Shida sio startimes, shida ni kwamba huna sauti nyumbani kwako.Ni kawaida yangu kurudi nyumbani kuanzia saa 3:30 usiku, ila leo nimelazimika kuwahi kurudi nyumbani (saa 1:00 jioni) kutokana na sababu zangu binafasi.
Kwakweli ni siku nyingi sijaangalia taarifa ya habari, hivyo ilipofika saa 2 usiku kwakuwa nimewahi kurudi nyumbani na sijagusa ulabu nilichukua rimoti ya TV nikaweka ITV ili niangalie taarifa ya habari, ghafla mke wangu alinirukia kama nyani na kuninyang'anya rimoti huku anahema.
Wakati namshangaa akanambia kwa ukali:
"usiniharibie starehe zangu, huu ni muda wa tamthilia, kama unapenda sana taarifa ya habari nunua TV ya chumbani".
Kwa upole ilinibidi nielekee chumbani kujilaza, na sitompa unyumba wiki nzima kwa kunikwaza.
USHAURI: Enyi Startimes heshimuni muda wa taarifa za habari, hizi tamthilia za wanawake wekeni mchana na jioni tu ili kuepusha migogoro ya familia.
Sio kweli usiku wa leo haushi!! Hahahaa 🤣🤣🤣Kwa upole ilinibidi nielekee chumbani kujilaza, na sitompa unyumba wiki nzima kwa kunikwaza.
Hapa najiuliza, hivi wale wanaume wanaowahi kurudi nyumbani huwa wanangalia vipindi gani kwenye TV na wake zao?Mi nina mpango wa kununua ya chumbani na king'amuzi cha Azam, mimi siwezi angalia maagizo ya HUBA, MPALI, KITIMTIM nk
Sent from my G3121 using JamiiForums mobile app
Hivi muda wa kutazama TV mnapata wapi? Tena StartimesNi kawaida yangu kurudi nyumbani kuanzia saa 3:30 usiku, ila leo nimelazimika kuwahi kurudi nyumbani (saa 1:00 jioni) kutokana na sababu zangu binafasi.
Kwakweli ni siku nyingi sijaangalia taarifa ya habari, hivyo ilipofika saa 2 usiku kwakuwa nimewahi kurudi nyumbani na sijagusa ulabu nilichukua rimoti ya TV nikaweka ITV ili niangalie taarifa ya habari, ghafla mke wangu alinirukia kama nyani na kuninyang'anya rimoti huku anahema.
Wakati namshangaa akanambia kwa ukali:
"usiniharibie starehe zangu, huu ni muda wa tamthilia, kama unapenda sana taarifa ya habari nunua TV ya chumbani".
Kwa upole ilinibidi nielekee chumbani kujilaza, na sitompa unyumba wiki nzima kwa kunikwaza.
USHAURI: Enyi Startimes heshimuni muda wa taarifa za habari, hizi tamthilia za wanawake wekeni mchana na jioni tu ili kuepusha migogoro ya familia.
Kuna jamaa yangu kaoa saivi na yeye tamthilia anazijua kwa sababu wife wake yupo nazo sambamba.Hapa najiuliza, hivi wale wanaume wanaowahi kurudi nyumbani huwa wanangalia vipindi gani kwenye TV na wake zao?
Kwa kifupi unatawaliwa na mwanamke, kitaalamu tunasema MWANAMKE AMEKUPANDA KICHWANI.Ni kawaida yangu kurudi nyumbani kuanzia saa 3:30 usiku, ila leo nimelazimika kuwahi kurudi nyumbani (saa 1:00 jioni) kutokana na sababu zangu binafasi.