State of the highest office; The Office of The President

Najaribu kupiga picha rais Xi Jing Ping akiwa ameketi hapo ofisini. Alafu mzee anachokora chokora hapo mezani kwa hasira nyingi akimtafutia faili la korosho.
Bruh...
tenor (4).gif
 
In my opinion, must be a true reflectoion of the state of the nation and in extension its policies and aspirations. Unlike staged colourful speeches, chest-beating declarations and rehearsed public appearances. Just the raw image of a leader(or any man/woman), at his element, in his official 'personal' working space. Harambee House, Harambee Avenue, Nairobi.
uk110.jpg
new-county-jobs.jpg
dufObjKmscwoxwouQKbflHcxWpjlAfZ3YxMjQGomvckKWf9p9C_VKM6s4B43qPM-mrW69cRJIyOLDnlkEVh7MOwDO5bD=s750
Ikulu, Chamwino, Dodoma. 😁😁😁
2640663_FB_IMG_16080948040447488.jpg
2640661_FB_IMG_16080948139332144.jpg
2640662_FB_IMG_16080948090791369.jpg
Hauwezi kuilinganisha tz n Kenya bro. Katika karibia shule zote za public za serikali n baadhi ya few public primary schools all over the country Kuna office ya rais n ya waziri mkuu. Iwapo waziri au raisi akuhudhuria hafla yeyote katika eneo lolote, basi ataitumia ofisi take ya karibu iliyopo katika shule yeyote ya karibu zaidi.

In kenya, president hana ofisi yeyote ya dharura. Ikitokea atavisiti eneo lolote, basi atatumia ofisi za county government au za viongozi wa eneo hilo, au anaweza asitumie kabisa ofisi.

Kwanini ninaomba usiilinganishe tz n Kenya haswa kwenye jambo kama hili? Sababu maraisi wetu wana hulka ya kendra kusikiliza masaibu ya wananchi katika vijiji vyao.

Hivyo, katika kila kijiji, wilaya n kata raisi wa tz ni lazima awe n ofisi za dharura. Kwaivyo ikitokea raisi anaenda eneo lolote kusikiliza masaibu ya wananchi, ataposikiliza kisa chochote kuachiwa a hard copy document ya hicho kisa, hizo documents ndio huifadhiwa kwenye hayo mafaili ambayo huchambuliwa n kukabidhiwa waziri husika kutatua kila jambo lenye mshiko.

Ila kwa upande wa pili hamna ofisi za dharura za raisi, mtaelewaje kinachoendelea au umuhimu wa hizo ofisi, hayo mafaili?
 
Tatizo mzee Mgufuli alishasema hapangiwi, hapo utakuta wapambe wake wanalazimika kutazama kwa mbali tena kwa uwoga.

Mazingira ya kazi ni muhimu sana kwenye kuhakikisha ufanisi, allowing chaos in your office won't make you effective. A president is a very important individual making crucial decisions every minute of the day and shouldn't be obstructed or distracted by minor stuffs such as lack of orderliness in the office.
 
Kwa hivyo ofisi ya Rais wa nchi iwe hivyo kisa anabana gharama! No uko tu serious while saying this?! You never run out of excuses you people
Buda hiyo ni ofisi ya muda hapo capital city ulitaka iweje!

Sisi tunatumia akili kwa kila jambo,sio watu wa kwenda kwenda tu.
 
THE DEFINITION OF A SOCIALIST. " A WELL EDUCATED POOR PERSON"!
Is that really the face of socialism? Lack of any identifiable order and untidy workplaces even at the highest office in the land? I always thought otherwise, no wonder Tanzania's version of socialism was a total failure.
 
buda hiyo ni ofisi ya muda hapo capital city ulitaka iweje!!!!

sisi tunatumia akili kwa kila jambo,sio watu wa kwenda kwenda tu.
My friend, do not defend the indefensible. Let's assume that's a temporary office as you say, what does it take to take care of simple things like filing documents in a proper manner? That's the office of the President of the United Republic of Tanzania until a better one is found.

The highest office in Tanzania. Is it okay for it to be in this level of chaos and confusion? How about digitalizing operations in that office to avoid chaos in that table in front of him? Does he even welcome high-level visitors with pride in that office? And what image does that portray about Tanzania?
 
Sasa mbona mzee amepigia picha hapo ofisini? Kwahivyo anajengewa nyingine ambayo sio ya gharama? Badala ya kubana matumizi na kufanyia kazi yake chini ya miti au hata kwenye balcony?
By the way, if it's about gharama si angefanya tu kazi chini ya mti akingoja ujenzi wa ikulu ikamilike. In that way, angesave pesa nyingi za watanzania hata zaidi 😂
 
Hauwezi kuilinganisha tz n Kenya bro. Katika karibia shule zote za public za serikali n baadhi ya few public primary schools all over the country Kuna office ya rais n ya waziri mkuu. Iwapo waziri au raisi akuhudhuria hafla yeyote katika eneo lolote, basi ataitumia ofisi take ya karibu iliyopo katika shule yeyote ya karibu zaidi. In kenya, president hana ofisi yeyote ya dharura. Ikitokea atavisiti eneo lolote, basi atatumia ofisi za county government au za viongozi wa eneo hilo, au anaweza asitumie kabisa ofisi.
Kwanini ninaomba usiilinganishe tz n Kenya haswa kwenye jambo kama hili? Sababu maraisi wetu wana hulka ya kendra kusikiliza masaibu ya wananchi katika vijiji vyao. Hivyo, katika kila kijiji, wilaya n kata raisi wa tz ni lazima awe n ofisi za dharura. Kwaivyo ikitokea raisi anaenda eneo lolote kusikiliza masaibu ya wananchi, ataposikiliza kisa chochote kuachiwa a hard copy document ya hicho kisa, hizo documents ndio huifadhiwa kwenye hayo mafaili ambayo huchambuliwa n kukabidhiwa waziri husika kutatua kila jambo lenye mshiko.
Ila kwa upande wa pili hamna ofisi za dharura za raisi, mtaelewaje kinachoendelea au umuhimu wa hizo ofisi, hayo mafaili?
Kwa hivyo huku kwetu Uhuru hadeal na files? Au point yako ni nini?
 
My friend, do not defend the indefensible. Let's assume that's a temporary office as you say, what does it take to take care of simple things like filing documents in a proper manner? That's the office of the President of the United Republic of Tanzania until a better one is found. The highest office in Tanzania. Is it okay for it to be in this level of chaos and confusion? How about digitalizing operations in that office to avoid chaos in that table in front of him? Does he even welcome high-level visitors with pride in that office? And what image does that portray about Tanzania?
kama mgeni anakuja kukagua mpangilio wa mafile basi hatakuja but gues what,

watu weupe ni watu simple sana,huwa hawajishughulishi na vitu vya ajabu kwa mwingine kama ngozi nyeusi.

hapa ni magogoni dsm,ikulu kongwe.
images%20(3).jpg
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom