Hiv wanachanel ya Z worldAzam kiwango cha juu Cha kawaida ni shs 28,000.Na ukikosea ukaweka shs 30,000 hiyo 2000 iliyozidi utakutana nayo mwezi unaofata,. haipotei.kusema ukweli wanajitahidi.Inawezekana baada dstv ni wao.Tatizo Lao hawana channel nzuri za wanyama Kama Natgeo wild,au Discovery animals planet.