pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,344
- Thread starter
- #21
Najaribu kupiga picha rais Xi Jing Ping akiwa ameketi hapo ofisini. Alafu mzee anachokora chokora hapo mezani kwa hasira nyingi akimtafutia faili la korosho.Rais wetu hafanyi biashara! Hayo mafaili ni ya wahusika waliotakiwa kuchujwa kupata mawaziri 21 na manaibu 21.