Startimes ni wezi wa vifurushi, TCRA wachukuleni hatua

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,628
Hawa jamaa ni wezi sio siri jana nilisema ngoja nilipie kifurushi cha cha siku ambacho ni masaa 24

Nililipia jana saa 12 na dakika 44 cha ajabu channel wakaja kunifungulia saa 2 usiku tena baada ya kupiga simu mara mbili

Cha ajabu imefika leo saa 6 kamili mchana wakakata! Nikiwapigia wananiambia eti oooh ukitaka kikae lipa mapema!nikamuuliza huyo customer care wao anajua maana ya siku kweli au anaongea tu?

Akaanza kumumunya maneno nikampa makavu yake na hiyo startimes yake nikakata simu

Kupitia comments za watumiaji mtandaoni wanalalamika jamaa wanaibia wateja vifurushi, Kifurushi unalipa elfu 11 kwa mwezi kinakaa nusu week 2 tu huo si wizi jamani?Hawa startimes nashangaa kwanini TCRA wanawaacha watuchezee namna hii
 
Hawa jamaa ni wahuni sana, unalipia kifurushi cha mwezi complete, na bado chanel zingine hawafungui.

Unawapigia simu wanakuambia ngoja tulifresh, ila hakuna kinachobadilika. Unawapigia tena, unaanza kujieleza upya, wanakumabia subiri kidogo au wanakukatia simu.

Startimes mimi nilishawahama, wanahuduma mbovu sana kama TTCL tu
 
Haswaaa

Ni kama Azam tu unaweza kulipia kifurushi flan ila wakaamua watoe baadhi ya channel huo pia ni utapeli
 
habari yako, pole sana kwa usumbufu ulioupata!

tafadhari tambua kwamba tunamifumo ya malipo ambayo ni rafiki na hainashida yoyote.

kwanza kabisa tambua kuwa kupitia startimes pekee unaweza kufanya malipo ya hata ya siku moja, wiki moja au malipo ya mwezi mmoja. Pili unapofanya malipo yako huduma itarejea ndani ya dakika 10 na endapo utachelewa kupata huduma basi tambua kuwa kutakuwa na tatizo katika king'amuzi chako. Endapo kadi yako yaijawekwa vizuri katika king'amuzi chako au kama unapokea mawimbi hafifu yanaweza pelekea kuchelewa kupata huduma kwa muda muafaka.

Pia huduma yetu ya malipo ya siku yanautaratibu ambao ni rafiki kwa mteja. kumbuka endapo ukawa umefanya malipo lakini tatizo likawa ni kadi yako haijawekwa vizuri au unapokea mawimbi hafifu yakupasa kutambua kuwa kifurushi chako kitakwisha kadili ya muda wa kifurushi husika. Hii ni sawa na kununua vocha ya simu na kujiunga bando kisha simu ikaharibika.

tafadhari unaweza kututumia namba za kao za mawasiliano kwa maelezo zaidi. Ahsante
 
Customer care yenu mbovu sana, baadhi hawatambui matatizo haraka.
 
  • Thanks
Reactions: amu

Heri muuze yeboyebo au mrudi kwenu chini
 
  • Thanks
Reactions: amu
Card kutokukaa vizuri na kifurushi kuisha kabla ya wakati vina uhusiano gani?,hebu acheni wizi

Anyways mimi card yangu imekaa vizuri tu unataka kusema hao maelfu ya watu mnaowakata vifurushi vyao kabla ya wakati kuisha pia wanawekaga kard vibaya?aiseee mbona mapya haya!!!!!!tunawahama
habari yako, pole sana kwa usumbufu ulioupata!

tafadhari tambua kwamba tunamifumo ya malipo ambayo ni rafiki na hainashida yoyote.

kwanza kabisa tambua kuwa kupitia startimes pekee unaweza kufanya malipo ya hata ya siku moja, wiki moja au malipo ya mwezi mmoja. Pili unapofanya malipo yako huduma itarejea ndani ya dakika 10 na endapo utachelewa kupata huduma basi tambua kuwa kutakuwa na tatizo katika king'amuzi chako. Endapo kadi yako yaijawekwa vizuri katika king'amuzi chako au kama unapokea mawimbi hafifu yanaweza pelekea kuchelewa kupata huduma kwa muda muafaka.

Pia huduma yetu ya malipo ya siku yanautaratibu ambao ni rafiki kwa mteja. kumbuka endapo ukawa umefanya malipo lakini tatizo likawa ni kadi yako haijawekwa vizuri au unapokea mawimbi hafifu yakupasa kutambua kuwa kifurushi chako kitakwisha kadili ya muda wa kifurushi husika. Hii ni sawa na kununua vocha ya simu na kujiunga bando kisha simu ikaharibika.

tafadhari unaweza kututumia namba za kao za mawasiliano kwa maelezo zaidi. Ahsante
 
habari yako, pole sana kwa usumbufu ulioupata!

tafadhari tambua kwamba tunamifumo ya malipo ambayo ni rafiki na hainashida yoyote.

kwanza kabisa tambua kuwa kupitia startimes pekee unaweza kufanya malipo ya hata ya siku moja, wiki moja au malipo ya mwezi mmoja. Pili unapofanya malipo yako huduma itarejea ndani ya dakika 10 na endapo utachelewa kupata huduma basi tambua kuwa kutakuwa na tatizo katika king'amuzi chako. Endapo kadi yako yaijawekwa vizuri katika king'amuzi chako au kama unapokea mawimbi hafifu yanaweza pelekea kuchelewa kupata huduma kwa muda muafaka.

Pia huduma yetu ya malipo ya siku yanautaratibu ambao ni rafiki kwa mteja. kumbuka endapo ukawa umefanya malipo lakini tatizo likawa ni kadi yako haijawekwa vizuri au unapokea mawimbi hafifu yakupasa kutambua kuwa kifurushi chako kitakwisha kadili ya muda wa kifurushi husika. Hii ni sawa na kununua vocha ya simu na kujiunga bando kisha simu ikaharibika.

tafadhari unaweza kututumia namba za kao za mawasiliano kwa maelezo zaidi. Ahsante
kifurushi cha saa 24 kinatakiwa kweli kiwe cha saa 24 na si vingevyo, sasa kadi kukaa vibaya ndio kinahesabu vibaya muda? kifurushi unajiunga saa 3 usiku kesho saa 6 mchana kinakata, acheni wizi.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom