Startimes tuoneeni huruma, kifurushi kinakaa wiki 2?

Startimes tuoneeni huruma, kifurushi kinakaa wiki 2?

Azam kiwango cha juu Cha kawaida ni shs 28,000.Na ukikosea ukaweka shs 30,000 hiyo 2000 iliyozidi utakutana nayo mwezi unaofata,. haipotei.kusema ukweli wanajitahidi.Inawezekana baada dstv ni wao.Tatizo Lao hawana channel nzuri za wanyama Kama Natgeo wild,au Discovery animals planet.
azam kwann wasije na vya antenna?
 
Tangu nikinunue mwaka Jana mwezi wa Tisa sijawahi kukatiwa channel
Naangalia bure kabisa
 
Mi star times nimewachoka pia lakini cha kwangu hawakati local channel napata zote bure
Mimi, kwangu hawakati local chanel+ machanel ya west africa i.e yorubas
 
Jamani hawa wanaboa unalipa kifurushi kinakaa wiki 2 yaani sijui mpaka uwapigie simu
Local channel ndo mmepotezea kbs halafu kingamuzi chenu mwakiuza 71000
Hovyo sana
Halafu mmeingia ubia na tbc mnatumia mitambo ya kodi za watz huku mnatukatia local channel
Jipangeni upya
Hadi continental majanga wanawashinda
Hiki king'amuzi chao kinaboa Sana na kinashida ya signal
 
local channel inabaki Tbccm na tv1 hili liking'amuzi shida tupu
 
Kifurushi Cha Nyota Ukienda Kwa Wakala Ukawekwa Kwenye Hicho Kinakaa Mwezi Mmoja Ila Wewe Unapokwenda Kununua Kufurushi UtakuwA Ulichagua Mambo Ama Startimes Walikuweka Kwenye Hicho Kifurushi Ambacho Ni Wiki Mbili Kwa Tsh 6000/-
 
Hapa nna hasira nao wamekata jana na ina wk mbili tu najipanga kuchukua azam leo.shit kbs hawa jamaa
 
Ndugu zangu mimi nahitaji Kisimbusi cha TING nakipataje? Na ni bei gani pls
 
Back
Top Bottom