Oppomall
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 3,496
- 3,595
Maoni:
Msimu huu wa corona watoto wetu wapo bure majumbani,tuwekeeni vipindi vyenye maudhui ya watoto wajisomee maana hao ndo wanashinda na tv kuliko kutuwekea tamthilia ambazo zinawaharibu kimaadili kwa namna moja ama nyingine. Maana juzi hapa nilirudi nyumbani mchana,
mara nimeketi tu watoto wanaangalia tamthilia inaitwa LOVE TO LAST, ghafla kilichooneshwa nilitamani ningekua na rimoti karibu. Hebu tuhurumieni wazazi. StarTimes Tanzania,
Sent using Jamii Forums mobile app