Kiliisha miezi miwili iliyopita na wala sikulipiaInamanaa kifurushi chako kimeisha.
Acha covd ifanye kaziLicha ya yote nani kumrithi spika?
kunani?Acha covd ifanye kazi
Ventilationkunani?
Kumrothi kivipi yani?Licha ya yote nani kumrithi spika?
Mmeanza tena?!Medical Oxygen: Key to Fighting COVID-19—and the Next Respiratory Pandemic
Aisee una roho ngumuh.dstv mtukumbuke basi locals zingine tunapata TBC tuu, hadi nimeanza kumpenda Magufuli wakati sikuwa namkubali hata kidogo
Hadi najishangaaAisee una roho ngumuh.
😄😄😄 kwakweli watukumbukedstv mtukumbuke basi locals zingine tunapata TBC tuu, hadi nimeanza kumpenda Magufuli wakati sikuwa namkubali hata kidogo
Jamani maana ukitaka habari za nyumbani ni hizi za kuabudu na kusifu peke yake, the whole day😄😄😄 kwakweli watukumbuke
Ni kweli wengine tumeopt kutokuiangalia kabisa hiyo channelJamani maana ukitaka habari za nyumbani ni hizi za kuabudu na kusifu peke yake, the whole day
Chaneli za bure mbona toka 2019 walikwisha ziruhusu.... ina maana toka mwaka huo ulikuwa haujawasha?Hakuna kitu kilichokuwa kinaniudhi kulipia local Chanel,yaani Startimes ilikuwa TBC 1na Safari tv ndo zilikuwa free,zingine ilikuwa mpaka ulipie
Ghafla nafungulia Tv nakuta local channels zingine ziko free
Asante mhe Ndugulile