Startimes tuoneeni huruma, kifurushi kinakaa wiki 2?

Startimes tuoneeni huruma, kifurushi kinakaa wiki 2?

Bei zetu za vifurushi kwa king’amuzi cha antena sasa
Nyota 4000/= Mambo 12000/= Uhuru 24000/= Kili 36000/=
King’amuzi cha dish Nyota+6000/= Smart 18000/= Super 36000/= Chinese 36000/= Indian 18000/=
StarTimes Furahia ulimwengu wa Digitali
 
startime magu anawaogopa
 
magu anawaogopa hawa wachina
 
Kwa mwenye kuhitaji cha Dstv aje pm ntampa changu kwa tsh.70000 tu
 
Kingamuzi ya ajabu sana hii af hawana hata radio yan ni bora golf star
 
Hawa Star Timesi kwa nini hawaweke Channel za Marekani? Ndio mwiba wangu !!
 
Mwanzo vifurushi vyao ilikua hivi

Back
Top Bottom