Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

cm yangu ni aina ya startimes model p40 nahitaj kubadilisha hii version ya operating system niweke version nyingine ntafanyaje?
Fredy nipo dar 0759959643
 
Habari zenu wanaJamiiForums

Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie? Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi?
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

Ahsanteni sana na karibuni nyote

Mi naishi Buguruni kwenye channel list hakuna tv Iman, ntaipataje? Asanten sana
 
Nauliza kuhusu hiki king'amuz chenu kipya ni sh 4000 au?na channel zip zinaonyeshwa.asante
 
Mimi naitwa Lupakisyo Mwaisumo, nimefanya miamala mitatu, kulipia kifurushi cha DSTV lakini kwa bahati mbaya namba niliyokuwa nalipia ilikosewa, badala ya 42793676695, nilikuwa naweka 4279367669 , yaani namba 5 ya mwiso sikuiweka, hivyo tarehe 1/1/2015 mnamo saa 1:07 nilipoteza Sh. 7,000/=, tarehe 2/1/2015 saa 11:55 asubuhi nikaipoteza tena sh 10,000/=. Nimekuja kugundua tena nilipofanya muamala tarehe 2/2/2015 wa Sh. 17,500/= saa 2:09 usiku. Nimewapigia watu wa Tigo pesa kunirudishia hizo fedha zangu, wakanielekeza kuwanapaswa kuongea na nyie watu wa Startimes. hivyo naomba kusaidiwa katika tatizo hili. namba niliyoitumia kulipia King'amuzi hiki ni 0713874005, na smartcard inamilikiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, mkoani Iringa.
 
malipo dstv malalamiko startimes hii kali
 
Mimi nilinunuga kin,gamuzi chao kila wiki chanel zinahama nikimwita fundi wenu humphrey anataka pesa nikasema sasa kashajitengenezea kamradi hapa mara ya mwisho nikakipasulia mbele yake sasa hivi nakula maisha na zuku zuku mpango mzima star times unalipia bado mizinguo tatizo wamejaa vijana wa snz wengi sana mipango mingi
 
Nauliza kuhusu hiki king'amuz chenu kipya ni sh 4000 au?na channel zip zinaonyeshwa.asante

habri yako

king'amuzi hichi cha 4000 ni king'amuzi sawa na ving'amuzi, unaponunua king'amuzi hichi mwanzo utalazimika kulipia 30000 kama malipo ya awali ya kuangalia chanel zetu. kwa hiyo utapewa machaguo manne, utaulizwa je hiyo 30000 uunganishwe kifurushi kipi? kama utasema NYOTA package basi kwa kuwa nyota inachanel 17 na gharama yake ni 4000 kwa mwezi basi utaangalia miezi 7.5 bila kulipia, kama utasema MAMBO package basi kwa kuwa MAMBO inachanel 33 na gharama yake ni 10000 kwa mwezi basi utaangalia miezi 3 bila kulipia, kama utasema UHURU package basi kwa kuwa uhuru inachanel 53 na gharama yake ni 20000 kwa mwezi basi utaangalia miezi 1.5 bila kulipia, na kama utasema KILI package basi kwa kuwa KILI inachanel 75 na gharama yake ni 30000 kwa mwezi basi utaangalia Mwezi 1 bila kulipia,
 
Mimi naitwa Lupakisyo Mwaisumo, nimefanya miamala mitatu, kulipia kifurushi cha DSTV lakini kwa bahati mbaya namba niliyokuwa nalipia ilikosewa, badala ya 42793676695, nilikuwa naweka 4279367669 , yaani namba 5 ya mwiso sikuiweka, hivyo tarehe 1/1/2015 mnamo saa 1:07 nilipoteza Sh. 7,000/=, tarehe 2/1/2015 saa 11:55 asubuhi nikaipoteza tena sh 10,000/=. Nimekuja kugundua tena nilipofanya muamala tarehe 2/2/2015 wa Sh. 17,500/= saa 2:09 usiku. Nimewapigia watu wa Tigo pesa kunirudishia hizo fedha zangu, wakanielekeza kuwanapaswa kuongea na nyie watu wa Startimes. hivyo naomba kusaidiwa katika tatizo hili. namba niliyoitumia kulipia King'amuzi hiki ni 0713874005, na smartcard inamilikiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, mkoani Iringa.

Habari yako kaka

samahani inaonekana umefanya malipo DSTV, tafadhri kama una namba yako ya account ya startimes inayoanzia 02035.... unaweza kutupatia tukakupatia msaada zaidi. ahasante
 
cm yangu ni aina ya startimes model p40 nahitaj kubadilisha hii version ya operating system niweke version nyingine ntafanyaje?
Fredy nipo dar 0759959643

habari yako fred

kama unapata tatizo na hiyo operating system katika simu yako tafadhari fika na simu yako katika duka letu la pale TBC bamaga kwa msaada zaidi

ahsante
 
Naomba ufafanuzi kwa mtu anae ishi maeneo ya tukuyu-mbeya je king'amzi kinaonesha vizuri maana naona huku mabonde mengi sana?

habri yako

kwa maeneo ya Tukuyu mbeya tunakushauri utumie huduma yetu ya SATELITE DISH, ambayo inaonekana vizuri huko, hii huduma ni ving'amuzi vya startimes vinavyotumia DISH

Ahsante
 
Startimes mnampango wa kupata hata channel moja ya mpira wa EPL??????
 
Naomba mnisaidie wakubwa King'amuzi changu namba 02035217745 kinascrech sana karibu kila Channel, hebu fanyeni mpango maana mnaiharibu weekend yangu, nipo maeneo ya Kimara hapa

Anterna natumia hizo za kwenu hapo mnazotuuzia.
 
Habari zenu wanaJamiiForums

Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie? Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi?
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

Ahsanteni sana na karibuni nyote

StarTimes Tanzania nina ugonjwa wa kupenda kuangalia ITV sasa sijui nifanyaje niweze kuangalia TBC kama TV ya taifa
 
Last edited by a moderator:
Nikinunua kifurushi sijawahi ongeza tsh 3000 niweze kuona hii chanel inayoitwa sibuka maisha.. Hivi hii chanel anaonesha mambo gani haswa? What is so special?
 
Back
Top Bottom