Hawa jamaa ni wezi sio siri jana nilisema ngoja nilipie kifurushi cha cha siku ambacho ni masaa 24
Nililipia jana saa 12 na dakika 44 cha ajabu channel wakaja kunifungulia saa 2 usiku tena baada ya kupiga simu mara mbili
Cha ajabu imefika leo saa 6 kamili mchana wakakata! Nikiwapigia wananiambia eti oooh ukitaka kikae lipa mapema!nikamuuliza huyo customer care wao anajua maana ya siku kweli au anaongea tu?
Akaanza kumumunya maneno nikampa makavu yake na hiyo startimes yake nikakata simu
Kupitia comments za watumiaji mtandaoni wanalalamika jamaa wanaibia wateja vifurushi, Kifurushi unalipa elfu 11 kwa mwezi kinakaa nusu week 2 tu huo si wizi jamani?Hawa startimes nashangaa kwanini TCRA wanawaacha watuchezee namna hii
Kwanini mnakata local channel??habari yako, pole sana kwa usumbufu ulioupata!
tafadhari tambua kwamba tunamifumo ya malipo ambayo ni rafiki na hainashida yoyote.
kwanza kabisa tambua kuwa kupitia startimes pekee unaweza kufanya malipo ya hata ya siku moja, wiki moja au malipo ya mwezi mmoja. Pili unapofanya malipo yako huduma itarejea ndani ya dakika 10 na endapo utachelewa kupata huduma basi tambua kuwa kutakuwa na tatizo katika king'amuzi chako. Endapo kadi yako yaijawekwa vizuri katika king'amuzi chako au kama unapokea mawimbi hafifu yanaweza pelekea kuchelewa kupata huduma kwa muda muafaka.
Pia huduma yetu ya malipo ya siku yanautaratibu ambao ni rafiki kwa mteja. kumbuka endapo ukawa umefanya malipo lakini tatizo likawa ni kadi yako haijawekwa vizuri au unapokea mawimbi hafifu yakupasa kutambua kuwa kifurushi chako kitakwisha kadili ya muda wa kifurushi husika. Hii ni sawa na kununua vocha ya simu na kujiunga bando kisha simu ikaharibika.
tafadhari unaweza kututumia namba za kao za mawasiliano kwa maelezo zaidi. Ahsante
Azam kifurushi kikiisha local chanels unajimwaga tu.Kwanini mnakata local channel??
Mbona Azm hawakat??
Yani kifurush kikikata tu basi ubabakiwa na TBC tu!!!!!
habari yako, pole sana kwa usumbufu ulioupata!
tafadhari tambua kwamba tunamifumo ya malipo ambayo ni rafiki na hainashida yoyote.
kwanza kabisa tambua kuwa kupitia startimes pekee unaweza kufanya malipo ya hata ya siku moja, wiki moja au malipo ya mwezi mmoja. Pili unapofanya malipo yako huduma itarejea ndani ya dakika 10 na endapo utachelewa kupata huduma basi tambua kuwa kutakuwa na tatizo katika king'amuzi chako. Endapo kadi yako yaijawekwa vizuri katika king'amuzi chako au kama unapokea mawimbi hafifu yanaweza pelekea kuchelewa kupata huduma kwa muda muafaka.
Pia huduma yetu ya malipo ya siku yanautaratibu ambao ni rafiki kwa mteja. kumbuka endapo ukawa umefanya malipo lakini tatizo likawa ni kadi yako haijawekwa vizuri au unapokea mawimbi hafifu yakupasa kutambua kuwa kifurushi chako kitakwisha kadili ya muda wa kifurushi husika. Hii ni sawa na kununua vocha ya simu na kujiunga bando kisha simu ikaharibika.
tafadhari unaweza kututumia namba za kao za mawasiliano kwa maelezo zaidi. Ahsante
Customer care yenu mbovu sana, baadhi hawatambui matatizo haraka.
Ndio na kilikaa only two weeks
Majibu hayakidhi kiwango ,kwa kifupi kampuni lenu Ni wezi kupita maelekezo mliyopewa na Tcra.habari yako, pole sana kwa usumbufu ulioupata!
tafadhari tambua kwamba tunamifumo ya malipo ambayo ni rafiki na hainashida yoyote.
kwanza kabisa tambua kuwa kupitia startimes pekee unaweza kufanya malipo ya hata ya siku moja, wiki moja au malipo ya mwezi mmoja. Pili unapofanya malipo yako huduma itarejea ndani ya dakika 10 na endapo utachelewa kupata huduma basi tambua kuwa kutakuwa na tatizo katika king'amuzi chako. Endapo kadi yako yaijawekwa vizuri katika king'amuzi chako au kama unapokea mawimbi hafifu yanaweza pelekea kuchelewa kupata huduma kwa muda muafaka.
Pia huduma yetu ya malipo ya siku yanautaratibu ambao ni rafiki kwa mteja. kumbuka endapo ukawa umefanya malipo lakini tatizo likawa ni kadi yako haijawekwa vizuri au unapokea mawimbi hafifu yakupasa kutambua kuwa kifurushi chako kitakwisha kadili ya muda wa kifurushi husika. Hii ni sawa na kununua vocha ya simu na kujiunga bando kisha simu ikaharibika.
tafadhari unaweza kututumia namba za kao za mawasiliano kwa maelezo zaidi. Ahsante
Majibu hayakidhi kiwango ,kwa kifupi kampuni lenu Ni wezi kupita maelekezo mliyopewa na Tcra.
Galama Ni kubwa alafu channel zenu zote za kipuuzi, mteja analipia TSH 11000 alafu channel hazizidi 15 zinazokamata nazo Ni za kichina. Soon ungo wenu nageuza tyle la kuchezea watoto
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hamuoni hata aibu kudanganya. Hata azamtv wanahii huduma, fanyeni marekebisho muache ujinga.kwanza kabisa tambua kuwa kupitia startimes pekee unaweza kufanya malipo ya hata ya siku moja, wiki moja au malipo ya mwezi mmoja.
Tokeni na ujinga wenu hapa, waongo na wezi wakubwa nyie. Labda mnapata jeuri sababu serikali ina hisa kiasi kwamba tcra haichukulii uzito malalamiko ya wateja kuhusu ubovu wa huduma zenu.habari yako, pole sana kwa usumbufu ulioupata!