How?
Hivi do u have any idea wakulima tunavyonyonywa. Hiyo evasion of tax ni issue ndogo sana, ukitukusanya bado utasikia vilio kibao, alafu hili si ni faida kwa wazawa, unajaribu kulinganisha na kodi hao wawekezaji wa kizungu wametuibia miaka nenda rudi. Ndio wapinzani mmefikia hapo kweli.Nafikiri unafahamu kwamba serikali imefuta kodi kwa wakulima wadogo wadogo, wale wanaosafirisha mazao chini ya tani 1 kwa wakati mmoja. Sasa Magufuli amekuwa akiwaambia wakulima kwamba ili wasilipe kodi wasisafirishe mazao yanayozidi tani 1 kwa mara moja. Yaani kama mkulima kazalisha tani 1, basi awe anabeba kidogo kidogo hadi amalize mazao yake. Hata kama kazalisha zaidi ya tani 1, asombe kidogo kidogo ili asitozwe ushuru!! Sikiliza hotuba zake alizotoa Kigoma, juzi Manyara na kadhalika.
Kama kuna mafanikio, kwa nini wanapunguza wafanyakazi?
Endelea kujifariji na CCM wenzakokupunguza wafanyakazi ilikuwa ni mbinu ya kumtisha magufuli.. kwamba raia wake wanapoteza ajira.. magufuli akawapotezeaaa
Tayari wameshanyookaMzgo uliokua unafichwa katika Maknkia naona wamesalimu amri imebidi wauzalishe uonekane baada ya wizi wao kushtukiwa...lazima wanyooke walipe kodi na waache utoroshaji wa madini kwa kigezo cha Maknkia
Nadhani kiingereza ni lugha iliyokuja na meli wengi kama wewe na mimi hatuelewi vizuri. Kwa maelezo hapo ni kuwa 65% ilikuwa inatokana na matofali ya dhahabu na 35% inatoka kwenye makinikia. Kutokana na makinikia kupigwa marufuku wameamua kubadilisha technology na mfumo wa uchenjuaji ambapo kuanzia sasa hawatatengeneza makinikia lakini watapata 85% ya dhahabu yote kama matofaliNi hivi zamani walikuwa wanaprocess kiasi kidogo cha dhahabu hapa nchini, halafu sehemu kubwa inauzwa nje kama makinikia lakini ndani yake ni dhahabu. Ndio sababu wameyumbwa kibiashara kutokana na zuio la makinikia wakati pamoja na kwamba wanaendelea na uuzaji dhahabu kama kawaida. Yaani Makinikia yalikuwa na faida kubwa zaidi kuliko dhahabu. Maajabu!
Nadhani kiingereza ni lugha iliyokuja na meli wengi kama wewe na mimi hatuelewi vizuri. Kwa maelezo hapo ni kuwa 65% ilikuwa inatokana na matofali ya dhahabu na 35% inatoka kwenye makinikia. Kutokana na makinikia kupigwa marufuku wameamua kubadilisha technology na mfumo wa uchenjuaji ambapo kuanzia sasa hawatatengeneza makinikia lakini watapata 85% ya dhahabu yote kama matofali
Jamaa alikuwa ashaenda kusaini buku 7 yake umemuharibia sasa kapewa nusu saa ya kurudi kwenye keyboardNi Mark my words mkuu. Tuheshimu lugha za watu.
Hebu jielekeze kwenye taarifa ya uzalishaji acha kulalamika tu.Alafu kesho utasikia wanafanya mambo kwa siri wakati kila wanachofanya hukiweka wazi kwa serikali na wana hisa wao.
Wametuibia kupitia sheria na mikataba tuliosaini na si vinginevyo.
Tuache kujikosha na kutafuta kick wakati ujinga ulikuwa wetu.
Tatizo ni kuwaona wale wanaohoji maamuzi ya wale tunaowaona "miungu watu" kama wasaliti.
Hata sasa kuna mambo watu wakihoji wanaonekana kama wahalifu lakini huko baadae yatakuja kututokea puani.
Pumbavu kabisa!Hivi do u have any idea wakulima tunavyonyonywa. Hiyo evasion of tax ni issue ndogo sana, ukitukusanya bado utasikia vilio kibao, alafu hili si ni faida kwa wazawa, unajaribu kulinganisha na kodi hao wawekezaji wa kizungu wametuibia miaka nenda rudi. Ndio wapinzani mmefikia hapo kweli.