They sold the remaining monkeys @ 200 each.
Then the merchant announced that he will buy monkeys @ 500 each!
The villagers start to lose sleep! ... They caught six or seven monkeys, which was all that was left and got 500 each.
The villagers were waiting anxiously for the next announcement.
Then the merchant announced that he is going home for a week. And when he returns, he will buy monkeys @ 1000 each!
He asked his employee to take care of the monkeys he bought. He was alone taking care of all the monkeys in a cage.
The merchant went home.
The villagers were very sad as there were no more monkeys left for them to sell it at $1000 each.☹
Then the employee told them that he will sell some monkeys @ 700 each secretly.
This news spread like fire. Since the merchant buys monkey @ 1000 each, there is a 300 profit for each monkey.
The next day, villagers made a queue near the monkey cage.
The employee sold all the monkeys at 700 each. The rich bought monkeys in big lots. The poor borrowed money from money lenders and also bought monkeys!
The villagers took care of their monkeys & waited for the merchant to return.
But nobody came! ...Then they ran to the employee...
But he has already left too !
The villagers then realised that they have bought the useless stray monkeys @ 700 each and unable to sell them!
The Bitcoin will be the next monkey business
It will make a lot of people bankrupt and a few people filthy rich in this monkey business.
That' how it will work
Ha ha sio kwa matusi hayawewe ndio mpumbavu wa kiwango cha lami kenge wewe hujui chochote kuhusu bitcoin mbwa wewe we unaokota habariza kwenye google na kutuletea huku mimi bitcoin ninazo na soko lake nalijua pumbavu wewe
Hapo ndo unapoanzia kupigwa na wajanja wachache....kwa hiyo we unaamini soko liliajianzisha lenyewe tu na halina mmiliki?hakuna mtu anaecontrol soko la bitcoin....bitcoin inajiendesha yenyewe na soko lake liko limited yaani hamna bitcoin nyingine mpya zinazoingia sokoni.....
Huyo jamaa ni kichaa nilikuwa namuona wa maana kumbe ni lofa asiejua lolote lile,Ona sasa unavyotokwa na Povu sasa nikujue wewe utanisaidia nini kwa mfano? Afu Hio ya Engineering na political science nimetolea mfano sasa nashangaa mfano ndio unaubeba kama maudhui na kuutolea Povu, Wewe tulia kule kwenye siasa tu ukiendelee kumtolea Povu Mheshimiwa JPM huku kwa Bitcoin tuachie Wenyewe.
Soko halikujianzisha lenyewe,,,,unawafahamu bitcoin foundation,,,, inaonekana huna taarifa sahihiHapo ndo unapoanzia kupigwa na wajanja wachache....kwa hiyo we unaamini soko liliajianzisha lenyewe tu na halina mmiliki?
Ni nani anayeisimamia na kuidhibiti digital platform ambako trading inafanyikia?
Na endapo conversion ya bitcoin into hard cash ikishindikana, hizo bitcoin (zilizo online tu) zitakuwa na thamani gani kwa 95% ya wawekezaji wa level yako?
Thats where the monkey business starts.
Stay away from Bitcoin crazy
nilinunua bitcoin 350,000 nikauza milioni 16,500,000....ndani ya mwaka mmoja tatizo nyie nyumbu wa CHADEMA kazi hamtaki kufanya mmebaki kumtukana Magufuli
bitcoin nayo ni kazi? ulizia bitcoin mwaka mmoja ulipita ilikuwa sh. ngapi na le imefika sh. ngapi![]()
![]()
bitcoin nayo ni kazi?
Kama ni rahisi hivyo.kila MTU angefanya hyo kazi. 350,000 kwa 16,500,000?