BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,164
Hivi king'amuzi chenu kina kwikwi???
Maana kinavyokwama kwama
Maana kinavyokwama kwama
Habari zenu wanaJamiiForums
Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie? Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi?
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
Ahsanteni sana na karibuni nyote
Kwwli mkuu, zamani walikuwa na channel nzuri ile "HBO" sasa hivi haipo. Hawaeleweki na machannel yao.Mimi nataka kujua ni lini mtakuwa na channel za movie za hollyhood? mmejaza michaneli ya kinejeria na kihindi na kuweka st movie 1 hata pekee wakati haina movie za maana zaidi drama movie. Mimi nitawahama mda si mrefu
habari yako
tunaving'amuzi vya aina mbili, vinavyotumia antenna na vinavyotumia Dish
vinavyotumia Antena viko vya aina mbili
kuna vile ukinunua unafurahia chanel zaidi ya 75 mwezi mmoja kinauzwa tshs 59000
na kuna vile ukinunua unapata chanel 17 kwa muda wa miezi 7.5 vinauzwa tsh 34000 (kingamuzi na malipo humo humo)
vingamuzi vinavyotumia Dish
hivi vinauzwa TSHS 139000 pamoja na ufundi unapata na dishi lake
kama unadishi kinauzwa Tshs 96000
Ahsante